, 7 tweets, 3 min read
My Authors
Read all threads
KESI MAARUFU
"PINGAMIZI LA AWALI"
POINT OF PRELIMINARY OBJECTION
MUKISA BISCUITS MANUFACTURING CO V WEST END DISTRIBUTORS LTD(1969)EA 696

Kama umekua mfuatiliaji wa masuala ya kesi Mahakamani pasi na shaka utakua umekutana na msamiati au neno maarufu la "PINGAMIZI LA AWALI"
PINGAMIZI LA AWALI ni hoja za kisheria ambazo zinawasilishwa na upande mmoja wa kesi mahakamani ambazo zikisikilizwa au kuendeshwa zinamaliza kesi husika. PINGAMIZI LA AWALI AU POINT OF PRELIMINARY OBJECTION al maarufu PO huwasilishwa mahakaman na upande wowote katika kesi
Katika hatua yoyote ya kesi. PO lazima zitokane na hoja za kisheria na blaa blaa . PO lazima ijikite kisheria zaidi na mahakaman ikikabuliana na hoja hzo kesi inaweza kuisha.
PO inaweza kuletwa kwenye hoja mbali mbali kama shauri liko nje ya muda,mahakama haina uwezo kushughul
Ikia shauri hlo,hakuna chanzo cha mgogoro,shauri hlo lilishaamuliwa mahakaman au Shauri hlo bado halijaamuliwa mahakamani. Hoja za PO hazina kikomo ziko nyingi cha msingi tu ziwe zimetokana na sababu za kisheria.
Ikiwa PO italetwa mbele ya mahakama basi shauri la msingi litakoma
Kwa muda mpaka pale PO itakapotolewa uamuzi.
Sababu za msingi ni kuwa hyo PO inaweza kuwa inamaliza shauri hlo kabisa.
Baadhi ya hoja za PO zinaweza kumaliza shauri ni 1.shauri limeletwa nje ya muda
2.Shauri liko kwenye mahakama isiyo na nguvu
3.Shauri hlo lilikwishaamuliwa
Lakin PO zingine zinatoa nafasi tu kwa watu husika kufanya mabadiliko kwenye nyaraka zao
Kwa mfano Nyaraka ilitengenezwa kimakosa kama kutowekwa tarehe,kutoja ipasavyo watu husika.
Sio kila PO ina mashiko ,na sio zote zina faida kwa pande husika kwenye kesi.
NOTE
kesi ya MUKISA BISCUITS MANAUFACTURING CO LTD V WEST END DISTRIBUTORS LTD(1969) EA 696 ndo kesi kongwe inayoongelea PO kwa weledi mkubwa

#SheriaTalkWithLule
#KesiMaarufu

@Johnie_ze_Best
@husseinabui
@LusakoWaKwanza
@IamNicksoni
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with hamzaLule

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just three indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!