My Authors
Read all threads
Huu ugonjwa wa COVID-19 mpaka sasa umetuathiri katika nyanja mbali mbali. Tukianza na kijamii, kama haija mpata ndugu yako basi rafiki yako. Kama haija kupata wewe basi jirani yako. Kama haija mpata boss wangu basi wateja wako. Kama haija mpata kiongozi wako basi mwanachi wake.
Tukija kiuchumi, Sasa hivi wafanya biashara maduka yao wanafungua kwa kutega. Wengine wana diriki kufunga kabisa. Baadhi ya bidhaa zimekuwa adimu na bei imeanza kuwa juu kwa maana ya mfumuko wa bei. Hii hali sijui itaisha lini Yaarabi
Kiutamaduni, watanzania tusha zoea kusalimiana kwa kushikana mikono na kukumbatiana lakini sasa umbali wa mita moja. Watu mnaongea huku mme vaa barakoa. Hatuku tegemea kama itakuja Kua hivi kama China. Kutembeleana sasa hakuna kila mtu na kwake. Sio salama kabisa
Ukija suala la dini ndo usiseme. Ramadhani imekuja kimya kimya. Kuswali Taraweeh imekuwa mtihani. Kufturu pamoja ni wewe na familia yako. Hakuna kualikana. Misikiti mengine imefungwa na ibada imekuwa fupi. Kwa usalama kabisa bora uswali kwenu. HALI INATISHA.
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Enjoying this thread?

Keep Current with Ahsan Hermees

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!