My Authors
Read all threads
Je umewahi kujiuliza haya maswali ?

✴️ Taarifa na vitu vyote kwenye mtandao huwa vinatunzwa wapi?

✴️ Serikali na makampuni binafsi yanatunza wapi taarifa zao?

Jibu: Taarifa na vitu vyote vya kimtandao duniani vinatunzwa sehemu inaitwa DATA CENTER

DATA CENTER NI NINI?

Uzi
DATA CENTER ni nini na inafanyaje kazi?

Data center ni sehemu maalumu ambapo vifaa vya computer na mawasiliano vimewekwa kwa ajili ya kukusanya, kutunza, kuchakata (processing) na kusambaza (distribute) taarifa zote za kimtandao Duniani
Data centers zinafanya kazi Mda wote (24/7/365) kuhakikisha haukosi taarifa au kitu chochote unachokihitaji mtandaoni.

Data Center inakuwa na SERVERS nyingi ambazo zimepangwa kwenye msitari pia computer zenye uwezo mkubwa (supercomputer)

Kazi ya SERVER ni
1. kutunza taarifa
zote za kimtandao

2. Kufanya back up and recovery endapo kumetokea hitilafu sehemu basi taarifa ziendelee kupatikana

3. Kusimamia taarifa zote ( data management)

4. Kuhakikisha taarifa sahihi za kimtandao zinamfikia mhusika (Data networking)
Makampuni ya biashara yanahitaji kuwa na Data Centers zao kwa ajili ya kutunza taarifa

Wengine wanazo na wengine hukodisha servers au hutumia cloud - based services zinazomilikiwa na Google, Microsoft, Amazon na Sony

Makampuni makubwa yanayo tengeneza servers ni

IBM, CISCO
DELL, LENOVO, HPE n.k

Inakadiriwa kuwa kuna 3 million Data centers duniani

Taarifa zote zilizotunzwa kimtandao duniani (digital information) zinakadiriwa kufika 40 trillion GB sawa na 40 Zettabytes ( 40 ZB)

Source: International Data Cooperation
Makampuni makubwa kama Google, Facebook, Microsoft, AOL na Amazon wana data centers kubwa zinapopatikana Duniani kote katika maneno tofauti tofauti

Inakadiriwa kampuni ya Microsoft huongeza servers 20,000 kila mwezi kwenye data centers zake duniani
Google wana servers 50,000 kwenye kila Data centers kubwa wanazomiliki

Google ana Data centers (Large Data centers) 13 kubwa duniani na Mini - Data Centers nyingi sana

Servers zote kwenye Data centers duniani zimeunganishwa kwa mtandaoni kuzuia upotevu wa taarifa
Tanzania Data center kubwa ipo National Internet Data Center (NIDC) Dar es salaam, hii Data center inamilikiwa na Serikali, makampuni ya simu na Taasisi Binafsi wana Data centers zao either kwa kumiliki au kukodisha (Co-location)
Data Centers mara nyingi hutumia Tekinolojia ya Fiber Optics kusafirisha taarifa na kuunganisha vifaa kama servers, routers na switches

Internet iliyopo kwenye Data centers kusafirisha taarifa/data ni mara 200,000 zaidi ukilinganisha na internet unayotumia wewe
Mitandao ya simu (local ISP) kwa kutumia server zao hushirikiana na makampuni makubwa duniani kutunza taarifa na pia kusaidia kwenye Data back up

****

Retweet

Cc: @WizaraUUM @ict_commission @renatuswilliam1 @Mkuruzenzi @razaqdm01 @ITexpertTz @OlesakaJR @TCRA_Tz
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with #TOTTechs 🇹🇿

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!