Wanasema usingizi ni tamu na tena ni sumu, tulijipata tunaamka 4:30, kitu ilituamsha ni sauti ya nduthi nje.
Hawa ndio wale unalipia Uber wakuje sleep over alafu kitu wanakupikia ni indomie na strungi na wana expect fire strokes but instead unawapea your sloppy 10 seconds kama jogoo.