My Authors
Read all threads
T H R E A D👇 #TembeaNaWatembezi

A

L O V E

L E T T E R

F R O M

MY

C R U S H 😍
👇 👇
Asubuhi tulivu iliyopambwa na ukungu wa kutosha huku tunamsikiliza headmaster paredi jumatatu akiwa anafoka hatusomi alafu anawasifia mademu wa WERUWERU dah.ilikuwa inakera sana ukizingatia sisi ndo form six ila ndo ilitufanya tusome sana ili nasi tusifiwe mara moja moja👇👇
Baada ya mfokeo, taarifa njema ikawa ni barua ambazo GS alizifata mjini ivyo akawa anaziita majina ili kila mwenye barua akachukue. Kijana wenu najifahamu sina wa kunitumia ivyo nikaamua kusepa mapema kuwahi ECA hall pale kwenda kuanza msuli wa asubuhi👇👇
Nikafika nikaanza msuli polepole maan ilikuwa mwezi wa tatu na mwezi wa tano ni NECTA ivyo nilikua sipendi kupoteza muda. 😎
Ile nimepoa akaja mwanangu huku kashika bahasha akaniambia oya Tommy mzigo wako huu, nikacheka kwanza alf nkamjibu acha kuzingua...👇
Ikabidi anioneshe jina langu pale limeandikwa kamili nkashtuka maan mademu wa mosh wengi halinifahamu kama TOMMY lakin yule aliandika jina la kwenye cheti kabisa ivyo nikachukua nikatia mfukoni ilo shangwe wazee siwaambii maan munaelewa maisha ya uboizini (umbwe)..👇👇
Baade kdg ikabidi niitoe nijue ni nani aliandika ile barua nikagundua ni demu niliesoma nae primary yeye alikuwa songea girls nikacheka maan ni mtani wangu japo ninahisia nae.Nliogopa kumwambia maan alishanitambulisha kwa bwana ake😞 ivyo nikabidi mzee wenu nimezee tu✊👇👇
Nikasema kama ni yeye bas hakuna maajabu atakua kanizingua tu na story za kimbea kibao. Nikafungua pale nikaanza kuipitia nikaona mambo ni serious ikabidi nifunike ili nikaisome baadae alone na niitafakari vzr😋😋 maan niliona mbuzi anafia kwa muuza supu wanangu😂😂
Nikavunja prepo iyo day nikabaki dom plus barid la umbwe bas weee😋 nikaisoma barua
Alianza na kuniita jina langu halisi na story nyingine kibao za kitambo but kwenye page ya pili ndipo palikua na kiini maana ilipambwa kwa makopakopa na kingereza kimoja swahfi👇👇
Nashukuru nilielewa bila ya kutafta mkalimani na alifunguka haswa juu ya kutaka kuwa na mimi. Huku akiamini nilikuwa single na huo ndo ulikuwa ukwel😁. Kama unabisha pigana😎😎
Mimi ni nan nikatae ombi wazee wangu mimi ni nani enheee..
Japo sikuijibu coz alini alert kuwa kiskul kwao walimu wanamichezo ya kuzisoma barua kabla ya kumpa muhusika ivyo nikamezea moyoni huku nikisema nikirudi tayar nina jimbo la uhakika😍
Nikaanza kuwa serious na masomo sasa😋 maana nilikuwaga nasoma tu ila hii barua ikanifanya nibadilishe mfumo wa maisha maan mtoto ni mkali ivyo lazima nijishape vizuri niishi nae vzr. Nahisi kale kafeeling munakifahamu cha kupendwa na unaempenda.
Wazee ile barua sio kwa kupambwa vile kila sehemu nilikua nayo nikijihisi sina hamu ya kusoma naichukua nasoma napata molari naingia class. Ilinisaidia sana kwenye kujitoa na kusoma maana njia pekee ilikuwa ni iyo tu ya kusoma ili nimpate chuo mtaan kuonana nae ni ngumu.
Bado nipo nae my dearest Crush😘💕 ambae aliamua afunguke baada ya kuona nimekubali kurudi nyuma japo sikuacha kumuombea mazuri kwenye mapenzi yake. Trust me sometimes we get love from hopeless place✊ maana nilishakata tamaa kumtaka.
Kindly retweet and like
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with T R A V E L L E R S 🇹🇿

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!