My Authors
Read all threads
JIFUNZE NAMNA YA KUONGEZA THAMANI KWENYE "KilimoBiashara”

✍️Uongezaji wa thamani na mnyororo wa thamani ni mambo yanayo zungumzwa sana kwenye kilimo kutokana na umuhimu wake, sio tu kwa sababu ya kuongeza ubora wa bidhaa lakini pia kwaajili ya kufikia masoko ya uhakika.
✍️Leo napenda kwa pamoja tujifunze namna tatu za uongezaji wa thamani kwenye Kilimo Biashara na Ujasiriamali,
Njia hizo zitakuaidia kufanya utofauti katika soko ambazo ni
1. Kutengeneza bidhaa mpya kwa kutumia rasilimali au malighafi zilizopo.

Kwa mfano kama zao la msingi ni matunda ya parachichi, basi kitendo cha kutengeneza Juice au mafuta kutokana na maparachichi hiyo ni njia mojawapo ya kuongeza thamani ya maparachichi hayo.
Maswala ya Viwanda yote yanahusika katika namna hii ya kwanza katika kuongeza thamani ya malighafi zetu. Miwa- sukari, Pamba -nguo, Katani -Nyuzi/Magunia, Matunda -juice, Ardhi -Uzalishaji, Mahindi -unga/kande/n.k.
2.Kuhifadhi vizuri kwa mahitaji ya sasa na baadae (Muda)

Hii ni namna moja wapo ya kuongeza thamani kwenye mazao hayo, kwa mfano mazao ghafi ya kawaida ususani mboga mboga na matunda, zikihifadhiwa vizuri (package) na kwa hali itakayo fanya zisiharibike haraka na ziendelee kuwa
kuwa na ubora na ziuzwe kwa bei nzuri mfano kwenye supermarket.Niko na mfano mzuri niliwahi enda Game super market kuomb oder ya kupeleka nyanya walichokihitaji ni kwamba ziwe well packed na iwe ni consistent yaan kama ni 50kg basi kila siku kwa mwaka mzima niwe nawapelekea 50kg
3.Kusafirisha bidhaa sehemu yenye uhitaji zaidi
Hii ni namna ya kipekee ya kuongeza thamani ya mazao au bidhaa zetu ambazo tunaweza kuziona hazina thamani au ni za kawaida tu! Kumbe ukweli ni kwamba hizo bidhaa,mazao, au huduma tukizipeleka sehemu zenye uhitaji zitakuwa na thaman
Wahenga walisema, 'Penye miti hapana wajenzi', Nabii hakubaliki kwao n.k! Kwa maana hiyo, napenda nitoe wito kwa wadau wote wa Kilimo Biashara na Ujasiriamali kuwa tuangalie nje ya box na ndani pia (Out and In the Box) ususani fursa za masoko.
Tujiulize bidhaa, mazao au huduma tunazo zizalisha zinahitajika kwa kiasi gani nchini Tanzania, Barani Africa, Ulaya, Amerika, Australia, Asia, Urusi n.k.Fursa zipo nyingi kutokana na uhitaji uliopo na rasilimali au mazingira tuliyo nayo kimsingi ambayo yanaruhusu kuzalisha mazao
Imeandikwa na
MBWAMBO ALEX (0756747510)
C.E.O ,Alford Farm
Mshauri (Consultant), Mwandishi (Author)/Mkufunzi(Trainer), mhamasishaji, mtaalamu na mdau wa
Kilimo Biashara na Ujasiriamali
Tuache kuwaza makubwa katika kuongeza thamani ...Tuchukulie mfano japokua sina uhalali wa kutumia brand yake ye ujtanisamehe @mpambazi_ ile sabuni ya @CHAMPsoap kaadd value iko tofwauti na nyingine hiyo ndio tunaita value addition...nisiinadi tume ya usindani ikanitafuta
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with Mbwambo

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!