Kwa hii thread nimejitahidi kuonyesha baadhi ya ideas unazoweza kufanya ukiwa na mtaji wa aina yoyote mkubwa na mdogo piah
Watu wengi wamekuwa wakiangaika hama kuwauliza watu wao wa karibu ni biashara gani afanye au ukimuuliza ni
Kuwa maalum(specific) na usipende kufanya biashara yoyote kwani kama ujui unataka kwenda wapi basi uelekeo wowote utakupeleka usipotaka.
kulifanyia kazi na uanze sasa kwa kutumia chochote ulichonachoo usingoje kuwa na fedha nyingi ndiyo uanze.Chagua eneo gani upo vizuri na kuchukua hatua sasa.
2.Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha.
3.Kutengeneza na kuuza tofali.
4.Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali.
6.Kufunga na kutengeneza vifaa mbalimbali vya electroniki na mawasiliano mfano; compyuta na vifaa vya compyuta na mawasiliano.
7.Kuuza software; mfano Antivirus, Operating Systems, Pastel, Tally, Myob, n.k
9.Kufungua Duka la kuuza nguo mpya; suit, socks, batiki, nguo za asili, Mashuka, Mashati, Suruali.
10.Ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano Kondoo, Mbuzi, Ng?ombe, Kuku, Bata, na wengine.
12. Kutoa ushauri mbalimbali waKitaalamu.
13.Kuuza viazi, mahindi, mihogo, kutengeneza popcorn na kuziuza.
14.Kusajili namba za simu na kuuza vocha
16. Kilimo cha mazao mbalimbali kulingana na hali ya hewa ya sehemu husika.
17.Kuuza Mitumba.
18.Kusimamia miradi mbalimbali
19.Kufungua duka la kuuza mitambo mbalimbali.
21.Kukodisha turubai viti na meza.
22.Kufungua Supermarket.
23.Kufungua Saluni.
24.Kufungua Bucha.
25.Video Shooting & Editing.
27.Duka la kuuza matunda.
28.Kufungua duka la kuuza vifaa vya simu za mkononi na landline.
29.Kufungua duka la vifaa vya ujenzi; cement, vifaa vya umeme, duka la mabati.
30.Kutengeneza michoro mbalimbali ya majumba na miradi ya ICT.
31.Kuchapa vitabu, bronchures, n.k32.Kuanzisha kampuni ya ujenzi (Building contractor).
34.Kuuza maji kwa jumla na rejaleja.
35.Kutengeneza na kuuza Unga wa lishe bora.
36.Kukodisha Music
37.Kuanzisha Mradi wa Taxi
38. Kuanzisha mradi wa Daladala.
40. Kununua magenerator na kukodisha
41.Kufungua kampuni ya kutoa huduma za simu.
42. Kufungua kampuni ya kutoa huduma za internet (ISP).
44.Kujenga apartments
45. Kufungua Kisima cha mafuta ya taa au mafuta ya aina zote.
46.Kufungua Duka la samaki.
47.Kufungua Duka la nafaka.
48.Kufungua Shule za Awali, Shule za Msingi, Sekondari na Vyuo.
49.Kujenga hostel
51.Kujenga mtambo wa kuzalisha umeme na kuuza katika viwanda na wananchi.
52.Ufundi simu
53.Kufungua Hospitali, Zahanati.
54.Maabara ya Macho, Meno
55. Kuchimba/Kuuza Madini
57.Kuuza miti na mbao
58.Kufungua Grocery, bar
59.Kufungua studio ya kupiga picha
60.Kucharge simu/battery
61.Duka la TV na vifaa vingine
62.Kuanzisha biashara ya kuuza vyakula katika sherehe na tamasha mbalimbali catering
64.Kuuza na kushona Uniform za shule.
65.Kuanzisha duka la kuuza vitu kwa jumla.
66.Kufungua gereji za kutengeneza bajaji, pikipiki na magari
67.Kuuza vyuma, pembejeo, rake, jembe
68.Kutengeneza na Kuuza Furniture.
70.Kujenga nyumba za kulala wageni (hotel)
71.Kuagiza na kuuza vifaa vya aluminium.
72.Kuuza vioo
73.Kushona na kukodisha nguo za harusi.
74.Kufungua yard kwa ajili ya kuosha magari
76.Kuuza vifaa vya kuvaa Site (boots, helmets etc)
77.Kununua mabasi kwa ajili ya kusafirisha wanafunzi
78.Kufungua studio ya kutengenezavipindi vya redio na televisheni
79.Kuanzisha ofisi ya michezo ya televisheni (TV Games)
81.Kuwa na malori ya kubeba kokoto na mchanga.
82.Kuuza vifaa mfano TV, CCTV Camera
83.Kuwa dalali wa vitu mbalimbali
84.Kuanzisha mradi wa kukodisha fork lift na winchi (crane)
85.Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza viatu.
86.Kuanzisha viwanda mbalimbali
88.Kujenga Ukumbi wa kukodisha kwa sherehe, mikutano mbalimbali
89.Kununua matrekta, mitambo ya ujenzi wa barabara na kukodisha
90.Kutengeneza antenna na kuuza
92.Kufungua mradi wa kuuza vifaa vya Umeme wa kutumia upepo
93.Biashara ya kuagiza magari
94.Kufanya biashara za Jukebox
95.Kukodisha matenki ya maji
96.Kufungua duka la kuuza Asali
98.Kufungua Duka la vinyago, batiki
99.Kuanzisha huduma ya AIRTEL MONEY, MPESA, TIGOPESA, EZYPESA
100.Kuanzisha sehemu ya kufanyia mazoezi (Gym).
101.Kununua na kuuza vifaa vya kupima ardhi.
103.Kufungua Kampuni ya Ulinzi
104.Kufungua kampuni ya"Clearing and fowarding"
105.Kuchezesha vikaragosi
106.Kuuza spea za bajaji, magari na pikipiki
107.Kuuza baiskeli
108.Kuuza magodoro
110.Kuuza marumaru (limestones)
111.Kuuza kokoto
112.Kuuza mchanga
113.Kufundisha Tuisheni
114.Biashara za bima
115.Kampuni ya kusafirisha abiria kwa njia ya anga (ndege)
117.Biashara za meli na maboti.
118.Kampuni ya kuchimba visima
119.Kufungua ofisi ya wakili/mawakili wa kujitegemea
120.Kuuza mkaa
121.Kutengeneza mashine za kutengeneza tofali
122.Kampuni ya kupima ardhi
124.Kuchapa (printing) magazeti
125.Kuuza magazeti
126.Kuchimba mafuta
127.Kiwanda cha kutengeneza mabati
128.Kiwanda cha kutengeneza fanicha
129.Kiwanda cha kutengeneza matairi
130.Kutengeneza vitanda vya chuma
136.Kuuza Gypsum
132.Kukodisha makapeti
133.Kupamba maharusi na kumbi za harusi/sherehe.
134.Mashine ya kusaga na kukoboa nafaka.
135.Kazi ya ususi na kusafisha kucha.
138.Duka la kuuza mboga za majani
39.Duka la kuuza maua.
140.Kampuni ya kuzoa takataka
141.Kampuni ya kuuza magari
142.Kuuza viwanja
143.Uvuvi
144.Kutengeneza na kuuza nguzo za kujengea fensi
146.Duka la kuuza silaha
147.Ukumbi wa kuonesha mpira
148.Biashara ya Multi-Level Marketing-MLM
149.Yadi kwa ajili ya kupaki magari
150.Mradi wa trekta za kukodisha kwa ajili ya kilimo..
Please naomba RTs zenu tafadhali please uwafikie wengii