My Authors
Read all threads
FAIDA ZA KUNYONYESHA KWA MAMA NA MTOTO KIAFYA
Kutokana na utandawazi na harakati za maisha wanawake waliojifungua wamelazimika kutokunyonyesha watoto wao sawa sawa. Kitaalamu mtoto anatakiwa kunyonya miezi sita bila kupewa chakula isipokuwa dawa na chanjo tu
#UZI
FAIDA KWA MAMA
1. Kumpunguzia hatari ya kutokwa na damu nyingi baada ya kujifungua
2. Ni njia moja wapo ya kupanga uzazi
3. Kumlinda dhidi ya kansa ya matiti na kansa ya kizazi
4. Kumjengea uhusiano mzuri na mtoto
FAIDA KWA MTOTO
1. Kuimarisha kinga ya mwili na kumlinda magonjwa mfano; magonjwaya upumuaji na magonjwa ya mfumo wa chakula kama vile KUHARISHA
2. Kumjengea uhusiano mzuri na mama yake. Hivyo kumfanya mtoto awe ni mwenye furaha na kuchangamka
NAMNA SAHIHI YA KUNYONYESHA
1. Hakikisha mtoto ameshikwa vizuri; mkono mmoja usaidie kumkata vizuri kwenye makalio yake na mkono mwingine umshikie titi la mama
2. Mdomo wa mtoto uwe umeshikilia chuchu sawa sawa; sehemu ya juu ya weusi unaozunguka chuchu ndio uonekane kuliko weusi wa chini, mdomo wa chini (lower lip) ijikunje kwa nje (tazama picha), mtoto anapovuta ziwa isitoke sauti yoyote kuashiria kuvuta.
3. Ili kumuepusha mtoto tumbo lisijae gesi. Inashauriwa kumuweka begani mpaka ABEUE (tizama picha).
4. Haishauriwi kumnyonyesha mtoto huku mama akiwa amelala, inaweza kumsababishia mtoto KUPALIWA.
DALILI ZA MTOTO ALIYESHIBA VIZURI;
1. Halii ovyo
2. Anachukua muda mwingi akiwa amelala
3. Tumbo lake linakuwa limejaa kama tumbo la chura. Chura?? Ndio chura!

Chanzo: @jukwaalaafya @drmlalukoMD
#NyonyeshaKwaAfya
@MariaSTsehai @TOTMedics2020 @AfyainfoTrust
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with Dr. Rajabu Mlaluko, MD

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!