My Authors
Read all threads
#UZI KUHUSU NEMBO ZA TAIFA:

1- National Flag - Bendera
2- National Animal - Twiga
3- Uhuru Torch - Mwenge
4- Coat of Arms - Ngao ya Bibi na Bwana
5- National Anthem - Wimbo wa Taifa

Hizi nembo zote (National Symbols) zinalindwa na sheria yaani (Protected by law) isipokuwa 👇👇
Wimbo wa Taifa pekee ambao haulindwi na sheria.

KWANINI IKO HIVI?

Ili kitu kilindwe na Sheria ni lazima kiwe kinamilikiwa kwa asilimia 100. Tanzania haina Umiliki wa 100% wa Wimbo wa Taifa kwa sababu wimbo huu Tumeukopa kutoka kwa Jamii ya wa XHOSA 👇👇
Baada ya kupata UHURU mwaka 1961, Tanganyika ilianza kuutumia Wimbo huu kama 'Wimbo wa Taifa' lakini tayari ulikuwa unaimbwa na Jamii ya XHOSA iliyoko Afrika Kusini, na hata baada ya Muungano na Zanzibar, wimbo huu tumeendelea kuutumia. Sheria ya Nembo za Taifa ya mwaka 1971👇👇
ilitungwa ya kulinda HAKI MILIKI (Copyright) ya Nembo zetu za Taifa, haikujumuisha Wimbo wa Taifa kwa sababu hatuumiliki kwa 100%, TUMEUKOPA.

Mpaka sasa, Tanzania unaimbwa kwa lugha ya Kiswahili, Afrika ya Kusini (English) kama kipande cha Wimbo wa Taifa lao, pia Zambia . 👇👇
Wimbo huu ulitungwa na ENOCH MANKAYI SONTONGA (24) mwaka 1897 ukipewa jina la "Nkosi Sikelel' iAfrika" yaani, 'MUNGU IBARIKI AFRIKA' na ulitungwa uwe wimbo wa Shule lakini ukapendwa na watu wengi na kupata umaarufu na kuwa wa wimbo wa TAIFA lao, kabla hatujaukopa. Endelea 👇👇
Mpaka sasa, hakuna mwenye mamlaka kamili ya Wimbo huu kwa sababu, Kijana aliyeutunga alifariki mwaka 1905 na hakuna anayemiliki. Ndiyo maana unatumiwa na Nchi Tatu tofauti bila malumbano.

Nadhani hapa nimewasaidia wale mliokuwa mnabishara. Sisi ni Tanzania moja🇹🇿🇹🇿
Correction: South Africa ulianza kutumia huu mwaka 1997
Correction: Hapa ni National Flag (Bendera) na Coat of Arms (Ngao) ndivyo vilivyotungiwa sheria ya kuvilinda (The Panel Code 1971)
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with Baba Mwita

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!