My Authors
Read all threads
JE UNAJIANDAA NA INTERVIEW!?
VITU VYA KUZINGATIA

Leo tujifunze kuhusu interview au usaili

Wengi wetu tumeshawahi kudhuria interview na tunajua kabisa mziki na mtiti wa interview sio wa kitoto!

Interview inaweza kukupanikisha kiasi cha kukosa amani kabisa!
UZI UZI 👇👇👇
Kuna wengine hupata homa kabisa maarufu kama interview fever 🥵 na hujikuta wanaharibu na kukosa kazi ili hali sifa wanazo

Ifahamike kuwa panelist wanao ongoza interview wanataka kukuona ukijibu kwa ufasaha na kujiamini!
Hivyo ni muhimu kujiandaa vizuri kabla ya interview
Mambo ya kuzingatia/kujiandaa kabla ya usaili

✅1: Itambue kampuni au taasisi unayoenda kufanya interview! Jifunze na peleleza mambo yao ya kazi yakoje, hii itakuongezea mwanga wa jinsi hali ilivyo
✅2: Andaa vyeti vyote, copy na original ili ikitokea wamependezwa na wewe
uwaoneshe vyeti org! Itakupa credit sababu wengi huenda na copy tu

✅3: Fika mapema ama nusu saa kabla ya interview! Kuwah ni muhimu ili uzoee mazingira! Pia itakupa confidence na kukufanya urelax, sio unafika umekimbia mijasho km umetoka kufukuza mwizi, kuwahi hupunguza uoga
✅4: Vaa kwa heshima na unadhifu kulingana na profession yako, fuata profession code of wearing! Usivae vinguo vya kubana,, maurembo mengi, makeup iliyopitiliza, high heels au nguo zisizofaa siku ya interview
Weka mtindo wa nywele unofaa, nywele ziwe safi na nadhifu
✅5: Jiamini (self confidence) usiogope sababu interview sio kifo, sio kuwa unauliwa, panelist ni watu kama wewe, hivo jijengee confidence ya kutosha ili ufanye vema! Usijiamini kupita kiasi sababu utaonekana arogant! Ongea kwa kujiamini, kwa sauti ya kusikika na isiyoenesha uoga
✅6: Zingatia alama, usifanye chochote bila ruhusa ya panelist. Ukingia kwenye chumba cha usaili utakuta kiti chako kimeweka ila usikae km hujaambiwa! WTF kuna boss anakuja kukaa na wewe ushakaa!? 😂unakuwa umefeli! Wanaweza kukukaribishwa tea, soda nk, Shukuru! Usifakamie
subiri interview iishe ndio utumie hivyo vitu! Logic yake ni kuwa utaongeaje huku unakula!? Utaonekana hujui na hujafunzwa maadili mema

✅6: Jishushe na uwasikilize, licha ya kuwa unaweza kuwa umewazid elimu n mengine, ila itabidi uwasikilize panelist vyema kabisa na kuwaheshimu
✅7: Zima simu yako ili isisumbue wakati wa interview! Interview ni suala la kiofisi hivyo nidhamu ya juu inahitajika! Sio busara watu wazima wanakufanyia usaili alafu simu yako inakatisha mchakato! Km huwez zima basi unashauriwa kuweka katika mfumo wa vibration au silent
✅8: Jitahidi kujibu maswali kwa ufasaha, toa majibu yasiyoleta uwalakini! Usitoe majibu mepesi kwa maswali magumu!

Fikiri vizuri kabla kufumbua mdomo wako na km utakuwa hujaelewa swali omba walirudie au waliweke kwa mfumo mwepesi! Tumia lugha fasaha na sanifu muda wote
9: Katika kujieleza kwako, jitahidi kuonesha upekee wako ( areas of exceptional) ili uuzike, sera zako na uwezo wako katika fani mbali mbali viweke hadharani, sema kitu gani kipya utakifanya ikiwa utapata nafasi!
If you want to be unique then come with new ideas
10: Tabasamu na kuwa mchangamfu: create first impressions kwa kuwa mcheshi na mchangamfu! Usinune na kuwa serious sana like the whole world is watching, be humorous, funny and humble!

Hii itakupa credit sababu hata ukiulizwa swali gumu hutaogopa na utazid kujiamini
Kesho nitakuletea maswali 15, ambayo mara nyingi huulizwa kwenye interview na namna bora ya kujibu ili ufanikiwe

Worth to share!?
Umejifunza!?
Retweet elimu hii
Pia tuinuane folow @IamFranco92 @abdulazackabdul @mpambazi_
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with Sultan M N Y A L U 🇹🇿🇹🇿🧚‍♀️🧚‍♀️

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!