.
[UZI 👇🏽]
.
Kama Una Mpango wa Kuuza Knowledge, skills au Taarifa zozote Mtandaoni usipuuze uzi huu kwasababu nakwambia ukweli uliopo sokoni
.
Binafsi naamini kama 👇🏽
.
Kabla sijakwambia ni Kitu gani nataka nikupe story fupi kuhusu my own experience kwenye Hii Topic
.
Mwaka 2018 niliacha kazi na kuamua kufanya online business kama full time job 👇🏽
.
Kwahiyo nilikuwa na uwezo wa kuuza bidhaa/huduma yoyote online aidha ni ya kwangu binafsi au ya watu wengine (Affiliate & dropshipping) na nikatengeneza pesa on my own time
.
👇🏽
.
Baada ya Muda nikaamua Kutengeneza Mini- course inayohusu Online positioning kwa lengo la kuuza bidhaa/huduma yoyote
.
Kwasababu nilihisi kuna tatizo hilo Sokoni na watu wengi walikuwa wana kosa mauzo kibao kisa tu Jinsi 👇🏽
.
Kwasababu wateja huwa wanamnunua mtu aliepo nyuma ya kile kimachouzwa na sio bidhaa/huduma kama Jinsi ilivyo
.
Ndio maana unaweza ukachukua ebook yangu ya copywriting au closing na usiweze 👇🏽
.
Mfano unaweza ukachukua madini yote ya @GillsaInt anayotema hapa TL ukatengenezea ebook ila cha ajabu hakuna mtu 👇🏽
.
Unadhani ni kwanini?
.
Kwasababu watu hununua brand, watu humnunua eliyepo nyuma ya bidhaa/huduma (People buy people)
.
Chukua Hii hapa👇🏽👇🏽
.
Okay tuendelee...
.
Ile course nilitengeneza kwasababu NILIHISI kuna uhitaji Sokoni 👇🏽
.
Usihisi, waulize au fanya utafiti wa kutosha juu ya kile unachotaka kukiuza
.
Kwahiyo kosa la kwanza ilikuwa ni kuhisi Kuwa watu
.
Kamwe usisahau kitu hiki hapa👇🏽
.
Usiuze bidhaa/huduma kwasababu unataka kuuza, Uza bidhaa/huduma ambayo wateja wako wanataka kununua
.
Kumbuka wewe sio mteja
.
Ukiuza au Kutengeneza bidhaa/huduma kwa kujiwaza wewe basi utajiuzia👇🏽
.
Nilipoteza Muda zaidi ya miezi miwili Kutengeneza course yenye zaidi ya videos 22 zenye dkk 10
.
Nikafungua YouTube Account kisha nikazipandisha kwenye Private Account ambayo huwezi kuona mpaka nikupe access baada ya kulipia
.
Nikiwa na furaha 👇🏽
.
Siku naitangaza course rasmi ebhana eh wateja walinipiga spana yaani course imetangazwa zaidi ya week sikufanya sale hata mtu mmoja
.
Swali likaja “WHY?” , kwanini hawanunui wakati naona kabisa wanahitaji 👇🏽
.
Never Unlearn this👇🏽👇🏽
.
“Kuna tofauti kubwa sana Kati watu kuhitaji kile unachotaka kukiuza na Kuwa tayari kulipia kile unachotaka kukiuza”
.
Watu wanaweza kukwambia kabisa wanahitaji bidhaa/👇🏽
.
Wateja hawana tofauti sana na wajumbe wanaweza wakakutia upepo na ukapoteza Muda na pesa ukaleta bidhaa/huduma halafu Wakala kona
.
Fanya Hivi hapa chini ili kuepuka 👇🏽
.
1. Kabla hujaingia gharama yoyote ya Kutengeneza bidhaa/huduma waulize kwanza wanahitaji kusolve tatizo gani hasa
.
Na baada ya kujua tatizo Lao waulize wanadhani watakuwa tayari kulipia Tshs👇🏽
.
Kiufupi watakwambia kila kitu wanachotaka wao kununua sio kile unachotaka wewe kuuza
.
2. Tengeneza LISTS aidha ni e-mail lists, WhatsApp & Telegram Groups nk
.
Kwa Muda nlofanya biashara online 👇🏽
.
List ndio soko lako lenyewe
.
Ukiniuliza ni kitu gani muhimu Kuwa nacho kwenye biashara yoyote online Nitakwambia ni “A HUNGRY CROWD” yaani soko lenye Njaa ya kile unachokiuza
.
Najua wengi watasema ni Copy👇🏽
.
Nitakwambia Kuwa na Lists ni muhimu kwasababu utaweza kuuza bidhaa/huduma yako hata kama huna hata Mia ya kurun Matangazo siku hiyo
.
Utatuma tu OFA kwenye whatsApp, Telegram au e-mail list yako then Boooom you make money 👇🏽
.
Tengeneza Tittle tu ya ebook au Course Kabla hujaanza Kutengeneza anza kufanya “Pre-sell” (Pre-order)
.
Mfano..
.
Unawaambia kwenye groups zako au kwenye e-mail👇🏽
.
“Una Mpango wa Kutengeneza Course au ebook yenye kusolve tatizo fulani na baada ya Course au ebook kukamilika itauzwa Tshs kadhaa
.
Ila nataka hii Course au ebook tuiandae wote Mimi pamoja nanyi
.
👇🏽
.
Lakini nataka nitoe nafasi kwa watu 100 tu watalipia Tshs 20,000 tu na watakuwa wa kwanza kuipata course au ebook Kabla haijatoka popote
.
Kumbuka hapo unatest market response Kabla 👇🏽
.
Ukiona wanaanza kulipia jua hicho kitu kita soko
.
Kwahiyo utajikuta umeshapiga HELA za pre sell hata kabla hujaandaa chochote
.
Na utajikuta unaandaa bidhaa/huduma tayari Ina soko na👇🏽
.
Nakumbuka Course yangu ya Pili nilipiga mpunga hata kabla sijaandaa course
.
Siri Hii ni kubwa mno japo I learned it in a very hard way!
.
Chukua itumie haina haja ya kuijaribu tayari nilishaijaribu kwa ajili yako
.
Kikubwa zaidi👇🏽
.
Can you do me a Favor? (I know you said YES!)
.
RETWEET Uzi huu
.
Mgodi ndo unaanza kutema tanzanite 😃