My Authors
Read all threads
NYANGUMI MNYAMA MWENYE MAAJABU 12 YA KIPEKEE

1. Moyo wa nyangumi una kilo 600, ukubwa wake ni sawa sawa na ukubwa wa gari ndogo

2.Mtoto wa nyangumi hunywa lita 400 kila siku akiwa na umri wa miezi 7 tu.
3. Mtoto wa nyangumi ana uzito wa kilo 2700 ambayo ni sawa sawa na kifaru mkubwa size ya mwisho
 
4. Uzito wa nyangumi mkubwa unakadiriwa kuwa wa tani 200 hadi 300

5. Ulimi wa nyangumi una uzito wa tani 3 ambao ni uzito zaidi ya Tembo mkubwa
6.Mdomo wa nyangumi unaweza kuhifazi tani 90 za chakula na maji akiufumbua mpaka mwisho

7. Chakula kikuu cha nyangumi ni dagaa kamba, ambapo nyangumi mkubwa hula dagaa kamba zaidi ya 4000000 kwa siku, ili nyangumi ashibe vizuri anakula kilo 3600kg
8. Nyangumi anaweza kuishi mpaka kufikia miaka 80

9.Baadhi ya mishipa ya nyangumi ni mikubwa kiasi kwamba Binadamu anaweza kuogelea ndani ya mishipa hiyo bila kugusa pembeni 

10. Ukubwa wa nyangumi unaweza kulinganishwa na ndege aina ya Boeing 737
11. Urefu wa nyangumi unakadiriwa kuwa wa mita30 mpaka 50, ukimuweka ardhini urefu wake ni sawa sawa na urefu utakaojitokeza baada ya kuyapanga magari 9 ya size ya familia.
12. Nyangumi ndio mnyama mwenye sauti kubwa kuliko kitu chochote duniani. Hutoa sauti kali sana ya kipimo cha decibles188 ambayo inaweza kusikika mpaka umbali wa kilomita 848.

#NiWanyamaWetu
Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh.

Keep Current with Dr.Socy²³ (HS)

Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

Twitter may remove this content at anytime, convert it as a PDF, save and print for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video

1) Follow Thread Reader App on Twitter so you can easily mention us!

2) Go to a Twitter thread (series of Tweets by the same owner) and mention us with a keyword "unroll" @threadreaderapp unroll

You can practice here first or read more on our help page!

Follow Us on Twitter!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3.00/month or $30.00/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!