Vita ya Korea ya ilianza karne ya 20 kati ya 1950- 1953.
Korea ya Kaskazini ilivamia Korea ya Kusini. Korea ya Kaskazini ilisaidiwa na Jamhuri ya Watu wa China na Umoja wa Kisovyeti. Korea ya Kusini ilisaidiwa na Marekani hasa. Lakini Marekani #KoreanDream#OneKorea#Tanzania
Katika awamu ya kwanza kuanzia mwezi wa Mei 1950 jeshi la kaskazini lilivamia Korea ya Kusini likateka mji mkuu wa Seoul na kusukuma watetezi hadi kusini ya rasi ya Korea. Lililobaki mnamo Agosti/Septemba 1950 lilikuwa eneo la Pusan pekee #KoreanDream#OneKorea#광복절#Tanzania
Baraza la Usalama @UmojaWaMataifa (30 Julai 1950) iliamua kuingilia kijeshi dhidi ya uvamizi kutoka Korea Kaskazini. Azimio hii lilipita kwa sababu Umoja wa Kisovyeti hukuhudhuria kikao hivyo ulishindwa kupiga veto yake. Na Marekani akapata mwanya wa Uvamizi #OneKorea#Tanzania
Ikumbukwe Marekani aliogopa sana kukua kwa Russia kuliko toa mwanya wa kueneza ujamaa na walidhani wakiteka Korea ya Kusini Bara yote ingekuwa na wajamaa wa China, Russia, korea kasikazini, Wanjeshi wengi walioenda Vitani walikuwa wamarekani na Nchi zilizomuhunga mkono #OneKorea
1950 jeshi la China likaingia kati na kuwasukuma Wamarekani kusini tena na kuteka Seoul mara ya pili,Ndege za kijeshi za Umoja wa Kisovyeti zilisaidia zikilinda anga nyuma ya mstari wa mapigano lakini bila kuwashambulia Wamarekani juu ya eneo lao. #OneKorea
Badae jitihada za kuunganisha Korea ya kasikazini na kusini zimekuwa zikisonga bila kuzaa matunda, Mwaka jana Korea kusini na kasikazini walikutana na kufanya mazungumzo ya Amani #OneKorea@HyunJinPMoon
Na viongozi wengine Duniani wamekuwa mstari wa mbele kuhamasisha wananchi wa korea kurudisha Amani, Wanachi wa Korea walipata nafasi ya kuonana tena na kuzungumza baada ya miaka mingi sana #OneKorea
Dr @HyunJinPMoon ni miongoni mwa wadau wakubwa ambaye amesisitiza kuwepo kwa Amani kati ya korea kusini na kasikazini, Siku zote ametaka Nchi zote ziunge mkono Jitihada za kuungana na kuhakikisha watu wake wanarudi kustawi kama kabla ya mapigano #OneKorea#Tanzania
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
Japo wanawake wengi walishiriki katika Harakati za Ukombozi wa Tanzania, Tafiti nyingi zinaonyesha bado wengi hawajaweza kusimama na kushiriki katika vyombo vya kimaamuzi, Wengi wanakumbuka Historia ya Bibi Titi kama mama shupavu aliyeongoza harakati za ukombozi
Thread
Mama Sofia Kawawa ni miongoni mwa wanawake ambao walitoa mchango wa kiuongozi na pengine kumwambia Mwl JK Nia ya dhati ya kuongeza wanawake wengi kwenye nafasi za kugombea
Hoja ni je pamoja na hawa wote je kuna matunda yametokea ?
Baada ya Tanganyika kupata uhuru 1961 chini ya chama cha TANU walilidhia kwamba kuwepo na uwakilishi wa wanawake Bungeni na ikaamuriwa kati ya wajumbe 73 basi 6 wawe wanawake (7.6%) ya wabunge wote, Tanzania Women Parliamentary Group (TWPG) chini ya Anna Abdallah, ni matokeo