Sasa nimekuja, tunatakiwa tujue haya👇👇👇
💢Blog ni nini?
💢Aina kuu za Blogs
💢Domain ni nini?
💢Mifano ya Domain
Hitimisho
#Uzi 👇
-Domain ni jina la blog. Mfano; Jamiiforum.com, Millardayo.com
Yote haya ni majina ya blog au tovuti. Domain au jina la blog huwa na sehemu kuu mbili ambazo ni;
&Mzizi(jina)
&Kiambishi tamati(extension).
Hivyo jamiiforum
Ili uwe na blog unayotaka iwe ina kulipa kitu cha kwanza kufikiria ni Top level domain na hizo domains huwa hazipatikani...
Top level domain mara nyingi huwa baada ya jina la blog yako inafuatia extension(domain).
Mfano; Jamiiforums baada ya jina..
Zile ambazo sio Top level domains huwa za bure na unakua huna uhakika wa umiliki kwa 100% hivyo unaweza ukaamka siku inayofuata usiione blog yako hewani na ukiuliza utaambiwa...
Hivyo ukitaka kuwa na blog itakayokuwa inakulipa kila mwezi unatakiwa ununue domain.
Blog ambazo sio top level domain huwa ndefu mfano; jamiiforum.blogspot.com
Sasa hii ni ngumu kutamka tofauti na top level domain
Hivyo top level domain ni fupi na rahisi sana kutamka na kuikumbuka
-comercial, hii hutumika kwa blogs na website zinazofanya biashara mfano mwananchi.com
.mil domain
---Millitary, hiihutumika zaidi kwenye website au blog za jeshi mfano; jwt.mil.tz pia huwezi sema jwt.com
---Company, hutumika zaidi kwenye websites au blogs za kampuni. Mfano; azam.co.tz pia usikariri inaweza ikawa azam.com kwa sababu hujishughulisha na biashara. Angalia azam imajishughulisha na nini...
---Academic, hutumika kwa vyuo na taasisi husika zinazojihusisha na masuala ya elimu. Mfano; udom.ac.tz pia usikariri maana udom ni chuo kinaweza husika na network kitakua udom.ne au udom.co.tz
Na mengine meengi.
Hitimisho!!
Viti vyw kudhingatia unapotaka kununua domain name ni kama hivi;
&Jina liwe fupi ili iwe rahisi kulitamka
&Liendane na maudhui ya blog au website. Mfano; jamiiforum, limebeba maudhu ya blog yenyewe.








