#Thread. NON-FARM PAYROLL NI NINI NA JINSI YA KUTRADE KWENYE SOKO LA FOREX.
Hapa nitakuelezea jinsi NFP inaweza kuongezea profitability kwenye Forex market.
NON-FARM PAYROLL NI NINI?
Non-Farm Payroll kwa kifupi inajulikana kama NFP. Hizi hua ni economic data ambazo hutolewa kila Ijumaa ya mwanzo wa mwezi katika uchumi ya Marekani. Kwenye soko la Forex NFP inasababisha speed au volatility kubwa ya kubadilika kwa thamani ya sarafu.
Hizi data zinaashiria nini?
kama nilivosema hapo awali NFP reports ni kwa upande wa Marekani na hua zinapima namba au kiwango cha watu walioajiliwa na wasio ajiliwa ukitoa sector ya Kilimo. Effects zake kwenye soko la Forex inatokea with 30-45 minutes
Hizi data zinatolewa na nani?
Employment na unemployment rates hua zinatolewa na Bureau of Labor Statistics (BLS). kazi yake ni inafanya utafiki kwa private na public entities zote kuhusu waajiliwa. BLS hua inacover approximately 80% ya US sector Business ambazo huchangia GDP.
NFP inasaidia nini?
Mostly NFP reports zinatumiwa na Economist, Policy planners pia na Wafanya biashara. Kwenye soko la Forex NFP inakua muhimu kwa sababu moja inatoa rates za thamani ya sarafu husika,hii inatokana na kujumuisha kiwango cha employed na unemployed population.
Forex traders /wafanya biashara tunaangalia nini kwenye NFP?
NFP reports kabra ya kua released hua tayari tuna forecasted rates na previous rates. Currently rate ya employments ndio utoa direction either thamani ya sarafu itashuka au itapanda.
Mfano. NFP inatoa sector zipi zinakua na zipi hazikui. Kwa maana kama sector itakua rated kwa kukua hata ujangiaji wa pato la ndani unakua mkubwa hapo ndio shares za makampuni husika zinapanda kwenye masoko makubwa kama NYSE au NASDAQ100.
Msimu gani unakua mzuri?
Kihistoria, NFP reports za mwezi Mei ndio hua best sana ikiwa na average ya 129,000 additional jobs. Mwezi August hua ni mbaya ukiwa na average ya 69,000 additional jobs. 1994 ndio mwaka ulivunja record kwa kua na 3.85 Milion added jobs,
2009 ulikua mwaka mbaya ukiwa na 5.05 Milion lost jobs, 2020 inaweza ikawa pia mwaka mbaya kwa sababu ya Covid-19.
Je unawezaje trade NFP?
Kwa forex traders hapa hua tunamakundi ya traders. Tuna Fundamental traders na Technical traders.
Technical traders najitolea mfano mimi, strategy yangu haiweki consideration ya news release. Kitu tunachokifanya ni kutumia strategie za kulinda mtaji ikiwa ndo kipindi ya NFP data release mf. lazima kuangalia economic news calendar, kutumia trailing stop, Break-Even, stop loss
Fundamentals traders.
Hawa sasa NFP ndio uwanja wao, kitu anachokifanya huyu trader kabra ya news release anakua anajua past rates na forecasted rates ya employments rates. Kitu kingne wanakua na Probabilities mbili wakiwa kwenye charts.
mf Nachukulia USDJPY wakiwa kwenye lower timeframes mostly ni 1M,15M na 30M, data zinaweza kua positive kufanya USD kua strong than uchumi wa JPY kwa maana hapa mtu atajua either atabuy au atasell hivyohivyo rates zikiwa negative.
Remember kua makini ukiwa unafanya analysis zako. Mimi sio Fundamental expert analyst haya maelezo usiyachukue ukaweka risk ya capital yako. Fanya research nzuri before hujaweka capital yako.
It’s nice to learn free material but they never show you exactly how to make money in a professional way.
- 2 years of me losing I had no guidance. It’s better to have a friend or a person who has done it before you.
It’s better than wasting time and money.
2/ Develop a trading strategy
I used to trade blindly like most beginners do, changing strategies day after day.
- My biggest mistake was trading without knowing what strategy i’m using.
- Build a strategy that will guide your decisions in the market.
Hivi ndivyo Metaverse itawanufaisha content creators na kila mtu kujipatia kipato kama ilivyo kwenye real world.
Tayari metaverse tumeshaanza kuiishi >>> Kupitia hii thread nitagusi sehemu ambazo tayari watu wanajipatia fulsa
-Content creators
-Gamers
-Freelancers
-Real Estate brokers
Kabla ya kuendelea na hayo maeneo, tuelewe METAVERSE kwa ufupi.
Kama unafatilia movie za AVATAR issue ya metaverse sio kitu kigeni kwako, tumezoea kuona kwenye movie.
Makampuni ya games kama Roblox imekua inatumia visual reality kama sehemu ya watu kua entertained kwa kucheza games.