WACHAGA WAMEGAWANYIKA KAMA IFUATAVYO; SIO WOTE WAJANJA.
Kuna:-
1. Warombo
Wajanja sana kibiashara/wezi pia, wameajiri Wamarangu mjini ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini wakileta kiburi mjini. Wanawake zao ni mama Huruma, wanaachia tu.. Ukioa mrombo ujue umeolea kijiji.
2. Kuna Wamarangu
Wazuri sana wa sura na umbo wanawachuna Warombo. Wanawake wana dharau sana na wanaume ni waoga kuliko wanawake. Mwanaume wa Marangu kupigwa na mkewe si jambo la ajabu.
3. Kuna Wakibosho
Wanafanana na Warombo lakini ni wavumilivu zaidi. Biashara kubwa wanayofanya ni ya kuchinja... Wengi wanamiliki mabucha. Wana hasira sana na ni wakatili.. Akikuchoma kisu, siku ya mazishi anakuja kudai kisu chake.
4. Kuna Wamachame
Hawa ni wezi sana,ukifanya nae dili umeliwa, niwasiri sana, anaweza kukuua huku akitabasamu, sio waaminifu sana lakn huenda kanisani mara nyingi zaidi kuliko Wachaga wote. Wanawake wa machame wanaitwa 'Wapalestina'.Mume ukitajirika mkeo anakuua ili arithi mali
5.Kuna Wauru
Hawa hupenda kusoma sana lakn hawapendi maendeleo kabisa,wanawake wakifikisha umri wa miaka 40 hua wehu na wanaume huwa vichaa mapema zaidi.Wanaume ni wavivu,wanawake ni wachapakaz hodari. Wanazurura mjni na mabesen wakiuza ndiz mbivu.Ukioa Uru jiandae kulea kichaa
6. Kuna Wakirua, wanapenda sifa kama Wahaya. Wanawake wa Kirua ni wachawi kupindukia.. Wanaloga hata jiwe ili tu alikomoe.. Wanaume wao hawaoi kwao.. Hawapendi kuishi mjini maana wanaogopa gharama.. lakini siku wakija mjini watatu tu utadhani wako mia.
7. Kuna Wa-old Moshi.
Hawa ni mafundi stadi wa ujenzi wa nyumba, japo hawajengi kwao. Mpaka leo hamna daladala ya kwenda Old-Moshi kuanzia Moshi mjini, maana ni wabishi kulipa nauli na pesa inaishia kwenye mbege njiani.
Wanaume wamezoea kutoka nyumbani saa kumi na moja alfajiri na kurudi saa sita ya usiku kwa miguu.!
JE, NI KIPI HUMFANYA MWANAUME KUINGIA RASMI KWENYE NDOA?
👇👇
Wanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni MAPENZI na SEX. Lakini inapofika hatua ya Kuoa, Wanaume hawaoi kwa sababu ya SEX au MAPENZI, wanaoa kwa sababu ya kutafuta AMANI NA UTULIVU WA NAFSI (STABILITY).
Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe,
Mwanaume anaweza kuwa anafanya mapenzi na wewe tena mkadumu kwa muda mrefu lakini asikuoe.
Lakini akampata mtu mwingine akamuoa hata kama mahusiano yake na mtu huyo yalikuwa ya miezi miwili.
Wanaume wengi hutizama mbali zaidi pale wanapotaka KUOA. Huwa hawafikirii habari za suti kali za harusi na sherehe ya gharama, vitu ambavyo hufikiriwa zaidi na wanawake kila wanapoiwaza ndoa.
DAWA KUMI AMBAZO MAMA MJAMZITO HATAKIWI KUZITUMIA KABISA
Leo tutaangalia dawa ambazo jamii yetu hupenda sana kuzitumia lakini bahati mbaya baadhi ya dawa hizo hazitakiw kupewa kwa wajawazito kabisa kulingana na madhara makubwa yanayoambatana na dawa hizo kwa mtoto aliyepo tumbon
1.Albendazole;
hii ni dawa ya minyoo ambayo
hutumika mara kwa mara kujitibu lakini ni dawa mbaya sana kwa akina mama wajawazito kwani una uwezo wa kutoa mimba kabisa hivyo
mebendazole hutumika kama mbadala.
2.Gentamycin:
hii ni dawa ambayo iko kwenye
mfumo wa sindano tu, mara nyingi hutumika kutibu magonjwa ya mfumo wa mkojo.
Dawa hii huharibu mishipa ya fahamu (auditory nerve) ambayo hutufanya sskusikia. Hivyo matumizi ya dawa hii huweza kusababisha mototo kuzaliwa akiwa kiziwi
Kwa huzoefu wangu nahisi biashara ya mgahawa inalipa kwa wakati kuliko biashara nyingine ile.
Chakula ni hitaji muhimu kwa maisha ya kila mwanadamu, lazima watu wale.
ZINGATIA huduma bora, chakula kizuri na eneo zuri.
CHANGAMOTO ya biashara hii ni kwamba inataji lazima uwe na msaidizi mchapakazi lakini pia uwe serious na unachokifanya.
📌CHANGAMOTO nyingine ni wateja wakiume kuja kwa njia ya kutaka huduma tofauti na bidhaa husika, badala kula chakula wanataka kumla mpika chakula.
Lakini ndio wateja ambao watakuvusha na kupiga hatua ilimradi usiwe mkali kwa wateja hata wakiongea nini achana nao focus kwenye mradi wako ili na wao waendelee kuja.
Saa ya mkononi ina madhara iwapo utaivaa kwa muda mrefu, wanasayansi wanashauri sio sahihi kulala ukiwa umevaa Saa (ya mkononi).
2. USILALE UMEVAA SIDILIA (wanawake wanayovaa kwenye matiti ).
Wanasayansi wa America wamegundua kuwa wanaovaa sidilia zaidi ya masaa 12 Wako kwenye hatari zaidi ya kupata Kansa ya matiti.
3. USILALE NA SIMU IKIWA KARIBU.
Wanasayansi wanashauri usiweke simu pembeni kwasababu ya mionzi ya simu sio salama hasa ukiwa umelala, ni vizuri ukaizima kama ni lazima ukae nayo karibu.
Kama ulikua unaendelea kufanya mapenzi kawaida kisha unaona uke wake unabana sana uume wako au kama ulikua umeweka kidole kisha unaona kidole chako kinabanwa basi ujue amefika kileleni.
2. Kupumua kwa kasi sana;
Hii hutokea pale anapokua tayar amemalza kufka kileleni, hupumua kwa kasi sana na baadaye huanza kupumua taratibu. Kitaalamu mtu huyu akipimwa hukutwa na presha iliyopanda na mapigo ya moyo kua juu sana,hii inaweza kuwa sababu kwann baadhi ya watu vifo
huwakuta wakati wa ngono.
3.Hujaribu kuzuia chochote unachofanya;
Anaweza kukuzuia kuendelea kuingiza uume kwake yani utulie vile vile ulivyo au akakushika mikono yako kwa nguvu sana au kushkia vidole vyako kama ulikua unatumia vidole vyako kumssimua kwenye sehemu zake za siri
MAPUNGUFU YA KISHERIA KATIKA KESI YA YESU (KWA MUJIBU WA SHERIA YA WAYAHUDI)
Usiku Yesu alipokamatwa alifikishwa mbele ya wafuatao kwa mashtaka, Caiaphas - Kuhani mkuu (na aliye agiza yesu akamatwe na pia ndiye aliandaa mashtaka), Annas - Kuhani mkuu mstaafu, na Sanhedrini -
Baraza la makuhani. Kwa kuwa hawa ni viongozi wa kidini Yesu hapa alishtakiwa kwa makosa mawili;
1. Kufuru (blasphemy), 2. Kajitangaza kuwa ni mwana wa Mungu na Messiah
Baadaye akapelekwa kwa kwa Pilato, na huko mashtaka ghafla yakabadilika na kuwa matatu yafuatayo;
- Kutaharakisha jamii na kusababisha uasi (rioting)
- Kukataza watu kulipa kodi
- Kujitangaaza kuwa ni mfalme wa wayahudi (uhaini).
Makosa haya chini ya utawala wa Rumi adhabu yake ni kifo;