DAWA KUMI AMBAZO MAMA MJAMZITO HATAKIWI KUZITUMIA KABISA

Leo tutaangalia dawa ambazo jamii yetu hupenda sana kuzitumia lakini bahati mbaya baadhi ya dawa hizo hazitakiw kupewa kwa wajawazito kabisa kulingana na madhara makubwa yanayoambatana na dawa hizo kwa mtoto aliyepo tumbon
1.Albendazole;

hii ni dawa ya minyoo ambayo
hutumika mara kwa mara kujitibu lakini ni dawa mbaya sana kwa akina mama wajawazito kwani una uwezo wa kutoa mimba kabisa hivyo
mebendazole hutumika kama mbadala.
2.Gentamycin:
hii ni dawa ambayo iko kwenye
mfumo wa sindano tu, mara nyingi hutumika kutibu magonjwa ya mfumo wa mkojo.
Dawa hii huharibu mishipa ya fahamu (auditory nerve) ambayo hutufanya sskusikia. Hivyo matumizi ya dawa hii huweza kusababisha mototo kuzaliwa akiwa kiziwi
3. Ciproflaxin;

hii ni dawa ambayo hupatikana kwenye mfumo wa vidonge na sindano, mara nyingi hutumika kutibu typhoid, UTI au magonjwa
ya njia za mkojo na magonjwa baadhi ya zinaa.
Dawa hii huharibu ukuuji wa mifupa ya mtoto na huweze kutoa mtoto asiyetembea mwishoni.
4.Doxycline:

hii ni dawa ambayo hupatikana kwa mfumo wa dawa za kumeza kitaaalamu kama capsules, dawa hizi ni antibiyotiki yaani hutumika
kuua bakteria wa aina tofauti. Bahati mbaya huweza kuingilia mfumo wa utengenezaji wa
mtoto ikitumika miezi mitatu ya mwanzo na kusababisha
kuzaliwa na mtoto mwenye viungo pungufu au zaidi.

5.Dawa ya mseto ya malaria au ALU;

dawa hii ni salama kipindi chote cha ujauzito isipokua miezi mitatu ya kwanza ambapo dawa hii huweza
kuingilia ukuaji wa maumbile ya kwanza ya mtoto na kutoa motto asiye na
viungo vya kawaida.
6.Metronidazole/fragile;

Ipo kwenye kikundi cha antibayotiki yaani hushambulia bakteria.

Hutumika mara nyingi kuua
minyoo ya amiba na kutibu magonjwa ya mfuko wa uzazi wa mwanamke na ikitumika miezi 3 ya kwanza ya ujauzito huingilia mfumo wa utengenezaji wa viungo vya mtoto
7.Mesoprostol:

Iko kwenye kikundi maarufu cha prostanglandins analogue,
hutumika sana kuongeza njia ya mlango wa uzazi kipindi cha kujifungua na pia hutumika kutibu madonda ya tumboni hivyo matumizi ya dawa hii kipindi cha ujauzito yana madhara makubwa mno
ikiwemo kutoa mimba.
8.Aspirin:

Hii ni dawa ya maumivu ambayo humezwa mara kwa mara na hupatikana kirahisi
tu, lakini dawa hii ina uwezo wa kusababisha kuvuja kwa damu nyingi hasa mama akipatavmatatizo flani ya uzazi kama placenta previa.
Sio dawa nzuri sana kipindi cha ujauzito.
9.Praziquantel:

Hii ni dawa inayotumika kutibu
minyoo flani inayopatikana kwenye sehemu za maji yaliyotuama, ni hatari sana kwa wamama wajawazito kwani huiingilia mfumo wa ukuaji wa mtoto.
10.Furesamide:

Hii ni dawa ambayo inapatikana kwenye kikundi cha diuretic.. mara nyingi
hutumika kushusha ongezeko la maji nje ya mfumo husika wa damu [oedema] na kutibu
presha kubwa ya damu. Sio dawa nzuri kwa akina mama wajawazito kwani
wajawazito hua na
presha ya chini kidogo hivyo huweza kuishusha chini kabisa [intravascular volume depletion].

WASAMBAZIE WENGINE ILI WAELIMIKE NA KUENDELEA KUELIMISHA WATU WENGI ZAIDI.

You can follow @biturojr

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Dr.Socy²³ (HS)

Dr.Socy²³ (HS) Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @biturojr

12 Nov
JE, NI KIPI HUMFANYA MWANAUME KUINGIA RASMI KWENYE NDOA?

👇👇

Wanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni MAPENZI na SEX. Lakini inapofika hatua ya Kuoa, Wanaume hawaoi kwa sababu ya SEX au MAPENZI, wanaoa kwa sababu ya kutafuta AMANI NA UTULIVU WA NAFSI (STABILITY). Image
Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe,
Mwanaume anaweza kuwa anafanya mapenzi na wewe tena mkadumu kwa muda mrefu lakini asikuoe.

Lakini akampata mtu mwingine akamuoa hata kama mahusiano yake na mtu huyo yalikuwa ya miezi miwili.
Wanaume wengi hutizama mbali zaidi pale wanapotaka KUOA. Huwa hawafikirii habari za suti kali za harusi na sherehe ya gharama, vitu ambavyo hufikiriwa zaidi na wanawake kila wanapoiwaza ndoa.
Read 5 tweets
11 Nov
BIASHARA YA CHAKULA (MGAHAWA)

 Kwa huzoefu wangu nahisi biashara ya mgahawa inalipa kwa wakati kuliko biashara nyingine ile.

Chakula ni hitaji muhimu kwa maisha ya kila mwanadamu, lazima watu wale.

ZINGATIA huduma bora, chakula kizuri na eneo zuri.
CHANGAMOTO ya biashara hii ni kwamba inataji lazima uwe na msaidizi mchapakazi lakini pia uwe serious na unachokifanya.

📌CHANGAMOTO nyingine ni wateja wakiume kuja kwa njia ya kutaka huduma tofauti na bidhaa husika, badala kula chakula wanataka kumla mpika chakula.
Lakini ndio wateja ambao watakuvusha na kupiga hatua ilimradi usiwe mkali kwa wateja hata wakiongea nini achana nao focus kwenye mradi wako ili na wao waendelee kuja.
Read 4 tweets
11 Nov
WACHAGA WAMEGAWANYIKA KAMA IFUATAVYO; SIO WOTE WAJANJA.
Kuna:-

1. Warombo

Wajanja sana kibiashara/wezi pia, wameajiri Wamarangu mjini ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini wakileta kiburi mjini. Wanawake zao ni mama Huruma, wanaachia tu.. Ukioa mrombo ujue umeolea kijiji.
2. Kuna Wamarangu

Wazuri sana wa sura na umbo wanawachuna Warombo. Wanawake wana dharau sana na wanaume ni waoga kuliko wanawake. Mwanaume wa Marangu kupigwa na mkewe si jambo la ajabu.
3. Kuna Wakibosho

Wanafanana na Warombo lakini ni wavumilivu zaidi. Biashara kubwa wanayofanya ni ya kuchinja... Wengi wanamiliki mabucha. Wana hasira sana na ni wakatili.. Akikuchoma kisu, siku ya mazishi anakuja kudai kisu chake.
Read 8 tweets
10 Nov
VITU SITA USIVYOTAKIWA KUFANYA KABLA YA KULALA

1. USILALE UKIWA UMEVAA SAA.

Saa ya mkononi ina madhara iwapo utaivaa kwa muda mrefu, wanasayansi wanashauri sio sahihi kulala ukiwa umevaa Saa (ya mkononi). Image
2. USILALE UMEVAA SIDILIA (wanawake wanayovaa kwenye matiti ).

Wanasayansi wa America wamegundua kuwa wanaovaa sidilia zaidi ya masaa 12 Wako kwenye hatari zaidi ya kupata Kansa ya matiti.
3. USILALE NA SIMU IKIWA KARIBU.

Wanasayansi wanashauri usiweke simu pembeni kwasababu ya mionzi ya simu sio salama hasa ukiwa umelala, ni vizuri ukaizima kama ni lazima ukae nayo karibu.
Read 5 tweets
9 Nov
HIZI NDIZO DALILI ZA MWANAMKE KUFIKA KILELENI

1. Kubana sana kwa uke;

Kama ulikua unaendelea kufanya mapenzi kawaida kisha unaona uke wake unabana sana uume wako au kama ulikua umeweka kidole kisha unaona kidole chako kinabanwa basi ujue amefika kileleni. Image
2. Kupumua kwa kasi sana;

Hii hutokea pale anapokua tayar amemalza kufka kileleni, hupumua kwa kasi sana na baadaye huanza kupumua taratibu. Kitaalamu mtu huyu akipimwa hukutwa na presha iliyopanda na mapigo ya moyo kua juu sana,hii inaweza kuwa sababu kwann baadhi ya watu vifo
huwakuta wakati wa ngono.

3.Hujaribu kuzuia chochote unachofanya;

Anaweza kukuzuia kuendelea kuingiza uume kwake yani utulie vile vile ulivyo au akakushika mikono yako kwa nguvu sana au kushkia vidole vyako kama ulikua unatumia vidole vyako kumssimua kwenye sehemu zake za siri
Read 8 tweets
7 Nov
MAPUNGUFU YA KISHERIA KATIKA KESI YA YESU (KWA MUJIBU WA SHERIA YA WAYAHUDI)

Usiku Yesu alipokamatwa alifikishwa mbele ya wafuatao kwa mashtaka, Caiaphas - Kuhani mkuu (na aliye agiza yesu akamatwe na pia ndiye aliandaa mashtaka), Annas - Kuhani mkuu mstaafu, na Sanhedrini -
Baraza la makuhani. Kwa kuwa hawa ni viongozi wa kidini Yesu hapa alishtakiwa kwa makosa mawili;

1. Kufuru (blasphemy), 2. Kajitangaza kuwa ni mwana wa Mungu na Messiah

Baadaye akapelekwa kwa kwa Pilato, na huko mashtaka ghafla yakabadilika na kuwa matatu yafuatayo;
- Kutaharakisha jamii na kusababisha uasi (rioting)
- Kukataza watu kulipa kodi
- Kujitangaaza kuwa ni mfalme wa wayahudi (uhaini).

Makosa haya chini ya utawala wa Rumi adhabu yake ni kifo;
Read 13 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal Become our Patreon

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!