Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. Umeshaapa na sisi tunakutazama wewe;
👉Turudishe kwenye sayansi na toeni muongozo juu ya covid 19
👉Toa tamko hatma ya kesi za hovyo na za kubambikiwa za watu walioko ndani
👉Evaluate miradi gani ni ya muhimu kufanya kwa sasa iliyobaki STOP
👉 Review mishahara ya wafanyazi kwenye bajeti hii ijayo
👉 Review mahitaji ya kuajiri watu serikalini
👉 Anza kuvutia wawekezaji na kuondoa milolongo ya vitisho iliyopo sasa
👉Anza kutembea nje kujenga mahusiano na nchi zingine
👉Open up nchi kwa biashara na uwekezaji mwanana
👉Wezesha sekta binafsi iwe huru na wawe na confidence ya kufanya biashara
👉Acha bunge lifanye kazi yake,Mahakama iwe huru na serikali iwe kivyake ilikuwe na checks and balance
👉Toa Gavana wa BoT ni dead wood-ingiza kwenye mzunguko 3-4tr kila mwezi ili ku stimulate biashara etc
👉 jeshi la polisi - mkanye huyu Sirro au mstaafishe kama mbishi. Jeshi la polisi liwe na kazi ya kulinda raia siyo kutumika na wanasiasa
👉Acha CSO ziwe huru kufanya kazi na acha mambo ya ku trepu simu za watu kama MEKO
👉Acha vyombo vya habari viwe huru na viandike kwa uhuru
👉Kwa kuwa mambo ni mengi sana na mud ani mchache mno.. Nakushauri kwenye kilimo kachukue document la Kilimo Kwanza halafu ukae humo
👉 Kwingineko usitubane sana hata tukiwa watukutu wewe ni mama tuache turudishe miili na afya maana tumekonda sana😁
LASTLY - tunakupenda japo CCM
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
Kukosekana uongozi kumesababisha maafa jana
👉Watu zaidi ya 45 wamekufa jana uwanjani kwa kukanyagana na hili ni tukio la kufanyiwa uchunguzi. Lakini serikali hii haitajali yaani itachukulia sawa tu
👉Msiba huu waliujua mapema lakini lack of leadership and coordination imeleta
vifo vya watanzania. Kamati ya mazishi haijui hata inafanya nini.
👉mlishindwa kabisa ku deploy wanajeshi wa kutosha kucontrol influx ya watu kuingia uwanjani?
👉Mlishindwa kuona sasa uwanja umejaa na mzuie watu kuingia uwanjani?
👉Sawa hayo yote mlishindwa -toka samia ametangaza
Meko kafa ninani kwenye kammati ya mazishi alikuwa anafanya press conferences na media kutoa updates - basi hata kutangaza kuwa sasa watu wasije tena uwanjani ni hatari na kumejaa?
👉Hamjifunzi alipokufa Nyerere jinsi mambo yalivyokuwa handled?Najua mna vichwa vigumu basi ulizeni
MEKO anatajwa sana kuwa alikuwa anasaidia wanyonge. Anyway ni ngumu kueleza kitaalamu lakini ,jiulize alipoingia madarakani;
👉1kg ya sukari ilikuwa shilingi ngapi na sasa ni shilingi ngapi?
👉1kg ya unga ilikuwa shiling ngapi na sasa shilingi ngapi?
👉1litre ya mafuta ya kula
ilikuwa shilingi ngapi na sasa shilingi ngapi?
👉Nauli ya basi kwenda Moshi ilikuwa shilingi ngapi na sasa shilingi ngapi?
👉Nauli ya daladala Kariakoo-Tegeta ilikuwa sshilingi ngapi na sasa shilingi ngapi?
👉Kaongeza mshahara mara ngapi?
Kama hivi vyote vimepanda nasi ni kuwa
1. hakuna kitu kafanya zaidi ya kuharibu maisha na uchumi wa watu 2. kama vimepungua basi amekuza sana uchumi na maisha ya watu wameboreka sana (mpigieni makofi huko kwenye jeneza)
👉Kama jibu ni la kwanza basi theory yake ni kuwa watawala wengi wa kiimla huwa wanapenda sana
Post -Meko era
👉Chuki tunayoiona leo na mgawanyiko ndani ya hii nchi ni matokeo ya sera za Meko za kukandamiza watu
👉Alifanikiwa sana kuwapa madaraka watu wajinga na wasio na qualifications ili wamsaidie kuwa kwenye power as long as he wants
👉Hawa wanaolia leo huko serikalini
ni wanufaika wa MEKO na utawala wake
👉The wound he has cause into the society is SO DEEP na hatujafika hapa kwa kazi ya siku moja.Alifanya hili systemic for 5 years na kafa kaacha society iko very devided
👉Hakuna mtu ambaye hajaumizwa na ushenzi wa Meko.. Kila mtu kwa nafasi
yake kaumizwa .. Kajaza wasukuma wa kutosha kwenye serikali wasio na uwezo hata wa kufanya hizo kazi. Mfano Chamuriho yaani anakuwaje waziri?How? lakini wako humo kwa kuwa ni wanufaika
👉Meko anamteua Dotto kuwa PS Hazina akijua ni mjomba wake na kimaadili siyo sawa lakini hajali
Vyama vya upinzani nina ujumbe wenu hapa;
👉Rais Samia amekiri kwa kinywa chake kuwa ataheshimu katiba na kuifuata kwa kuwa ameapa kuilinda na kuitetea
👉Katiba hii alitosema atailinda Rais Samia imesema wazi kwenye ibara ya 18 juu ya uhuru wa kujieleza kama haki ya msingi sana
👉Katiba hii imesema kwenye ibara ya 14 imetoa haki ya kuishi kwa kila mtanzania- hivyo Rais Samia aunde tume na kuruhusu uchunguzi huru toka nje juu ya mauaji yaliyofanywa na utawala wa MEKO na akina Makonda,Mwigulu ,Ngusa na Dotto na wachukuliwe hatua kali za kisheria haraka
👉Ibara ya 18 ya katiba imetoa haki ya faragha na mawasiliano bila kuingiliwa- Rais Samia atoe tamko la kufunga na kuondolewa kwa mitambo iliyoko pale @TCRA_Tz wanayorekosi na kusikiliza simu za watu. Hili hata Rais Samia ni mhanga maana Meko alikuwa anasikiliza simu zako 😂😂
Mfumo wa kupatikana kwa viongozi ndani ya nchi hii unatakiwa kubadilishwa sana; Tungefuata mtindo wa SA tungekuwa salama sana kuepuka CABALS and CARTELS wanao install viongozi kwenye hii nchi; Kifo cha MEKO kimeacha mafunzo haya;
👉Tuna katiba mbovu sana ya nchi - Yaani Rais
kafa wale aliowateua na kuwapa kiapo bado wanakuwa mawaziri hata kama kaingia Rais mwingine ambaye hawajaapa kwake. This is a huge crack in our constitution and it is silent on how to navigate
👉Tuna katiba ya chama hasa CCM ya hovyo sana ambayo akifa Mwenyekiti wa chama chao
haisemi nani anaongoza chama na mbaya zaidi hakitoi njia ya wazi na haraka nini cha kufanya ku replace nafasi yake na kuteua makamu wa Rais kama sasa.. Yaani nchi itakaa haina VP mpaka next week bunge litakapokaa na kuamua kwa kupiga kura kama wanavyompigia waziri mkuu
👉Again
Habari kutoka ndani ya wenye chama!
👉Jiandaeni kisaikolojia na mshtuko wa karne
👉Wenye chama wameamua kwenda na majina haya kwenye kikao chao jioni ya leo kuchagua nani ni next VP wa Tanzania 1. George Simbachawene 🐒 2. Job Ndugai 👿
*Simjui sana Simbachawene lakini Ndugai 🚮
👉Kwa hali ilivyo VP ndiye atakaye kuwa Rais sasa CCM hawa mnaowataka ni disaster tupu
👉Tunajua Chenge anakwenda kuwa Spika na hilo ni sawa atakuwa fair japo bunge ni lenu CCM peke yenu
👉Yaani mmeshindwa kabisa kumuomba Prof Mwandosya aje kusaidia kuivusha hii nchi hapa?
👉Yaani mmeshindwa kumfuata Kinana kama mmekosa options kabisa awe VP kutuvusha
👉Japo mzee Kinana kateswa sana na Meko ni muhanga kama sisi! Kaumizwa sana, kadhalilishwa sana mnaogopa kumpa u VP mnasema atakipa kisasi! Kivipi yaani? Kinana bora kuliko Ndugai au Simbachawene