2/8 Hadithi yetu kama watanzania tutaihadithia wenyewe. Tutasimama kama taifa lenye uwezo mkubwa, taifa lenye uadilifu, lenye hekima na bila tone la shaka taifa lenye upendo mkubwa sana...
3/8 Hadithi yetu ya kitanzania hatutohadithiwa na walio nje ya Tanzania, hadithi yetu tumeiishi sisi wenyewe. Hatoweza mtu kutuambia jinsi ya kujisikia au jinsi ya kuendelea na mioyo yetu sababu tulikuwepo alipokuwa nasi, alipotaniana nasi, alipogombana nasi, alipotufundisha...
4/8 alipotusimamisha kuheshimika kama taifa huru lenye maamuzi huru.
Mwl Nyerere alitamka kusikitishwa kwake kujaribu mfumo wa ujamaa na kufeli ila anabariki mikakati endelevu katika kuiendeleza nchi na kuwa kushindwa kwa ujamaa sio kushindwa kwa nchi...
5/8 Haikufutika na haitokaa ifutike kuwa ni mmoja wa viongozi waliokuwa na uweledi na busara kubwa sana Africa na duniani.
Dr Magufuli anaacha alama kubwa sana kihistoria na somo kubwa kuliko yote kwangu ni...
6/8 โItambue thamani yako, weka msimamo wako na usikubali kupokea pungufu ya unachostahili kwa kuuza moyo na roho yakoโ. Nilikuwa na hamu sana ya kuona angefanya nini mitano hii nikiwa na dhana kabisa kuwa sasa ndio...
7/8 anaanza rasmi urais baada ya mitano ya warmup ila mimi binaadam kama wewe na hatuwezi mpangia Mungu nasi viumbe wake. Mlima Kilimanjaro ni mgumu sana kuupanda ila rahisi sana kuushuka. Moyo wako wakati wa kuupanda inabidi uwe na matumaini ya kushuka.
8/8 Nguvu ya kweli ipo kwenye ubongo, kwengine ni misuli yenye uwezo wa kupungua. Tumia nguvu yako ya kweli kuhadithia hadithi yetu ya kitanzania. Taifa lako linakutegemea katika kuiandika historia hii. Hadithi yetu tutaihadithia sisi watanzania. Allah amrehem mwamba ๐๐ฝ ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
โข โข โข
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
(Mini thread)
I am for a lot of causes, especially womenโs causes because it is quite visibly clear how we have deprived women of their rights for years. However I donโt support uprising women by lowering men, no matter how bad women have had it.
This is like doing exactly what was done to women, to men. A few years from now we will sit here and start meninist groups and hashtags after having things go out of hand because we were seeking equality the wrong way.
Few women loved to cook and all of a sudden we said โWomen belong to the kitchenโ. It was war for just that thought. Statements we consider to be small or normal according to the culture we have, have massive impact in a few years.