Je! Unampango wa kununua MacBook mpya? Kabla ya kufanya ununuzi unahitaji kuielewa MacBook.
Aina nyingi za MacBook zinapatikana sokoni. Tutakusaidia kununua MacBook bora kulingana na mahitaji yako
Uzi mfupi 👇
Kabla ya kufanya ununuzi wowote angalia toleo la MacBook ambalo utaenda kununua. Kila Mwaka Apple hutoa toleo jipya la MacBook, unaweza kutembelea Apple’s official website, news, na social media kujua mda ambao Apple watatoa toleo Jipya
AINA ZA MacBook:
Kuna aina mbili za MacBook, MacBook Pro na MacBook Air: MacBook Air ni Nyembamba, nyepesi na ni rahisi kusafiri nayo wakati MacBook Pro ni nene kidogo.
Zote ni nzuri lakini zina utofauti sana kwenye Miundo ya ndani ( Internal Architecture & Specs)
MacBook Air ni basic version yaani ni toleo la Msingi lakini MacBook Pro ni toleo la hali ya juu ( Advanced version) na inapatikana kwa saizi mbili tofauti, Ikiwa ni mtumiaji wa kawaida basi MacBook Air itakufaa, Ikiwa wewe ni mtaalamu/Pro user basi Pro itakufaa zaidi.
SCREEN SIZE:
MacBook Air inapatikana kwa 13.3 inch screen size wakati MacBook Pro inapatikana kwa 13.3 na 16 inches screen sizes, MacBook Pro ina Options na Features nyingi kuliko MacBook Air, 16" Pro version inakuja na Intel UHD Graphics 630 wakati zingine hazina graphic card
Display kwenye MacBook Air ni 2560 X 1600 wakati kwenye 13.3" Pro Version ni 2560 X 1600 na kwenye 16" Pro version ni 3072 X 1920 pixels
BATTERY
Battery Life iko vizuri kwenye MacBook zote, MacBook Air ina 18hrs of Battery Life, Pro version 13.3" up to 20hrs, 16" up to 11hrs
INTERNAL SPECIFICATION
Apple wanatoa MacBook Specifications tofauti tofauti ni wewe tu kuchagua ipi ni bora kulingana na matumizi yako
🔸STORAGE
Storage ni kipengele muhimu sana kwenye kila Laptop, MacBook Air inakuja na Storage mpaka 2TB lakini kwa Pro version
13.3" ina hadi 4TB na kwa 16" Pro version ina hadi Storage ya 8TB SSD
Touch ID inapatikana kwenye versions zote lakini Touch Bar inapatikana kwenye Pro version pekee
Upande wa Processor na Chipset, zote 13.3" MacBook zina M1 Chip, 8 core CPU, 8 core GPU,16-core Neural Engine
Hapo lazima uelewe unachukua Pro version yenye Processor ipi kulingana na mahitaji yako
MacBook Pro 16 inch inakuja na Intel UHD Graphics 630 Graphics card installed lakini zingine hazina Graphics Card
RAM ni kitu muhimu sana kwenye kuchagua Laptop, zote 13.3 inches MacBook zina 8GB - 16GB RAM lakini MacBook Pro ina RAM za aina tatu tofauti, kuna 16GB, 32GB, 64G
MacBook zote zina 720 Pixel FaceTime HD Camera:
MacBook Air inakuja na ports mbili za USB-C ikiwa Pro version ina Ports nne za USB-C
Hizo ni baadhi ya vitu vitakavyosaidia kuchagua MacBook nzuri kukingana na mahitaji yako
Hii naamini imesaidia
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
Hivi karibuni tumeona matukio ya simu kulipuka zikiwemo simu za Oneplus Nord 2, Galaxy Note 7 na
baadhi ya simu ya nyingi zikiwemo simu kutoka kampuni ya iPhone, Oppo, Xiaomi, Vivo, n.k
Powered by #ElimikaWikiendi × @fiidzsocial
UZI MFUPI 👇
Kati ya matukio makubwa ya simu kulipuka ilikuwa ni simu za
Galaxy note 7 hii ilipelekea Samsung kuomba simu hizo zirudishwe kiwandani kwa uchunguzi zaidi.
Matukio ya simu kulipuka yanajirudia kila siku japo kuna makosa ya kiufundi makosa na mtumiaji.
#ElimikaWikiendi
SABABU KWANINI SIMU ZINALIPUKA.
1. Kasoro za utengenezaji.
Moja ya sababu au kasoro inayofanya simu zilipuke ni kutoka kwa watengezaji (kiwandani), Betri ya Lithium-ion ambayo hutumika kwenye smartphone inahitaji kujaribiwa vizuri kabla kusafirishwa.
• Kama wewe ni Fan/shabiki wa kitu au kampuni flani, unatakiwa ujue kuheshimu mawazo ya watu wengine, unatakiwa ujue kutofautisha kizuri na kibaya, unatakiwa ujue kutofautisha Facts/ukweli na Opinions/maoni. 👇
• Acha kuhoji na kubeza maamuzi ya watu, ingawa unaweza kutoa maoni yako kuhusu maamuzi yao.
• Unapoibeza kampuni nyingine kwa kufanya kitu, lakini unatetea kampuni unayoipenda kwa kufanya kitu kile kile, hiyo inamaanisha WEWE ndiye tatizo.
• Wakati mtu X anakejeli kikundi cha watu flani, usitarajie hicho kikundi cha watu kusema kitu cha busara kujibu taarifa ya mtu X.
• Unapomwambia mtu jambo la hovyo/ajabu usitegemee kukuheshimu au kupata majibu ya heshima kutoka kwake
Wakati huu tunapo kwenda likizo za sikukuu za Christmas na mwaka mpya, huwa ni muda mzuri kukaa na familia zetu, ndugu, jamaa na marafiki kutafakari mwaka ulivyokuwa na kujiandaa na mwaka unaofuata.
Pia ni kipindi ambacho watu wengi hupendelea kuwepo mitandaoni. Wakati unatumia mitandao ni vyema ukapata ujuzi mpya wa namna unaweza faidika na mitandao.
Tutakuelezea baadhi ya ujuzi wa mtandaoni unaoweza kuwa na faida kwako kwa namna moja ama nyingine.
Watu wengi wakiona neno AI ( Artificial Intelligence) hufikiria moja kwa moja ni roboti. Ili iwe AI inahitaji Software(Program endeshi) na Hardware. Software ndio kama ubongo unahitaji kupachikwa data ambazo zitakuwa zinatoka command/maelekezo kwenye hardware.
AI ina jifunza (learning), Fikiri (reasoning) na mtazamo (perception). Ndivyo hivyo sehemu ya akili ya binadamu inafanya kazi. Kwa miaka ya sasa hii Teknolojia inakuwa kwa kasi sana.
Imefikia hatua wataalamu wanataka AI iwe na uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi kama mwanadamu,
Bitcoin ni toleo la pesa taslimu ya ki-mtandao ( peer-to-peer version of electronic cash ) ambayo unaweza kutuma moja kwa moja kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine pasipo kupitia taasisi za fedha kama benki, Mobile money etc, unahitaji kuwa na internet tu
Kitu muhimu kwenye Bitcoin huwezi kugushi/forge, miamala fake haiwezi kufanyika, siyo lazima uwe na kitambulisho cha Taifa ( National ID) wala Bank account, Bitcoin iko decentralized ( imegawanyika ), mwamala ukifanyika hauwezi kubadilishwa na ina ulinzi sana
Tesla Motors ni moja ya kampuni zenye ubunifu zaidi katika magari. Elon Musk, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo kwa sasa ni mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa ulimwenguni. Hivi karibuni, C.E.O wa Tesla na SpaceX alisema kwamba alijaribu kuuza kampuni yake ya gari kwa Apple 👇
Hata hivyo Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Apple, Tim Cook aliripotiwa kukataa kupanga mkutano kujadili ofa hiyo. Hiyo ilibainika baada ya Musk Ku-tweet kwenye Page yake juzi alipoulizwa na Mwandishi wa BBC Kuhusu Habari iliyovuma kuwa alitaka kuwa CEO wa Apple mwaka 2016
Kulingana na ripoti hiyo, Elon anadai kwamba hakuwahi kuzungumza na wala kumwandikia Tim Cook. Lakini bilionea huyo alisema aliwahi kuomba mkutano kati yake na Tim Cook juu ya Apple kuichukua Tesla, na hakupata majibu yoyote wala mkutano haukufanyika.