ii. Technology leverage
Kazi za mashine ni kuturahisishia kazi na kuongeza efficiency... na since mashine zinahitaji nguvu kazi kubwa kuoperate, unahitaji automated system kufanya machine iwe efficient zaidi
Sasa hii ndio technology leverage
iii. Communication leverage
Bidhaa/Service unayotoa ili iwe kubwa zaidi unahitaji uwafikia watu wengi zaidi. Since una mdomo mmoja tu unawafikiaje watu wengi zaidi?
Unanunua audience ya watu wengine kupitia Database, magazine, social media, influencers’ audience etc
iv. Network leverage
Una mishe yako potential sana ambayo unahitaji blessings za katibu wa wizara
Ila ww ndio kwanza umetoka chuo, huelewi kbs hata wizarani unafikaje. What do u do?
Unatumia mahusiano uliyonayo na watu wengine kupata mahusiano mapya na watu unaowahitaji kutoboa
v. Knowledge/Skill leverage
Kuna aina 2 ya mitaji
i. Monetary Capital
ii. Human/physical capital
Kama tu walivyosema kidole kimoja hakivunji chawa, unahitaji kidole cha pili. Kwenye kutoboa unahitaji watu wenye knowledge, skills na experience
vi. Financial leverage
Una mil 1 lkn ili utusue unahitaji mil 5, hiyo mil 4 unaitoa wapi? Lazima ujue kuLeverage
-partnership
-grands
-Joint Venture
-Mkopo
Lkn mimi naipenda zaidi Investment Leverage. Hapa traders na investors watanielewa zaidi.
Unafungua trading acc lk bahati mbaya huna mtaji mkubwa wa kukimbizana na movement za soko unafanyaje?
Unaombq leverage ili uwe na uwezo wa kutrade financial assets nyingi zaidi. Mfn una mtaji $100, unachukua leverage ya 100
So automatically unakua na uwezo wa kutrade $10,000
Kama umechukua route ya kukomaa na mtaa kwa kujiajiri ni LAZIMA ujue the art of leveraging and using other peoples’ resources for mutual benefics.
Lengo ni kukurahisishia safari yako ya mafanikio na kupunguza muda wa kusota kabla hujatoboa.
“Give me a lever long enough and a fulcrum on which to place it, and I shall move the world.” Archimedes
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
1. Nimeshakua maskini mpk kufika hatua ya kukosa mia 5 ya kula mlo mmoja wa mihogo.
Nishakua na pesa mpk kufikia hatua ya kuishi apartment ya $2k (Tzs 5M) per month, in the wealthiest suburb in the country.
Na nisharudi hatua ya kulala hostel chumba cha elfu 40 per month...
2. Katika hivi vipindi vyote viwili nimejifunza vitu vingi sn.
Kwenye huu uzi kwa leo nitashare vichache nilivyojifunza kwa sababu ya muda (majukumu) na changamoto ya mtandao huku porini nilipo kujitafuta upya baada ya kuanguka chini tena, from riches.
Katika maisha yng sijawahi kufanyiwa job interview,so sijui experience inakuwaje mtu akiwa intervied
Ila, nimefanikiwa kuinterview mamia ya watu,nikimsikiliza mtu kwa dakika 10 tu najua km anafaa ama hafai
Kuna vitu employers huangalia,ukiwa navyo vitakutofautisha na wenzio
🧵
Watu wengi wanaingia kwenye chumba cha interview na fikra potofu.
Wengi wanazungumzia experience zao
Wengi wanazungumzia juhudi na jitihada zao
Wengi wanazungumzia elimu/ufaulu wao
Wengi wanazungumzia qualifications zao
WRONG APPROACH
Utatembeza sana CV!!
Employer anakutana na mamia ya watu wenye elimu, ufaulu, juhudi nk; ili kustand out of the crowd inabidi uwe MEMORABLE & RELATABLE
1. Memorable
First impression matters, simaanishi ukivaa suti utapata kazi ama ukivaa jeans utakosa kazi. HAPANA!