Whatsapp ni mtandao wenye watumiaji takribani 2 billion dunia nzima. Mtandao huu umekuwa maarufu kwa sababu umerahisisha sana mawasiliano kwa njia ya Internet.
Hivi karibuni huenda Whatsapp web ikabaki kujitemea bila uhitaji wa Mobile version.
Whatsapp Web ni version ya Whatsapp ambayo hutumika kwenye browser za computer au kwenye app ya Whatsapp ya Windows au MacOS.
Whatsapp web inabeba text, zile zile ambazo unazion kwenye simu yako. Kwa maana hiyo inatumia akaunti yako ile ile.
Ili utumie Whatsapp Web ilikuwa ni lazima ile ya kwenye simu iwepo online na ya PC pia iwepo online.
Hili litabadilika hivi karibuni baada ya Whatsapp kuanza fanyia kazi version ambayo haitahitaji zote mbili kuweo online.
Version hii mpya itakuruhusu kuweza login kwa account yako kwa vifaa vizivyozidi 4. Maana ake unaweza kuwepo online katika vifaa vinavyojitegemea visivyozidi 4.
Katika tweet yao @WABetaInfo wanasema update hii itwahusu watumiaji wa Windows & MacOS.
Ili kuweza tumia Whatsapp Web, Ingia google kwenye PC yako na search "Whatsapp Web" chagua result ya kwanza, kisha kwenye simu yako gusa dot 3 kwenye whatsapp yako juu pale kisha chagua "Linked Devices".
Pale chagua "Link a Device" ambayo itafungua camera yako uweze scan QR code ambayo utapewa kule kwenye PC yako.
Baada ya kuscan ile QR code utakuwa logged in tayari kwa kuanza tumia whatsapp yako kwenye PC.
Njia tofauti ni kudownload whatsapp application ya desktop ikae moja kwa moja kwenye PC yako.
Kwa wale watakao kuwepo au wanaotaka kuwepo kwenye Beta program ujumbe wenu kutoka whatsapp wa wa vitu unaweza fanya ni huu.
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
👽Moja ya kikwazo kilisema, "Kuzuia zaidi ya nusu ya uagizaji wa Russia kuingiza teknolojia ya juu nchini mwao, Kuzuia Russia kupata pembejeo muhimu za kiteknolojia, Kudhoofisha msingi wao wa viwanda...
👽...na kudhoofisha matarajio ya kimkakati ya Russia ya kuwa na Ushawishi katika jukwaa la ulimwengu." -mwisho wa nukuu.
Inawezekana ilionekana ni kikwazo kikubwa kwa muda huo. Ila ni kidogo sana ukilinganisha na yaliyofata baada ya hapo.