HabariTech Profile picture
Ulimwengu wa Teknolojia kiganjani mwako. #HabariTech
Aug 30, 2022 19 tweets 5 min read
⚡Unataka Kupunguza Muda Unaotumia kwenye Mitandao ya Kijamii? Soma Hii

Tunachoongelea ni mitandao ya kijamii. Huduma ambayo inafanya kazi yake vizuri mno.

Kazi yake ni kuhakikisha muda wote tunaangalia screen za simu zetu au PC. ⚡Wazo wa la kusema kwamba tunaweza kabisa kuacha mitandao ya kijamii, ni kama kuamini kwamba mwakani teknolojia ya time travel itakuwepo.

Ni ngumu na haiwezekani kuachana kabisa na mitandao ya kijamii, hivyo kilichobaki ni kujaribu kupunguza muda tunaotumia kwa kufanya haya.
May 31, 2022 5 tweets 2 min read
🎭Kuona location, SMS & Calls bila yeye kujua

Unaweza kuhack simu/facebook/instagram ya mtu?

Bila shaka hili ni swali ambalo kila IT amewahi kusikia au kuulizwa yeye mwenyewe.

Kwanini watu wanatamani kuwafatilia ndugu/rafiki/wapenzi wao? 🎭Kisayansi hata mimi sijui. Binafsi nadhani ni hali tu ya ubinadamu kutaka kujua nini kinaendelea katika maisha mwingine.

Ni wazi kwamba binadamu tunapenda kuwa wa kwanza kujua kitu na kuwa juu kuzidi mwingine muda wote.
Mar 15, 2022 28 tweets 9 min read
🎁T O R R E N T S, Zinafanya vipi kazi?

Naweka dau langu kwamba ukisikia torrents, kitu kinakuja kichwani mwako ni software, video au audio za wizi (Pirated Files).

Uko sahihi lakini, torrent protocol haihusiana na hivyo tu.

#HabariTech 🎁Torrents ni nini?

Kwanini pirates wanatumia torrents kusambaza na kupakua files zao?

Huduma nyingine za internet zinazoendana na torrents kwanini hazitumiki katika sharing ya pirated files?

Haya maswali yote yanapatiwa majibu kupitia Bittorrent protocol.
Mar 15, 2022 33 tweets 7 min read
👽Russia hawataweza kuvuka vikwazo vya Teknolojia

24 February 2022, baada ya Russia kuvamia Ukraine, serikali ya Marekani ilitangaza vikwazo vya kwanza Russia.

Katika vikwazo hivyo vilikuwemo vinavyogusia teknolojia.

#HabariTech 👽Moja ya kikwazo kilisema, "Kuzuia zaidi ya nusu ya uagizaji wa Russia kuingiza teknolojia ya juu nchini mwao, Kuzuia Russia kupata pembejeo muhimu za kiteknolojia, Kudhoofisha msingi wao wa viwanda...
Mar 14, 2022 41 tweets 10 min read
🍿Nini Kiliwakuta Founders wa Pirates Bay

Pirates bay ni kati ya website bora za kufanya piracy ya Games, Softwares, Movies, Music na aina nyingi ya files zinazokuwepo online.

Ni website ambayo iko kinyume na sheria za hakimiliki na haikutakiwa kuwepo.

#HabariTech 🍿Kampuni nyingi na wanasheria duniani wamejaribu sana kuhakikisha website hii haipatikani mtandaoni bila mafanikio.

Kwa kuwa content zinazokuwepo huko hazikutakiwa kuwepo na mara nyingi zinawakosesha mauzo kwa kuwa ni usambazaji wa content usio sahihi.
Jan 24, 2022 9 tweets 4 min read
🚀Sifa Kuu ya MATAPELI

Kwa sasa teknolojia imefanya kupata pesa iwe rahisi sana, lakini kupoteza ni rahisi zaidi 😁.

Kutapeliwa ni dakika 0.

Kila unapogusa mtandaoni sasa hivi kuna haya maneno NFT, Cryptocurrency, Bitcoin.

Lengo ni PESA. 🚀Bahati mbaya wengi mnaishia kuumia kwa sababu mnakosa maarifa.

Mnaingia kichwa kichwa katika biashara msizoelewa haswa ziko vipi.

Kwa sababu hiyo unajikuta unajitapeli wewe mwenyewe. Ulikosea mwanzo kutotaka kusoma inakuaje wengine wanapata faida.
Jan 24, 2022 7 tweets 4 min read
⚡Namna ya (ku)bypass restrictions za Channels na bots telegram

Kila mara whatsapp isipopatikana watu wengi hutumia telegram kwa muda.

Ukiacha hivyo telegram imekuwa sehemu nzuri ya kuendesha biashara kama anavyofanya @itzjacton na group la Soko Letu

#HabariTech Au wanavyofanya @CipherdotM na channel yao ya movies. Kwa wengine telegram ni sehemu ya kupakua miziki ya Spotify, YouTube au Apple Music bila kuwa na account katika platform hizo.

Na wengine wanatumia kupakua movies za Netflix ama Amazon Prime
Jan 23, 2022 5 tweets 1 min read
C I A

Confidentiality, Integrity & Availability hizi ni kama muongozo wa usalama wa aina yoyote, ili kulinda taarifa zinazotunzwa au kutumwa dhidi ya mtu asiye husika. Confidentiality, inahakikisha kwamba mtu asiyetakiwa kuwa na access hapati hiyo access. mfano account yako ya twitter inalindwa na password yako.

Password unayoijua wewe na kuiweka siri ndiyo confidentiality yenyewe. Maana yake ili mt apate access lazima umpe hiyo password.
Jan 19, 2022 16 tweets 4 min read
📡Camera Iliyofichwa

Kila siku inayoanza na kuisha kuna watu wanalala Hotelini, lodge, nyumba za wageni na wengine wanakuwa wageni majumbani mwa watu.

Watu wanaofatilia sana movies na conspiracies huwa na wasiwasi wa kuwa recorded na camera zilizofichwa.

#HabariTech 📡Mara nyingi camera zilizofichwa huwa na lengo zuri la kudaka wezi au matukio ambayo yanaweza hatarisha usalama.

Na wakati mwingine camera hizi hufungwa kwa lengo la kutumika kudaka matukio ya faragha ili kusambaza kwa lengo la kumtia mtu aibu au kufanya blackmail.
Jan 11, 2022 26 tweets 8 min read
🚀Thetan Arena MOBA

Leo tuzungumze kuhusiana na Game moja wapo unayoweza kulipwa kwa kuicheza. Game hii inaitwa Thetan Arena MOBA.

MOBA (Multiplayer Online Battle Arena). Hii ni gam ambayo unacheza kwa kupigana battles na watu wengine Online.

#HabariTech Image 🚀Kumekuwa na P2E games nyingi zilizoundwa hivi karibuni. Nyingi zikiwa na mfumo wa card based na nyingine trading based.

Thetan Arena inatumia mfumo wa battles (yaani kupiganisha characters ndani ya game).

Battles hizi zinapigwa mtandaoni kati ya character wako na wa adui yako Image
Dec 28, 2021 7 tweets 2 min read
✨Kwa sasa simu nyingine zinatumia sim card ile ya card ya kutoa na kuweka.

Ili mtu uwe na namba zaidi ya moja unalazimika kuwa na sim card zaidi ya moja.

eSim itakuja kuondoa hii tabu.

#HabariTech 🧵 ✨eSim (Electronic Sim Card au Embedded Sim Card)

Hii ni sim card ambayo unaweza download ya mtandao wowote na kuitumia ndani ya simu yako. Nasema unaweza download kwa maana ya kwamba.

Ndani ya simu yako unakuwa na chip ambayo inafanya kazi kama hizi sim card za kawaida.
Dec 27, 2021 4 tweets 2 min read
Wengi sasa hivi mnatamani kuingia kwenye UX Designing. Inapendeza kuona watu kama @AbilMdone @mzabayuni na @iamKaga wanawapa motisha.

Ni rahisi kudrag & drop elements kufanya graphics designing ukidhani ni UX designing. UX designing inahusiana na lengo la mtumiaji wa app au website yako. Haingii kwenye app au website kushangaza majo avutiwe na muonekano.

Anatumia website/app yako ili kufanyikisha jambo fulani.
Nov 19, 2021 22 tweets 5 min read
📡iOS ni Bora kuzidi Android mbali sana 👀

Hii vita tungewapa silaha nani atashinda? Tuachana na hayo tusifike huko.

Hii mada kila ikiwekwa mezani mashabaki wa hizo OS huongelea sana kwamba wanayotumia wao ni bora.

Je, Ni kweli?

#HabariTech 📡Najua kwamba kuna mtu tayari anajizuia sana mpaka amalize kusoma ndipo ajibu.

Kuwa mpole bro/sis maisha sio vita 😁.

Binafsi mimi ni shabiki mkubwa wa Android na huwezi nibadilisha kwa lolote, ila pale ambapo utaalamu utatumika ukweli lazima usemwe.
Nov 18, 2021 5 tweets 1 min read
Sio expert sana upande wa engineering ila naweza jibu hivi.

Sidhani kama quantum computing itakuja kuuzwa kwa watumiaji wa kawaida kama mimi na wewe.

Labda sio kwa miaka 100 ijayo 😁 watumiaji wa kawaida kama mimi na wewe tunahitaji quantum computing ability kwa ajili ya nini? Anyway tuseme itakuwa available kwa consumers nani yuko tayari kulipia gharama za kumiliki na kumaintain running costs za quantum computer?

Kila mtu anatamani kuwa na kifaa chenye super conducting ability, ila nikiwaza huo umeme wake 😂.
Nov 8, 2021 23 tweets 5 min read
📡Tabia zinazo haribu PC yako kwa haraka.

Sisi sote tunapenda kuona vifaa vyetu kama PC zikidumu kwa muda mrefu, lakini mara nyingi huwa zinaharibika mapema tofauti na mategemeo yetu.

#HabariTech Image 📡Huenda tabia zetu na namna tunatumia hivi vifaa ikawa ni sababu ya hizi mashine kuharibika haraka Image
Oct 21, 2021 18 tweets 4 min read
📡Part 2: Sim Cards zinaiwezesha vipi simu kufanya kazi?

Simu yako haina maana kama utashindwa kupiga/kupokea simu za kawaida au kutuma SMS.

Unapokuwa na simu utahitaji kuunganishwa na mtandao flani ili kupata huduma ya za simu.

#HabariTech 📡Unapochagua kusajili sim card ya mtandao uupendao unakuwa umesajili akaunti ambayo utakuwa unailipia bando ili kuweza pata huduma zao.

Huwa tunasema SIM Card bila kujua maana yake ni nini.
Oct 15, 2021 17 tweets 5 min read
📡A.I inajifunza kujitengeneza Yenyewe

Hofu kubwa ya watu duniani ni kuona AI ikiiteka dunia na binadamu tukawa ni watumwa wa AI.

Wenye hofu wengi ni watazamaji wa filamu kama Terminator, iRobot, Transcendence na Matrix.

#HabariTech 📡Lakini wengine ni wale wenye hofu ya kupoteza kazi zao, hasa madereva.

Hakuna wa kumlaumu mtu anayeiogopa AI kwa sababu ni kitu ambacho hata baadhi ya watu wa teknolojia wanashindwa kuelewa vizuri.
Oct 12, 2021 19 tweets 5 min read
📡Mass Surveillance Afrika na Duniani kote.

Huu ni uchunguzi ambao unajikita kufatilia umati mkubwa wa watu na mara nyingi huwa kwa kigezo cha kupunguza uharifu na kuzuia ugaidi.

Mass surveillance inasemakana kuanza miaka ya 3800 kabla ya kristo huko Babylon.

#HabariTech Image 📡Kwa vizazi vya sasa Mass Surveillance haikuonekana mpaka miaka ya mwisho ya 1940s baada ya UK na USA walikubaliana kubadilishana taarifa za intelejensia.

Baadae katika makubaliano haya ziliongezeka Canada, Australia na New Zealand na kufanya muunganiko huu kuitwa “Five Eyes”. Image
Oct 11, 2021 5 tweets 2 min read
📡Hakuna Tesla iliyotengenezwa China kuingia nchini India.

Hivi karibuni waziri wa usafiri wa barabara nchini India amesem, aliongea na Elon Musk na kumuomba kwamba Tesla kwa za india zitengenezwe nchini India.

Maalumu kabisa hakutaka Tesla za China kuwepo India.

#HabariTech 📡Akongea katika "India Today Conclave 2021", waziri huyo alisema kwamba, Gari za umeme zilizoundwa na Tata Mottors zina ubora unaokaribiana na zile za Tesla.

Hivyo Tesla za kuuzwa India inabidi zitengenezwa ndani ya India na sio China na kuuzwa kutoka India kwenda nchi jirani.
Oct 8, 2021 21 tweets 5 min read
📡Zima hizi settings za windows 10 haraka sana

5 Oct Microsoft waliachia windows 11, lakini hatutegemei watumiaji wake watakuwa wengi kwa sababu ya vigezo vinavyohitajika kuweza tumia Windows 11.

Kuna zaidi ya PC 1 billion zinazotumia windows 10 mpaka sasa duniani.

#HabariTech Image 📡Kati ya watumiaji hawa kuna wengi wasiofahamu baadhi ya settings ambazo zinakusanya taarufa zao, zinawafanya waone matangazo mengi au kufanya PC zao ziwe pole pole.

Ukiacha madhaifu ubora wa Win10 ukilinganisha na zile za nyuma, bado ina madhaifu mengi unakutana nayo kila siku Image
Sep 28, 2021 17 tweets 5 min read
Unaijua simu isiyo na tundu la chaji wa earphone?

Ni kama uhalifu vile namna kampuni za simu zinaleta mabadiliko mapya kila kukicha.

Apple alianza kwa ondoa headphone jack kwenye iPhone 7 na matoleo yaliyofuata na baadae Samsung akafuata.

Kuna cha zaidi? Ndiyo 🧵

#HabariTech 📡Watazamaji wa Sci-Fi movies mtakuwa mmewahi kutana na zile simu ambazo ni kioo tu lakini zinafanya kila kitu.

Huenda huko ni mbali sana kufika labda 2050 huko. Twende mpaka 2030 ambapo nadhani huenda tutakuwa na simu zisizo na button yoyote, headphone jack wala tundu la chaji.