1/n) Huu sio uzi wa kuzungumzia kwanini kijana yoyote smart anatakiwa kujua technolojia ya Cryptocurrencies etc
Huu ni uzi specific wa kijana smart kutafuta fursa za kupiga pesa wakati hii space ikikua kwa kasi sana GLOBALLY.
2/n) Kuweka hela yako leo kwenye Crypto ni sawa na kuweka hela yako kwenye Amazon 1995, kipindi ambacho 99% ya watu duniani walikua hata hawaelewi Internet ni nini na italeta mapinduzi gani duniani miaka 20 baadae
Mtu aliyeweka $1,000 kwenye Amazon 2000 leo angekuwa na $2 mil
3/n) Lakini hiyo miaka ya 90s pia kulikuwa na Internet projects nyingi sana kama Amazon ambazo zimekufa na leo haziExist kbs
zingine zilisurvive miaka kadhaa then baadae zikaja kuzidiwa innovations na kampuni mpya, zikatolewa kbs kwenye existence.
Wapo watu wakapoteza pesa.
4/n) Same applies to Cryptos
Kuna zaidi ya Cryptos 10,000 sasa hivi, na kila siku kuna Cryptos mpya. Ila ktk hizi ni projects kama 50 tu or even less zitaSurvive mpk 2030
Nyingi zitakufa, na watu watapoteza sana pesa zao kwenye Crypto. Crypto italiza sana watu
5/n) Lakini kuna Outliers wachache ambao watatajirika insanely na Cryptos. Cryptos 50 ambazo zitaSurvive by 2030, zitatajirisha vijana smart vibaya mnooo.
Cryptos & Token-Based Economy itatajirisha watu kuliko Land ikivyotajirisha wazee smart wa 90s walionunua plots O’bay & Co
6/n) Mara ya kwanza kbs naisikia Bitcoin ilikuwa FB, nilijua ni Pyramid Scheme tu. Ilikuwa kitu km $200 hivi
Mara ya 2 ikashika attention yangu nilivyoona CEO wa Voda kipindi hicho Ian Ferrao kaPost Chart ya Bitcoin
Ningeweka $1,000 kipindi hiko leo ingekuwa $200K - $300K
7/n) Kazi yako kama kijana SMART na tajiri wa baadae ni kujua Crypto projects ambazo zitaSurvive by 2030. We will be in our 30s & 40s, bado vijana kbs
Swali... Sasa Jeff unaangalia nini kujua kama hii Prohect itaSurvive na hii Itakufa?
Jibu...
8/n)
i. MATUMIZI - Utility
Hiyo Crypto project ina matumizi gani ktk Kukuza human civilization. Hiyo project inajaribu kusolve tatizo gani?
Mfn ni Uber imerahisisha sana interaction kati ya abiria na dereva ktk industry ya usafirishaji.
Tafuta Crypto inayosolve tatizo fulani.
9/n)
ii. Thamani - Value
Tafuta crypto project yenye thamani kwasasa na kwa baadae.
Japo Warren Buffett sio Investor mzuri kwenye Technology, lkn kupitia mafanikio yake katufundisha somo kubwa la ‘Value Investing’
Thamani ya Solana ni kubwa kuliko Ethereum. Hope naeleweka
10/n)
iii. Crypto Fundamentals
Tofauti na traditional investments huku tunaangalia zaidi facts & figures. Hakuna siasa!
16/n) USHAURI WANGU
i. Kuwa smart na fanya maamuzi makini
ii. Usiweke hela yako kwenye Shitcoins
iii. Epuka kuhesabu kuku kabla mayai hayajatagwa
iv. Price ya muda mfupi isikupotezee muda
v. Elewa unachokifanya
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
1. Nimeshakua maskini mpk kufika hatua ya kukosa mia 5 ya kula mlo mmoja wa mihogo.
Nishakua na pesa mpk kufikia hatua ya kuishi apartment ya $2k (Tzs 5M) per month, in the wealthiest suburb in the country.
Na nisharudi hatua ya kulala hostel chumba cha elfu 40 per month...
2. Katika hivi vipindi vyote viwili nimejifunza vitu vingi sn.
Kwenye huu uzi kwa leo nitashare vichache nilivyojifunza kwa sababu ya muda (majukumu) na changamoto ya mtandao huku porini nilipo kujitafuta upya baada ya kuanguka chini tena, from riches.
Katika maisha yng sijawahi kufanyiwa job interview,so sijui experience inakuwaje mtu akiwa intervied
Ila, nimefanikiwa kuinterview mamia ya watu,nikimsikiliza mtu kwa dakika 10 tu najua km anafaa ama hafai
Kuna vitu employers huangalia,ukiwa navyo vitakutofautisha na wenzio
🧵
Watu wengi wanaingia kwenye chumba cha interview na fikra potofu.
Wengi wanazungumzia experience zao
Wengi wanazungumzia juhudi na jitihada zao
Wengi wanazungumzia elimu/ufaulu wao
Wengi wanazungumzia qualifications zao
WRONG APPROACH
Utatembeza sana CV!!
Employer anakutana na mamia ya watu wenye elimu, ufaulu, juhudi nk; ili kustand out of the crowd inabidi uwe MEMORABLE & RELATABLE
1. Memorable
First impression matters, simaanishi ukivaa suti utapata kazi ama ukivaa jeans utakosa kazi. HAPANA!
Mimi kama long-term crypto assets investor, nimejiuliza nawezaje kupata passive income ya muda mfupi, wakati nasubiri returns za muda mrefu.
Nikakutana na huu mgodi 🧵
Kwanza niseme tu... huu uzi ni wa kudiscuss; sio financial advice.
Pia, niseme mimi kama investor moja ya responsibility yangu ni kumanage risk... Hiyo inaweza kuhusisha mimi kupoteza part ya capital yangu.
Sasa tuendelee...
1/ nimekutana na smart contract protocol inayorun kwenye AVAX inaitwa @thornodes . Ni fork ya $strong na $rise . Model yao ya passive income ni kwa “noding”
Unanunua node, then hiyo node inagenerate passive income. Funds za kwenye treasury zinatumika na protocol ku...
Jan 7 mwaka 1943 katika chumba kidogo wake umekufa ulikutwa umekufa. FBI walifika ndani ya dakika 30 na kuchukua kila kitu walichokuta.
Kabla ya kifo chake aliishi kinyonge, akiwa mpweke, afya mbovu na fukara.
Nini kilimtokea mwanasayansi NIKOLA TESLA.
🧵In a nutshell
1/Ukiamka asubuhi ukachomeka simu kwenye charger, ukaenda kuwasha heater uoge, then ukaenda jikoni kupasha chakula kwenye oven, na kuchukua maziwa kwenye fridge
Unaanza kula huku unatazama TV ukimaliza uwashe gari uende kuchakarika. Vyote hivi visingewezekana bila Nikola Tesla.
2/Siku aliyozaliwa kulikuwa na radi kali sana mpk daktari akatia “atakukua mtoto mwenye nguvu za radi” mama’ke akasema “hapana atakuwa na nguvu za mwanga💡” (radi ni kelele tu, mwanga ndio real energy)
Tesla alizaliwa Croatia 1856, familia duni sana lkn mama’ke alikua genius🤯