UKWELI KUHUSU TWS EarBuds

Hivi karibuni kumekua na brand nyingi sana duniani zimeweza kutengeneza TWS earbuds kwa majina tofauti tofauti pia mfano ,
-inpods
-airdots
-macaron
-Airpods
-TWS i..

Brand zote hizo pamoja na utofauti wa majina lakini zote zimela
zimika kutumia Teknolojia ya bluetooth sasa kuna kampuni nyingi duniani ambazo zinatengeneza Bluetooth chipsets models na ni vigumu kuzijua kwa kuziangalia muundo wake wa nje mpaka pale ambapo umezipasua kwa ndani ukiangalia vizuri kwenye PCBA kunakuaga na herufi
Tofauti tofauti zinazomanisha bluetooth chips mfano

A inamanisha Airoha

B inamanisha BES Hengxuan

C inamanisha CSR Qualcomm

Hii ni tofauti na earbuds kutoka. Apple na Huawei ambao wao wana bluetooth chipsets za kutengeneza wao tofauti na hizi popular BT chipsets
Katika research ndogo ambayo tumefanya kwa kushirikiana kwa ukaribu sana na thebestearbuds.co tumegundua earbuds nyingi zinazofanya vizuri zinatumia BT chipsets za Airoha ambazo zinakuja na features nyingi na unique mfano

-Sony
-Samsung
-Bose
-Anker
-Jabra

Ni baadhi
Ya kampuni ambazo hutumia airoha chipsets ambazo mara nyingi earbuds hua na bei affordable kidogo

Kama unazitaka earbuds zenye kutumia airoha chipsets dm kwa msaada

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Cxstore Company ltd.

Cxstore Company ltd. Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @CoxstoreTz

14 Nov
ZIJUE AINA ZA SCREEN PROTECTORS ZA SIMU NA UBORA WAKE.👨🏿‍🎓

Kuna ka uoga flani hua kanakujia baada ya kuiangusha smartphone yako,hii sio tu inaleta uoga lakini inapunguza thamani ya simu pia lakini haya yote unaweza kuepukana nayo kwa kuchagua screen protector yenye ubora wa kulind
a simu yako
Zifuatazo ni Aina za Protectors nimezipanga kutokana na ubora wake.

1.Tempered glass screen protector

Maana ya glass kua tempered ni glass yenyewe kupitishwa kwenye joto kali na kuchanganywa na kemikali muhimu ambazo zinaongeza uimara wa glass kuhimili mgandamizo
Na mshituko wa aina yeyote so hakukisha unapoenda kununua protector angalia kama ni tempered hua inaandikwa juu ya package yake mfano huu hapa chini na mara nyingi ukipima thickness yake hua zinakua 0.76mm ni protector nzuri sana kulinda simu yako
Read 7 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Too expensive? Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(