Fanya ku ❤️ kisha Retweet 🔁🔁 ku show love and Support
Tayari? Haya twendezetu tule madini⤵️
Naam...
Tatizo kubwa sana linalozikabiri biashara nyingi leo si ukosefu wa bidhaa bali ni....
ukosefu wa Wateja.....
Bidhaa unayouza/Kutengeneza unajua kabisa hauko peke yako sokoni ila una washindani kibao..
Lakini pia Makampuni mengi yanaweza kuzalisha bidhaa nyingi kuliko mahitaji ya wateja wanavyo weza kununua....
Na kutokana na uwezo huo, wanapotengeza bidhaa huweka makisio ya juu sana ya ukuaji wa biashara, wanapofika kwenye soko mambo huwa tofauti kwa ground...
kwani kama walidhani biashara ingekuwa kwa asilia 10 inapokuwa kwa asilimia 3 au 2 wanafikiri kama washindani wao wamefanya zaidi....
Jambo hilo hupelekea kuanza fujo ya soko kwa mshawasha wa kupata wateja zaidi....
Hapo BEI zitashushwa, zitatolewa zawadi kwa wateja(giveaway) za kumwaga n.k.....
Njia hii huonekana ni nzuri lakini hushusha kiwango cha faida, hushusha uzalishaji na biashara au makampuni mengine hufa kabisa.
Kumbe wakati mnahangaika kushusha bei ili kushindania wateja na washindani wako nao huwenda wana hali mbaya zaidi yako...
Kosa Au Tatizo Liko Wapi?
Usihofu nipo kwa ajili ya kuifanya 2022 iwe ya tofauti kwenye biashara yako....
Unachotakiwa kufanya ni kunifollow na kuweka alama ya kengere on ili usipitwe na madini maana mgodi ushafunguliwa sasa....
Baada ya kujua kwamba Wateja ndiyo bidhaa adimu Sokoni leo wacha nikupe ufunguo ambao watu na Makampuni mengi wanaudharau.....
Ufunguo huu utakuwezesha kunasa wateja kama Dan Bilzerian na madem zake... @NyandaAmosi anamfahamu huyu kamanda
UZIII TYM, YEEEAHH
Ngoja kwanza, unaweza ku ❤️ kisha Retweet 🔁 ku show support?... Eeh ndiyo hivyo, wengi watapata madini ukifanya hivyo...
Asante sana,
Twendezetu tukale
madini ⤵️
MASOKO au kwa Kizungu (MARKETING)
Ndiyo jibu litakalo kusaidia kuwashinda washindani wako badala ya kushindana kushuusha beeeiiii weee mpaka unaleta changamoto kwa biashara yako unauza bila faida.... Kuna mbinu za kufanya punguzo, uzi wa siku nyingine huo.....