👨🏿🎓TEKNOLOJIA 5(tano) ZILIZOLETWA NA UJIO WA COVID-19 DUNIANI .
Ujio wa Covid-19 duniani unalazimisha idadi kubwa ya nchi kuanza kutumia teknolojia tano(5) muhimu ambazo zina athiri utendaji kazi wa watu moja kwa moja huku idadi kubwa ya ajira tulizo zizoea zikipotea ifikapo2025
Jitahidi kuzisoma hizi nyuzi maana zimebeba mambo muhimu sana yatakayo kusaidia kufanya maamuzi mazuri juu ya skills gani unatakiwa kuwa nazo na ni fani gani umshauri mdogo wako au mtoto wako ama ndugu yako ambazo zitakua na soko miaka ijayo
Zifuatazo ni Teknolojia 5 muhimu
1. Artificial Intelligence (AI) and Machine Learning
Ikiwa na maana ya uwezo wa computer 💻 ama 🤖 robot kufanya kazi ambazo ilitakiwa zifanywe na binadamu teknolojia hii ina lenga kupunguza msongamano wa watu kwenye taasisi ,hapa computer inakua na uwezo wa kujifunza kila siku
tabia tofauti tofauti ambazo wateja wanaonesha,baadhi ya nchi zimeanza kutumia teknolojia hii na ajira nyingi sana za watu kwenye malls,hotels,industries zimepungua na kutoa ajira nyingi sana kwa fani zifuatazo.
-AI Research Scientist
-AI Engineer
-Machine Learning Engineer
-AI Architect
2.Robotic Process Automation (RPA)
Chuo alichosoma kaka @JemsiMunisi wana upiga mwingi sana wako mbele ya dunia 😇 pale kuna fani inaitwa automation engineering
Teknolojia hii haiendi mbali sana na AI maana hapa kazi nyingi zinakua automated
Ikiwemo kujibiwa emails na 🤖 robot,kufanya business advertisement,kuchakata miamala,na shuguli zenye kujirudia rudia mfano shuguli za viwandani nyingi sana zitakua automated na kundi kubwa la watu kupoteza ajira
3. Block chain
Ni mfumo wa uhifadhi taarifa za miamala ambao ni ngumu kubadili taarifa zilizo hifadhiwa,ni ngumu kwa hacker ama cheater kuweza kuingilia taarifa za miamala kwenye block chain maana hapa kila muamala utakao fanyinka kila block inatunza kumbukumbu zake
Mfano wa block chain ni Bitcoin na Ethereum ambazo zinaendelea kukua kwa kasi kubwa sana ,hii pia inasaidia ulinzi kua mkubwa kwenye miamala
Hapa kuna ajira kama
-Risk Analyst
-Tech Architect
-Crypto Community Manager
-Front End Engineer
Zinazaliwa
4. Internet of Things (IoT)
Vitu vingi kwa sasa vinatengenezwa vikiwa na wi-fi ikiwa na maana ya vtu vingi sasa vitaweza kuunganishwa na internet mfano vitu vya nyumbani,magari yetu,watu wanaweza kufunga milango ya majumba yao wakiwa mbali,watu wanaweza kuwasha majiko yao
Wakiwa njiani kuelekea nyumbani ili kufaidi ajira kwenye hii teknolojia utatakiwa kujifunza vtu kama
5.5G(fifth generation wireless)
Teknolojia hii imeletwa kwa lengo la kuongeza speed kwenye upatikanaji wa taarifa kutoka kwenye internet mtu asitumie muda mrefu akisubiri taarifa,hii itasaidia Vitu vingi vilivyo na internet access kuweza kuwasiliana kwa uharaka zaidi
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
🦅HATUA ZA AWALI ZA KU TRACK SIMU ILIYOPOTEA
PART 1
🧵🧵🧵!
hizi hatua za awali za namna ya ku track simu ni muhimu kwa kila mtu kuzipitia maana unaweza poteza simu au unaweza kutana na mtu amepoteza simu ukamsaidia,hizi mara nyingi hufanya kazi kama simu imeibiwa muda mfupi uliopita
1.Find my device(Google)
hii app i download kutoka playstore na kama hauja register simu yako fanya ku register credentials zako au pia nenda settings>security>turn on ile option ya remotely locate this device kama inavyoonekana hapa chini
sasa ikitokea umepoteza simu yako fanya
ku log in kwenye google find my device kwenye website ya google au kwenye hio app kwa kutumia simu ya mtu mwingine njia hii unatakiwa ufanye chap kabla hajaizima hio simu na utaweza kuona details kama zinavyoonekana hapa chini
🦅CODE ZA KU BLOCK SMS &SIMU ZINAZOINGIA AMA KUTOKA BILA YA MTUMAJI KUJUA.
⚡️⚡️⚡️⚡️
Unaweza ukazuia simu ama sms zinazoingia kwenye simu yako ama zinazotoka kutokea kwenye simu yako
1. *35*0000*11 #
Hii code inazuia simu zote zinazoingia ama zinazopigwa kutokea mtandao wowote
Namna ya kuitoa hio code baada ya ku set ni kubonyeza tena code hii # 35*0000*11 #
2. *33*0000*11 #
Hii ni code kwaajili ya kuzuia simu kutoka au kupiga,hii nzuri unamsetia mtoto au mdada wa kazi kama anapenda kuongea ongea na simu usiku 😀
Hii unaitoa kwa # 33*0000*11 #
3. *331*0000 #
Hii ni kwaajili ya ku block international calls kama umeajiri wageni na hutaki wapige pige simu makwao basi shuka nayo hii namna ya kuitoa ni # 331*0000 #
4. *35*0000*16 #
Hii ni kwaajili ya ku block sms zinazotumwa kwenye simu yako zisiingie na namna ya kuitoa
🦅KABLA HUJANUNUA SIMU USED
TUMIA HIZI CODE KUIHAKIKI !
🧵🧵🧵
Hizi simu used kabla hujainunua hakikisha unainunua kwa mtu unaye mwamini na hakikisha anakupa na original box halafu tumia hizi code hapa chini kuikagua
1.anza kwa kuivhunguza simu yenyewe battery 🪫 yake hali ya simu kwa ujumla na takwimu za kutumika kwake kwa kutumia code hii *#*#4636#*#*
2.Baada ya kumaliza kuicheki simu kama simu hakikisha unaifanyia factory reset ili kujua kama imekua bypassed ama imekua rooted *#*#7780#*#*
3.pia hii code ni kwaajili ya kufanya wiping* 2767*3855# kwenye simu yako
4. *#*#34971539#*#* hii inaonyesha taarifa za camera ya simu unayotaka kuinunua
5. *#*#7594#*#* hii inabadilisha tabia ya power button kama ni kubonyeza mara moja izimike au laa
🦅KUJUA KAMA iphone YAKO NI ORIGINAL IPIME KWENYE HIVI VITU VITANO (5)
🧵🧵🧵!
Leo nataka nikupe tips muhimu tano tu ,kujua kama simu unayotumia ni genuine na imekua designed kutoka pale Cupertino ,California steve job’s theater 🎭 au ndo imekua assembled China uswahilini 😀😀
1.Check battery health yako kama inaendana cycle counts 😎 simu original sensor zake zimewekewa limit kiwango flani cha ku miss behave ukipiga hesabu ukapata 80% na battery yako ni 79% hio sio mbaya maana haiko mbali sana,soma uzi wake zaidi kwenye pinned tweet yangu
2.Check Originality Ya parts
Kwa parts kama Camera,Display,Battery na Face id , kuanzia ios 16.2 kwenye iphone inaweza kutambua kama moja wapo ya parts hapo juu kama zimebadilishwa ,ukiona tu unknown part ujue iko kitu kimebadilishwa kama ni camera au battery
🦅KINACHOTOKEA WAKATI WA KU BOFYA NA KUSAMBAZA LINK ILI KUPATA ZAWADI📚
Kuna links nyingi sana ambazo hua watu wanaambiwa ku share na watu labda 10 au kwenye baadhi ya ma group ya WhatsApp ili kujishindia zawadi au kupata udhamini wa kusoma nje ya nchi
Links hua zipo nyingi sana kuna zingine ni kujishindia simu flani mpya iliyotoka wakati huo,gari ya thamani,kwenda kutizama mechi ulaya live,au kampeni zingine ni kuataka kutabiri namna mtoto wako atakavyokua ama zingine kutabiri utakua tajiri kiasi gani moja kati ya kitu ambacho
Hua kinafanyika nyuma ya pazia ni kutekwa nyala(enslavement )kwa kifaa chako cha ki electronic kinachotumika kusambaza link hio inaweza kua ni pc,smartphone,ipads ama tablet na aina hii ya utekaji nyala wa mtandaoni tunaita Distributed denial of service attack(DDOS)
🦅VITU VYA KUFANYA ILI KUOKOA MATUMIZI YA BANDO KWENYE SIMU!
📚📚📚
Kuisha haraka kwa internet Bundles imekuwa ni malalamiko ya wengi, lakini pia unaweza kufanya settings kadhaa kwenye simu yako kuokoa bundle kuisha haraka
Twende pamoja hapa chini 👇
na kila muda kama ziko on zinakua zinatumia data na
battery pia kufanya updates kati ya simu yako na server,namna ya kuzima nenda settings >accounts then Zima syncing ya apps ambazo muda mwingi hua huzitumii kama inavyoonekana hapo juu