Coxstore  Profile picture
Jan 26, 2022 9 tweets 4 min read Read on X
VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA KABLA YA KUFANYA MAAMUZI YA KUNUNUA TV(Television )📺 !

Cc @CoxstoreTz 🦅

Kutokana na uzi nilio andika jana kua na maswali mengi sana juu ya vitu kama smart tv,Android tv,UHD,FHD,4k,8k leo nitajubu maswali mengi sana kwenye huu uzi shuka nami 🧵 Image
1.SMART TV AU ANDROID TV
Hapa nitakupa utofauti kati ya smart tv na android tv then wewe ndio utafanya uamuzi uchukue ipi.

Smart Tv -ama kwa jina jingine wanaita internet TV ni Tv yenye uwezo wa kuunganishwa na internet na hufanya kazi kuikaribia sana smartphone Image
Utofauti wake hii inakuja na already installed applications na huwezi ku download zingine maana haina playstore wala appstore faida ya smart tv ipo fast kuizidi android tv

Android Tv -ni aina ya smart tv ambayo inatumia os(operating system) ya android hii inakuja na playstore
Ambapo utaweza ku download application mpya unazo taka ila tu haipo fast ukilinganisha na normal smart tv.pia bei za android ziko juu ukilinganisha na normal smart tv

2.Resolution (HD,FHD,4kUHD,8kUHD)

Term hizi zote humanisha kiwango cha un’gavu wa tv yako na kadri Resolution Image
inavyokua kubwa ndio TV inakua na uwezo mzuri zaidi wa kuonyesha picha zenye ubora zaidi na bei pia inakua kubwa zaidi

3.WIRELESS CONNECTIVITY
Hii ni feature nzuri sana kwenye tv jaribu kusoma kwenye box kama kuna features kama wi-fi,Bluetooth,mirroring hizi feature zitakusaidi Image
a kuunganisha tv yako ku share na simu yako vitu vingi mfano kutumia bando la kwenye simu yako kwenye tv,pia kama una airpods unaweza connect na tv ukaendelea ku enjoy movie zako bila kuwakela wengine
4.CONNECTION NA PORTS
Cheki matundu ya kuunganisha vifaa vyako kwenye TV ili usiwe na haja ya kuchomoa chomoa nyaya unapotaka kuunganisha vifaa vingine Image
5.TV size(“inch)

Size zilizo zoeleka ni inch 32,40,43,49,50,55 .kufanya maamuzi ya size ipi uchukue ni kupima umbali wa eneo itakapo wekwa tv na eneo ambapo mtazamaji atakaa
Mfano umbali wa futi 4-6 nunua tu inch 32,futi 5-8 unaweza nunua inch 40/43 na kuende
6.Brand
Kila brand zinakua na features tofauti tofauti kujitofautisha na brand nyingine ila tu usikimbilie sana brand zenye majina zilizo zoeleka toka zamani,kuna brand zingine mpya lakini zinafanya vizuri sana sokoni na zina features very unique na bei zako kidogo zipo chini Image

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Coxstore 

Coxstore  Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @CoxstoreTz

Sep 26, 2023
🦅HATUA ZA AWALI ZA KU TRACK SIMU ILIYOPOTEA
PART 1

🧵🧵🧵!

hizi hatua za awali za namna ya ku track simu ni muhimu kwa kila mtu kuzipitia maana unaweza poteza simu au unaweza kutana na mtu amepoteza simu ukamsaidia,hizi mara nyingi hufanya kazi kama simu imeibiwa muda mfupi uliopita
Image
1.Find my device(Google)
hii app i download kutoka playstore na kama hauja register simu yako fanya ku register credentials zako au pia nenda settings>security>turn on ile option ya remotely locate this device kama inavyoonekana hapa chini
sasa ikitokea umepoteza simu yako fanya
Image
Image
ku log in kwenye google find my device kwenye website ya google au kwenye hio app kwa kutumia simu ya mtu mwingine njia hii unatakiwa ufanye chap kabla hajaizima hio simu na utaweza kuona details kama zinavyoonekana hapa chini Image
Read 9 tweets
Aug 25, 2023
🦅CODE ZA KU BLOCK SMS &SIMU ZINAZOINGIA AMA KUTOKA BILA YA MTUMAJI KUJUA.
⚡️⚡️⚡️⚡️

Unaweza ukazuia simu ama sms zinazoingia kwenye simu yako ama zinazotoka kutokea kwenye simu yako

1. *35*0000*11 #
Hii code inazuia simu zote zinazoingia ama zinazopigwa kutokea mtandao wowote Image
Namna ya kuitoa hio code baada ya ku set ni kubonyeza tena code hii # 35*0000*11 #

2. *33*0000*11 #
Hii ni code kwaajili ya kuzuia simu kutoka au kupiga,hii nzuri unamsetia mtoto au mdada wa kazi kama anapenda kuongea ongea na simu usiku 😀

Hii unaitoa kwa # 33*0000*11 #
3. *331*0000 #
Hii ni kwaajili ya ku block international calls kama umeajiri wageni na hutaki wapige pige simu makwao basi shuka nayo hii namna ya kuitoa ni # 331*0000 #

4. *35*0000*16 #
Hii ni kwaajili ya ku block sms zinazotumwa kwenye simu yako zisiingie na namna ya kuitoa
Read 5 tweets
Aug 23, 2023
🦅KABLA HUJANUNUA SIMU USED
TUMIA HIZI CODE KUIHAKIKI !

🧵🧵🧵

Hizi simu used kabla hujainunua hakikisha unainunua kwa mtu unaye mwamini na hakikisha anakupa na original box halafu tumia hizi code hapa chini kuikagua Image
1.anza kwa kuivhunguza simu yenyewe battery 🪫 yake hali ya simu kwa ujumla na takwimu za kutumika kwake kwa kutumia code hii *#*#4636#*#*

2.Baada ya kumaliza kuicheki simu kama simu hakikisha unaifanyia factory reset ili kujua kama imekua bypassed ama imekua rooted *#*#7780#*#*
3.pia hii code ni kwaajili ya kufanya wiping* 2767*3855# kwenye simu yako

4. *#*#34971539#*#* hii inaonyesha taarifa za camera ya simu unayotaka kuinunua

5. *#*#7594#*#* hii inabadilisha tabia ya power button kama ni kubonyeza mara moja izimike au laa
Read 4 tweets
May 24, 2023
🦅KUJUA KAMA iphone YAKO NI ORIGINAL IPIME KWENYE HIVI VITU VITANO (5)

🧵🧵🧵!

Leo nataka nikupe tips muhimu tano tu ,kujua kama simu unayotumia ni genuine na imekua designed kutoka pale Cupertino ,California steve job’s theater 🎭 au ndo imekua assembled China uswahilini 😀😀 Image
1.Check battery health yako kama inaendana cycle counts 😎 simu original sensor zake zimewekewa limit kiwango flani cha ku miss behave ukipiga hesabu ukapata 80% na battery yako ni 79% hio sio mbaya maana haiko mbali sana,soma uzi wake zaidi kwenye pinned tweet yangu Image
2.Check Originality Ya parts

Kwa parts kama Camera,Display,Battery na Face id , kuanzia ios 16.2 kwenye iphone inaweza kutambua kama moja wapo ya parts hapo juu kama zimebadilishwa ,ukiona tu unknown part ujue iko kitu kimebadilishwa kama ni camera au battery Image
Read 6 tweets
Aug 27, 2022
🦅KINACHOTOKEA WAKATI WA KU BOFYA NA KUSAMBAZA LINK ILI KUPATA ZAWADI📚

Kuna links nyingi sana ambazo hua watu wanaambiwa ku share na watu labda 10 au kwenye baadhi ya ma group ya WhatsApp ili kujishindia zawadi au kupata udhamini wa kusoma nje ya nchi

#Elimikawikiendi
Links hua zipo nyingi sana kuna zingine ni kujishindia simu flani mpya iliyotoka wakati huo,gari ya thamani,kwenda kutizama mechi ulaya live,au kampeni zingine ni kuataka kutabiri namna mtoto wako atakavyokua ama zingine kutabiri utakua tajiri kiasi gani moja kati ya kitu ambacho
Hua kinafanyika nyuma ya pazia ni kutekwa nyala(enslavement )kwa kifaa chako cha ki electronic kinachotumika kusambaza link hio inaweza kua ni pc,smartphone,ipads ama tablet na aina hii ya utekaji nyala wa mtandaoni tunaita Distributed denial of service attack(DDOS)
Read 11 tweets
Jul 30, 2022
🦅VITU VYA KUFANYA ILI KUOKOA MATUMIZI YA BANDO KWENYE SIMU!
📚📚📚

Kuisha haraka kwa internet Bundles imekuwa ni malalamiko ya wengi, lakini pia unaweza kufanya settings kadhaa kwenye simu yako kuokoa bundle kuisha haraka
Twende pamoja hapa chini 👇

#ElimikaWikiendi
Tuanze na simu za android then nitamalizia na iphone

ANDROID
1.Zima accounts syncing

Baadhi ya apps kama Facebook, Google Fit data, Google Play Movies, na Google Play Music ambazo mara nyingi wengi wetu hua hatuzitumii

#ElimikaWikiendi
na kila muda kama ziko on zinakua zinatumia data na
battery pia kufanya updates kati ya simu yako na server,namna ya kuzima nenda settings >accounts then Zima syncing ya apps ambazo muda mwingi hua huzitumii kama inavyoonekana hapo juu

#ElimikaWikiendi
Read 12 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us!

:(