Biden ametoa speech ambayo inaonyesha Trump alikuwa anamdekeza sana Putin.
Belarus jirani wa Ukraine na Urusi ndiye rafiki mkubwa Putin na Biden kasema Urusi isipotoa majeshi yake huko atalituma jeshi π
la Marekani ndani ya Belarus π§πΎ
Tunaweza kuona ni namna gani Marekani wanaendelea kuzichanga karata zao vizuri dhidi ya kumdhoofisha Urusi.
Belarus chini ya Raisi ambaye watu wa haki wanamuita Dictator Alexander Lukashenko aliyekaa madarakani toka 1994 alisema
"Ikiwa ina maana kuweka askari wa Kirusi hapa, tutawaweka kwa muda mrefu iwezekanavyo. Ninasisitiza kwa mara nyingine tena: hili ni eneo letu na uamuzi huu ni wetu.β
Umoja wa Mataifa unasema Urusi kuingiza jeshi lake Donbas, Ukraine kuwalinda raia wanaowasapoti Urusi ni kosa
Marekani πΊπΈ wanataka kuliingiza jeshi lake Belarus π§πΎ likaliondoe Jeshi la Urusi π·πΊ
βͺοΈAtakaye umia ni Belarus π§πΎ
βͺοΈVita itapiganwa kwenye aridhi ya adui wa Marekani.
βͺοΈMarekani hana cha kupoteza.
βͺοΈNdio mwanzo wa Marekani kuishambulia Moscow.
Pia tukumbuke Donbas, Ukraine πΊπ¦ ndio inayochochea vita vya huu mgogoro na bado mpaka sasa Majeshi ya serikali yanapigana na Vikundi vinavyopewa sapoti na Urusi.
USHAWISHI WA MAREKANI UNAMFANYA URUSI AONEKANE MTOTO M-BAYA
Tunashuudia
Japan aliyewahi kuwa adui mkubwa wa Marekani anasema anasimama upande aliosimama Marekani.
Ujerumani iliyokuwa inataka huu mgogoro umalizike ki-diplomasia ili kulinda maslahi ya nchi yake juu π
Ya bomba la Gesi la Nord Stream 2 inayotoka Urusi. Leo hii analiongezea vikwazo Urusi isiwauzie gesi.
Qatar inawaambia Ujerumani mnataka nini? Mafuta? au nini sisi tuwape.
Marekani na Ulaya umeziwekea vikwazo Taasisi za kifedha za Urusi hakuna miamala ya kuamisha pesa
Kutoka Urusi kwenye nyingine za Ulaya hii ni hatari sana kwenye uchumi wa Urussi.
Marekani imewazuia baadhi ya biashara za matajiri wa kubwa wa Urusi hii ni mbaya mno ugomvi wa kijeshi kuamishiwa kwa watu ambao hawana hatia.
Putin anazidi kufundishwa uoga.
π Marekani ina Teknolojia kubwa mno kwenye Majeshi yake ana uwezo wa kuifanya hii dunia kitu chochote anachotaka.
π Urusi ni nchi ambayo haitabiriki.
Sio kwamba Marekani inaipenda sana Ukraine, lengo kubwa la Marekani kwa miaka mingi ni kuishambulia Moscow na kuisambaratisha.
Mpaka leo hii Moscow ipo kwasababu ya uwepo wa Putin.
Trump alikuwa anaizungumza Urusi huku akiwa na hofu ya silaha za Nyuklia za Urusi.
Biden anaizungumza Urusi bila kuziwekea maanani silaha za Nyuklia anazozoimiliki Urusi zinazoweza kuifuta dunia yote ndani ya muda mfupi.
NATO wanafikiria kuingia Ukraine Marekani inafikiria kuingia Moscow na Urusi inafikiria kuingia Marekani.
Kwa hivi vikwazo alivyowekewa Urusi ni hatari sana kwa uchumi wao na ni ngumu kuvulimia. Vuta picha biashara zinazofanyika kati ya Urusi na China leo hii zisifanyike!!
Raisi wa Urusi Putin amesema yupo tayari kwenye mazungumzo ya kidiplomasia na nchi za Ulaya juu ya mzozo wa Ukraine lakini kuhusu suala la usalama wa raia wake hilo halihitaji mjadala.
Kwasasa Urusi ni sawa na yupo mwenyewe ile nchi imezungukwa na kambi nyingi za jeshi la USA.
Lakini ana makombora hatari ya Hypersonic ambayo hakuna mtambo yoyote yenye uwezo wa kuyazuia hayo makombora kama tulivyokuwa tunashuudia Iron Dome za Israel zilivyokiwa zinazuia makombora ya Palestina.
Urusi anaweza rusha kombora likazunguka dunia nzima bila kuonekana
Source: Putin
Hiyo Teknolojia Marekani anayo iliyo advanced zaidi ya Urusi, wakifikia level hiyo atakaye anza ndiye atakayeshinda japo hakuta kuwa na mshindi.
Marekani na Urusi wana mbinu zinazofanana katika vita kudeal na Viongozi.
Katika mazungumzo mengi ya Marekani wanamlenga moja kwa moja Putin kama mkosaji wanayemuhitaji na Urusi kule Ukraine kwa mujibu wa Majasusi wa Marekani ni wamepanga majina
Ya Viongozi wa Ukraine wanaotaka kuwaua, kuwateka na pia kwenda kuwatesa. Tuendelee kusubiri Urusi atajibu nini juu ya hivi vikwazo.
Pia huku Tanzania kuna habari zinasambaa kwa kasi sana kuwa π
Wauzaji wa @SimuZaNjiwa kuna simu mpya wameingiza sokoni 2022 kuanzia 270K hadi 3.5m
π¨ Hivi unafahamu cha kufanya pale simu yako itakapo dumbukia kwenye Maji??
Leo nimepa ta ujuzi kidogo nikaona sio mbaya ku-share na nyinyi.
Yawezekana simu yako ni water resistant. Hii inamaanisha kuwa simu yako haitaathiriwa na maji kwa muda flani, haimaanishi kuwa..ππΎ
Simu yako ni water proof!. Mpaka sasa hivi duniani hamna simu ambayo ni water proof.
Water proof inamaana kuwa simu yako haiingii maji hatakama utaiacha Mwaka mzima kwenye maji yenye kina chenye urefu wowote.
Tuache stories twende kwenye point.
Simu yako imedumbukia..ππΎ
Kwenye maji, na ni water resistant means itakuwa inaendela kufanya kazi. Ila simu huwa na matundu ya speaker kwa ajili ya kutoa sauti ambayo matundu hayo huongiza maji.
Yafuatayo ni mambo ya kufanya simu yako inapoingia kwenye maji!
π¨ Mark Zuckerberg anapenda sana ushindani kwa upande wa Social media apps ambapo, huchukua idea za wenzake na kuzinadi kwa namna yake.
Kama una kumbukumbu Facebook ilikuja kuiua My Space, Stories kwa instagram zinashindana na Snapchart, Instagram reels nazo ni kwaajili..ππΎ
Ya kuiua Tiktok, sasa wameleta threads kuondoa Ubaguzi unaondelea Twitter!!
Wakati tukiendelea, kusubiri updates mpya na feature mpya kuwa added kwenye Threads, acha tulinganishe Twitter na threads, ili tujue ni feature gani zinatakiwa ziongezwe kwenye Threads..ππΎ
1. Ukomo wa character (Character Limit).
Apps zote hizi mbili zina limits ambayo, mtu anatakiwa asizidi wakati wa kuandika Uzi wake.
Kama tunavyojua twitter ina limit ya 280 characters kwa thread moja lakini kwenye Threads wametupa limits ya characters 500 per thread...ππΎ
π¨ #ChactGPT AI nzuri kwa kutumia mpaka sasa
Kutokana na uwezo wake
Lakini leo nakuletea mambo 10 yanayofanywa na Bard ambayo ChatGPT haiwezi kuyafanya!
Source: [You need a robort]
1. Uwezo mkubwa wa kuperuzi (Internet access)
Bard inauwezo mkubwa wa kperuzi online kutokana na imeunganishwa na google search severs!
Hii inaipa uwezo wa kupata majibu mapya ya muda huo kwa haraka zaidi.
Mfano: video kiwango cha pesa kilichowekezwa kwenye AI 2023.
2. Vyanzo (Plugins)
Kutokana na Supercharge google wame-connect Bard na makampuni mbalimbali ili kumuwezesha mtumiaji kufanya vitu tofauti tofauti kwa kutumia bard
Mfano;
-unaweza nunua baiskeli kwa bard toka ebay
-panga reservation ya hoteli
- Agiza vitu kwa instacard
Na zaidi