Madinidotcom Profile picture
Apr 7 25 tweets 5 min read
CORONA VIRUS NI KAZI YA MAABARA? WHY CHINA?

#PichaLinaanza CORONA VIRUS!True story hatimaye tumepata HIT SONG iliyosikilizwa na wote wazee,vijana,
watoto,wanasiasa,madaktari na wahuni wa skani.Mara ya mwisho tumepata hit song ya aina hii ilikuwa #MUZIKI ya Darassa ft Benpol. Image
Kabla ya hapo CONGO WALITULETEA ‘’TWANGA PHOTO WAAAAH,
ekotiteee,ekotiteee’’ ya Kofii olomide. au Mbele tukasikia DESPACITO…
Hii sio mara ya kwanza na huenda isiwe ya mwisho kusikia virusi kusambaa duniani kutoka nchi china. So
why CHINA?
Dunia imeshaingia kwenye process ya CHANJO na mjadala wake ni mkubwa na mzito .We unaamini nini?Ni hiari na maamuzi yako.Kwanini China ndo chanzo cha haya yote?
PICHA LINAANZA #2019 China wakijiandaa kudamshi na mwaka mpya ,BREAKING NEWZ watu walianza
kupata kikohozi kikavu
then ka homa flani fantabulaz then inahamia kwenye #pneumonia (Nimonia) ambayo inafanya una left grup la dunia .Madaktari wanaiita COVID-19 ikiwa ni kifupi cha jina Corona virus Disease 2019. Hiyo ni hbr kwa ufupi lkn story ni zaidi ya hiyo,na sasa wanasema huenda mzigo ulitokea
Maabara so theory ya endapo Corona Virus ni kazi ya mikono ya binadamu inazidi kupata nguvu.Rais Joe Biden wa Marekani ameshatoa tamko kutaka uchunguzi wa hili,wakati Upande wa pili
China wamegoma kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi,kwasabab virusi vinatajwa vilianzia kwao.
Tutakuja kuangalia vizuri theory hiyo ya virusi wa maabara.Twende na official statement ya Covid ilipoanza na kwanini CHINA always ndo hutokea haya mambo .Walipotafuta chanzo chake waligundua ni WUAN MARKET ambapo ni kama ‘Machinjio ya vingunguti’ yao.kidhungu wanaita‘WET MARKET’
Huu mji wa WUAN ndipo ilipo THE WUAN INSTITUTE OF VIROLOGY maabara kubwa yenye ulinzi mkubwa
,spesho kwaajili ya kustadi VIRUSI hatari. Na ile theory inaanzia hapa,bado haijathibitika lakini kila upande sasa unasapot hoja ya UCHUNGUZI MPYA juu ya chanzo HALISI cha virusi hawa.
Picha haltofauti Machinjio ya wanyama WUAN ni tofauti na ukiwa vingunguti ya DAR,kwasababu wale wanyama unaoomba 'usikutane' nao ppte iwe BARABARANI au ndani kama Mjusi,Kenge,Popo .n Kule
wanaomba wasikute wameisha BUCHANI!Utaelewa vizuri Ilipoanzia.
Wuan ni katikati ya China
mpaka sasa wanasema imeanzia hapo kwasababu kati ya watu 41
waliokutwa navyo mara ya kwanza,27 kati yao walikuwa kwenye soko hilo kupata vitoweo,basi wakaona
CORONA imetoka hapo na ndizo taarifa official mpaka sasa.Haikujulikana kama ni uhakika ndo chanzo lakini China
walifunga hilo soko fasta na hii sio mara kwanza tukio kama hili la VIRUS
Mwaka 2002 China kulikuwa na virusi wengine almaarufu SARS(sa^z) ambavyo vilisabishwa na wanyama pori hivyo hvyo,na vilisambaa kwenye nchi 29 na kuua watu 800.Soko la NYAMA PORI
ambapo viligunduliwa
Likafungwa,miaka 18 baadae Corona anaibuka na kusambaa nchi 71 na misibaimekuwa mingi.Kwnn yanatokea china kwenye masoko.Kwanza uelewe tofauti ya VIRUSI na BACKTERIA
Magonjwa yanayotibika ni ya BAKTERIA TU na sio virus maDOKTAZ wanasema magonjwa mengi ya VIRUSI ni ngumu kutibika
kwa dawa,mfano Mafua,Ukimwi, ebola ,Corona ni magonjwa yanayo sababishwa na virus.Mafua hayana dawa kuna mtu ameshangaa,kwasabab ukienda dukani utapewa dawa ya mafua lakini ile sio dawa ya kuponya mafua
Ukienda kwa dokta atakuelezea zaidi So kuna magonjwa ya virus yanatokea
kwa wanyama,mf wanao sababisha INFLUENZA au mafua wanatoka kwa KUKU au NGURUWE,HIV wanatoka kwa NYANI,ebola walisema zimepitia kwa POPO na sasa CORONA popo anadaiwa amehusika lakini INDIRECT kwamba alivipeleka kwa Kaka kuona kidhungu wanamtambua almaarufu Pangolin
kisha Blaza PANGOLINI akavileta kwa binadamu na hapa ndipo WUAN MARKET INAINGIA.Kama itakuja kuthibitika vinginevyo,hii itakusaidia kujua kwanini ndugu zetu wachina yule NYOKA tunayesema na kuamini alimdanganya Grand ma HAWA akamdanganya na mshua wakala TUNDA,
kule ni SUPU isiyo na kongoro.Kifupi ni Supu ya stekiTupu.China wanakula hadi nyoka na vyakula vingine ambavyo kwetu ni kitu cha ajabu kama ambavyo huwa tunaskia na leo utaelewa kwann. Kwa nchi km Tz wakiibuka virus wakawekwa au wakajiweka kwa wanyama km popo au kaka kuona
ingekuwa ngumu sana kufika kwa binadamu kwasababu ya umbali tulio nao kimaisha na wanyama hao,lakini kule china ni msosi wa kila siku.Ilikuwaje jamaa wanakula NYOKA na kila kitu?
Lets go back to history kwa ufupi. Ni shida iliyoanza kupikwa kitambo.Miaka ya 1970 CHINA ilikuwa
kubwa ilitokea NJAA moja ‘ya kufa Binadamu’ikauwa watu milioni 36(Ni zaidi ya nusu ya watu tulio nao Tanzania kwa sasa).Ni zaidi hata ya Corona tuliyonayo.Hii njaa ya China kimsingi
ilisababishwa na mfumo wa kiutawala uliokuwepo,na imeshawahi kutokea KOREA KASKAZINI pia
kwasabab inayofanana na china.kwenye episode zetu nadhani tulikwambia kuhusu NORTHKOREA.Enzi hizo KILIMO(na ufugaji) ilikuwa sekta ya serikali,kifupi kila mwananchi unayelima ujue unailimia serikali,then inakusanya mazao yote inagawa kwa usawa.Kama unavyoona huku tunakusanya
kodi TOZO LA UPENDO then serikali inatumia kutujengea miundo mbinu sasa kule hadi kilimo alifanya hivyo na wananchi walitegemea kupewa msosi serikalini na mahitaji ya kilimo (pembejeo) serikalini.Hata Cuba wanaishi hivi hadi leo.Biashara zote hadi za duka ni za serikali na wote
Mmeajiriwa..Ilienda hivyo kwa miaka kadhaa mpaka idadi ilipofikia watu milioni 900,Serikali ikaanza kufeli kulisha watu wote hao kwasababu kama unavyojua unalima unaipa serikali,so hata usipopata mazao ya kutosha
lazima hitaji lako la msosi linakuwa palepale.
Hata vita itokee serikali ilikuwa na jukumu la kulisha watu wake na mwisho mpango ulifeli BIG TIME.Korea nayo ilitokea hii na kuua mamilion ya watu
Enzi za babu yake KIM JONG UN wa sasa anayetusumbua.1978 KUELEKEA 80 Serikali ya China ilinyoosha mikono juu rasmi‘mwendo wa mateka’
na ikaamua kubinafsisha sekta ya kilimo na ufugaji.Ikawa Hashtag Kila mtu ajetegemee.serikali ikasema "Hapa story tu,baharia utakula kwenu".Hapa zikaanza ile KAULI maarufu ya ‘Survival of the fittest’ kwa kibongo tunasema "mwenye kisu kikali ndo atayekula nyama".
Zile biashara maarufu zote walichukua wenye hela mfn NYAMA ZA NGURUWE,KUKU,NGOMBE,MAHINDI n.k na maskini ikabidi waanze kufuga wanyama wa porini,si unajua tena nyama hailimwi shambani. So kwa mwanzoni,wanyama wa kufugwa wanaoliwa kama KOBE,NYOKA,POPO
PANYA na wengine
walianza kufugwa nyumbani kwa wakulima wadogo wadogo tukiongea KIBAKITA ZAIDI tunaita zile kaya
maskini .waswahili wanasema ‘’Njaa mwalimu’kwasababu IDADI YA WATU MASKINI wafugaji ndio walikuwa wengi means walifuga wanyama wengi zaidi na mtaani vitoweo vya NYOTA,KOBE,POPO n.k
vikawa vya kushato na kushika
soko.Kama bongofleva ilivyolishika soko kutoka kuitwa muziki wa kufokafoka
Soko lilipokuwa kubwa huku serikali ikiwa kwenye hali mbaya kiuchumi wakaona kumbe ‘’ Mambo iko huku’’

#PichaLinaendelea mdogo mdogo utaelewa kwa undani..

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Madinidotcom

Madinidotcom Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @madinidotcom

Apr 9
KUTENGANA KWA KOREA KUSINI NA KASKAZINI ,CHANZO NA MATOKEO
YAKE

#PichaLinaendelea Wote tunajua kuna KOREA 2,Wale wa kaskazini kama Johmakini na wa kusini kama konde boy .Sasa STRAIGHT To the point, nini sababu ya wao kutengana?JIBU fupi Ni vita vya pili vya dunia.Ilikuwaje? Image
Korea ilikuwa nchi moja tangu karne ya 7 means tangu miaka ya 1700 mpaka
1945.Karne za kutosha wamekaa pamoja chini ya HIMAYA YA SILLA
WANAITA SILLA DYNASTY(sila dainasti).Mwanzo ulisikia chanzo cha ketengana ni VITA VYA PILI VYA
DUNIA(1945) lakini story kidoogo
ilianzia nyuma ya hapo.Kuna ‘ndondi’ flani zishawahi kupigwa kati ya JAPAN na CHINA,hii vita inaitwa First Sino -Japanese war,imagine wanasema ni vita kati ya CHINA na JAPAN lakini picha halisi ni tofauti kabisa.JAPAN alikua ndo Baba lao miaka hyo kutokana na walichukua mfumo
Read 25 tweets
Apr 7
CORONA VIRUS NI KAZI YA MAABARA? WHY CHINA?
#PichaLinaendelea sehemu 2

Lakini SIDE B kuna issue ya LABARATORY THEORY niliyokugusia mwanzoni ambayo mataifa mengi
yameanza kurudi kujiuliza na CHINA inatumia POWER yote kuhakikisha hilo halifanyiki. Ni Theory gani
hii? Image
Kwanini kuna hizi maabara za VIRUSI hatari duniani?By the way leo tunaongelea CHINA tu lakini
marekani pia wana mahabara kama hizi kibao na zimejaa virusi hatari kibao,vya faida gani?Kwanini MAREKANI na CHINA wanatupiana mpira?.PICHA LINANOGA Image
So kama tulivyosikia dunia ina maswali mengi kuhusu Corona na kubwa linalojitokeza ni LAB THEORY
ambayo imeanza kuuliziwa vikali na wakubwa.Kabla haijathibitika kama kweli ni kazi ya maabara ama
lah,Kuna mwingine utauliza kwani tukijua ndo isaidie nini?Well
Read 25 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(