FrancisArt Profile picture
May 14 21 tweets 5 min read
⚡Kuna Kipindi Nilidhani 150K ni Nying Sana Kumcharge Mteja Kwa Picha 10,

✅Hizi ni Siri 5 Ambazo Mentor Wako Hataki ujue 99%
.
#Uzi 👇🏽
⚡Ni Miaka 8 Imepita Sasa Tangia Nianze shika Kamera Kwa Mara Ya Kwanza,
.
Along the way nimejifunza Vitu Vingi Sana...
.
Ambavyo Leo Nataka nikumegee Kidogo, Ili ujue Siri ya Mtungi.
⚡Katika Miaka nane Kuna Miaka hapo kati Nilikata Tamaa Kabisa,
.
Nikatemana na Photography Mazima.
.
Lakini Moyo wangu Ulikuwa unaniuma Sana, nimefanya Kazi za Hapa na Pale.
.
Lakin Bado Moyo Ulikuwa Haujakubali kuachana na Photography.
⚡Ukizingatia Photography Ndio Kitu ninachokijua 99% Hata Uniamshe Usingizini.
.
Basi Miaka ikasonga nikarudi Upya Kuanza Kupiga Picha,
.
This Time nilirudi Kwa Mikakati Mingine mipya Kabisa.
⚡Of coz Kati ya Miaka Niliyoacha Kupiga Picha nilikiwa najitadhimin wapi nakosea na Wapi Nirekebishe.
.
Ili nifanye Photography Kibiashara na ninufaike na Kitu ninachokipenda...
⚡Sasa Hizi ni Siri Tano Nilizogundua Baada ya Kurudi Kwenye Game!
.
Siri ya 4 Ndio itakuacha Meno wazi
Siri ya Kwaza
Kutozingatia Hasa Kuhusu Gear
.
Hapa Ndipo Beginners Wengi wanaaza Kufeli Kabla,
.
Wakati Naanza Kupiga Picha nilikiwa nakesha Kujua Photographer Fulani anatumia Kamera Gani
.
Nimeshinda Sana Mtandaoni kukagua Kamera Gani imetoka na Ipi Mpya itakayotoka.
Nilikuwa Nawaza Sana. Kwann Fulani anapata Wateja Tena Wa Pesa Nyingi Mimi sipati,
.
Jibu nililojijibu, Ni Kwasababu eti yeye ana Kamera Kali Mimi sina.
.
Na Siri Ndio ilinifanya mm Kwa Miaka Mingi kutofanikiwa Kibiashara.
.
Nitakwambia Kwann 👇🏽
Siri ya Pili
Photography ni Biashara
.
Yaan Home hawaamini Kitu kinaitwa Mpiga Picha, nakumbuka Mzee wangu alikuwa Kila Siku ananikumbusha Kutafuta Kazi...
.
100% haoni kama Kupiga Picha ni Kazi na inaweza Kukufanikisha...
Hivi ulishawahi kuwaona Wapiga Picha Wa Mtaani Kwenu? Je Hali Zao za Maisha Zipoje?
.
Okay, Wana Jina lao wanaitwa "Banyaa" basi Mzee hakubali Hicho Kitu Kabisa.
.
Wengi Wa Wapiga Picha hawaifanyi Photography kama Biashara. Na Hili Ndio Anguko la Wengi.
Na Nikutokana na Msingi Wa Unaponza Carrier Yako ya Kuwa Photographer.
.
Jikite Zaidi Kwenye kijifuza Upande wa pili wa shilingi
.
Elimu ya Biashara Ndiyo Muhimu Zaidi Kuliko Chochote Kwenye Hii Taaluma ili utoboe.
Siri ya Tatu
Kuogopa Kumcharge Mteja Pesa Nyingi
.
Sikia, ukishajua kufanya Photography Kibiashara na umeshajifunza namna gani biashara inahitaji iwe.
.
Hutoogopa kupandisha bei ya huduma zako.
.
Pale maarifa yanapoongezeka Kila Siku, yaan ubora Wa Kazi Yako unapoongezeka
I highly recommend pia ufikirie kipandisha Bei ya huduma zako.
.
Fikiria Pia Hali ya Maisha inapanda Kila Siku, iweje wewe ubaki na Bei ya Buku Buku?
.
Usipofanya Hivi nakuhakikishia hutoliona Tobo kamwe na Watu hawatakuchukulia Serious
.
Na jina utaitwa Banyaa.
Siri ya Nne
Unakumbuka Siri ya Kwanza?
.
Nilikwambia Nitakwambia kwanini, kwasababu beginners Wengi wanapoanza wanakuwa Hawana Vifaa.
.
So Kuna Kajini kanakuingia unaanza Kuwa Obsessed na Gear, (Cameras, light,) n.k
.
Kumbe Siri ni Kwamba unatakiwa uanze na ulichonacho...
Na uanze Kutafuta Mbinu za Kuingiza Pesa na ilihali una Kamera Ndogo.
.
Kataa Kabisa Tena Hilo ni Pepo, ukishakuwa Obsessed na Vifaa kuendelea ni Vigumu,
.
Pesa inapoingia inakupa ujasiri wa kufanikisha Malengo Yako makubwa.
Siri ya Tano.
Hii ni Siri ambayo Mentor mengi hawezi kwambia
.
Kumbuka Kwenye Maisha Kuna "Classes"
1.Masikini (Poor People)
2.Watu Wa Hali ya Kati(middle class)
3.Matajiri (Rich People)

Sasa Je? Wewe soko lako la Picha umetarget watu wa aina gani? kati ya hayo makundi matatu...
Subiri Nikupe Strategy inayofanya Kazi 100% alafu Urudi Kwa mentor Wako ukamuulize Kwann hakukufundisha hili.
.
1. Jifunze Photography kama Business

2. Jifunze Kuongea na Wateja

3. Jifunze kupangilia Bei ya Huduma Zako Kwa mfumo Wa (Packages)
4. Usicharge Bei ya Chini Maana Utakuwa Unafanya Kazi na Kundi la Kwanza (Wasumbufu)

5. Itambue Dhamani Yako ( Hii inapendwa Sana na Watu Wa Kundi la 3(matajiri)

6. Heshimu Kazi Yako na Watu wataieshimu (Watu Wa Kundi la Kwanza na la Pili watakukataa) 👈🏾 wanadharau
Ukifuata Hizo Siri na Hiyo Mifumo 6 kati ya 100 Niliyonayo
.
Outomaticaly Utakuwa Unafanya Kazi na Kundi la Tatu (Rich people) na kwa Mbaali Kundi la Pili,
.
Umenielewa? Kama Bado
.
What'sapp Yangu Iko Wazi 24/7. 👇🏽
Hapa ninakupa Direct access ya Chumbani Kwangu na Hii inatoea Mara Chache
.
Link: wa.me/message/O5GMMY…
.
Pia usisahu Ku Retweet Huu Uzi ufike Mbali, ukishindwa Kabisa basi acha LIKE Yako Tu basi.
Pia Huwa ninafundisha Photography Kupitia YouTube channel Yangu, Utaniona nafanya Kazi na Real Client Live Bila Chenga
.
Subscribe

.
Ubaki Salama, #ElimikaWikiendi
#inframe_tz #Back2Back

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with FrancisArt

FrancisArt Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(