Francis Mtei Profile picture
Content Creator → Photographer → Writer → Capturing moments → Telling stories and making videos that inspire - Let's Connect!
Feb 27, 2023 10 tweets 4 min read
Na hiki ndicho kilichotokea kwenye Account yangu,

Mpaka BlueTick Kundolewa...

Kwanza Niwaondoe Shaka watu ambao wame-subscribe

-TWITTER BLUE-

BlueTick zenu ni halali kabisa,

Na 🧵👇🏿 Hakuna atakae Ziondoa Labda Ushindwe Wewe Mwenyewe Kulipia,

Lakini Kabla sijaendelea...

Naomba Follow yako🙏🏾
twitter.com/intent/follow?…

👇🏿
Feb 7, 2023 21 tweets 7 min read
Kuna siri nyingi zimefichwa kwenye soko la biashara ya simu na Laptop...

Hasa kwa wateja ambao ndio wahanga wakubwa,

Leo nitazungumza na wewe ambaye unahitaji kununua laptop, ili usije ukaingia Chaka ukajuta,..

Kama mimi yalivyonikuta miaka kadhaa iliyopita...

🧵👇🏾 Picha imepigwa na Alamy Inasikitisha sana kuwa wafanyabiashara wengi hawana huruma na pesa yako,

wanachojali zaidi ni kuuza biadhaa yao bila kujali wewe unataka nini.

Wengine wanaenda mbali zaidi, wanakuuzia bidhaa mbovu, alafu mwisho wa siku wanakukutaaa

na hata simu zako hawapokei.

Kwa hiyo...
Feb 6, 2023 13 tweets 5 min read
Nina uhakika wauza iPhone wengi watanichukia baada ya kutoboa siri hii,

Kama una mpango wa kununua iPhone Mwaka huu,

Hivi ndivyo utakavyo uziwa iPhone iliyotumika bila wewe kujua...

🧵👇🏾 Picha imepigwa na @george__255 Nafahamu watu wengi wanakusanya pesa zao kwa taabu sana ili kununua walau simu inayoeleweka,

Lakini tofauti na matarajio wanakutana na mikasa mingi,

kama kuuziwa simu zilizotumiaka tayari, Kuuziwa simu zilizofunguliwa bila wao kujua...

Sasa basi...
Feb 5, 2023 5 tweets 3 min read
Kuna mtu kaniuliza vipi kuhusu kulipwa na Twitter, Nimeona @elonmusk kasema..

je, wameshaanza,

Ndio wameshaanza kupokea maombi, maana kwenye Sehemu ya Metization ukibonyeza.

Itaku direct sehemu ya kuomba ili ukubaliwe Kulipwa! Unapotengeneza Content hapa Twitter

Lakini👇🏾... Lazima Uwe ume Subscriber wa Twitter Blue!

Ndio utaweza kuwa unalipwa kama "content creator"...

Kama nimesoma vizuri na kuelewa, kwa mwezi unaweza Lipwa mpaka $396

Ambayo ni sawa na Tsh 934857.79 kwa Exchange rate ya sasa hivi...

Ila sasa 👇🏾
Feb 4, 2023 4 tweets 2 min read
Hii ndio ilikuwa Final Video ambayo nili Deliver kwa Client,

Lakini, niliona nimsaidie kwa kumuonyesha kwa mifano namna ambayo anaweza kutumia,

Video hizi hizi kutengeneza Video zenye chini ya dakika moja, kwaajili ya kuzi-upload wiki nzima or so...

Sikia👇🏾 Video za biashara yako, Moja inaweza isifanye Vyema,

Hiyo hiyo Video, ukiibadilisha Nyimbo na style kidogo tu,

Inaweza Pata engagement ya kufa mtu!

Hii ni iko Proven kabisa,

Mifano, Press Play
Feb 4, 2023 7 tweets 2 min read
⁃Photography sio kazi,

⁃Photography ina Competition kubwa

⁃Unapoteza Muda wako Tafuta Kazi ya kufanya

⁃Photography ni kazi ya watu wasiosoma.

Sikia nikwambie,
👇🏾 Kama una plan za kuanza Photography 2023…

Lazima utasikia hayo maneno hapo juu hasa kwa Watu wako wa Karibu

Lakini…

Good News ni kwamba…

Wewe ndio Dereva wa maisha yako…
May 14, 2022 21 tweets 5 min read
⚡Kuna Kipindi Nilidhani 150K ni Nying Sana Kumcharge Mteja Kwa Picha 10,

✅Hizi ni Siri 5 Ambazo Mentor Wako Hataki ujue 99%
.
#Uzi 👇🏽 ⚡Ni Miaka 8 Imepita Sasa Tangia Nianze shika Kamera Kwa Mara Ya Kwanza,
.
Along the way nimejifunza Vitu Vingi Sana...
.
Ambavyo Leo Nataka nikumegee Kidogo, Ili ujue Siri ya Mtungi.