Uncle G Profile picture
Jul 22 β€’ 4 tweets β€’ 1 min read
MASTORY YA CHUO

#UZI πŸ‘‡πŸ˜Š

Kuna majamaa pindi tupo chuo wakawekewa incomplete na Dr mmoja kwenye HS 300 pale UDOM COED wakati test walifanya.

Kesho DR alipokuja pindi wakamfuata akawaambia ,njooni asbhi ofsini Kwangu niwawekee marks

Asbhi hao wakaenda ,wamefika wakakuta
Mlango umefungwa....wamekaa kama nusu saa hawamuoni mzee,acha waanze kum discuss huku wakimtukana.

Huyu mzee ni Msenge Sana, yani ofsi anafungua Saa ngapi sasa heee ? Babu msenge huyu,wote wakakubaliana hivyo😁

Baada kama ya dkk 15 mlango ukafunguliwa kwa ndani
Mzee anafanya kushangaa,aaaaaah kumbe mshafika vijana wangu ,Wakaitikia ndio DR😊

Alikuwa na karatasi, akawaambia sasa andikeni majina yenu , registration no, na marks...Mniletee hiyo karatasi!

Chapu chapu wakaandika walikuwa 10, baada ya kumaliza wakagonga mlango
Mzee akatoka, wakampa ile karatasi ! akauliza wote mmeandika ? Ndio wakajibu.πŸ‘

Mzee akawaambia "SASA TUTAONA NANI MSENGE KATI YANGU NA NYIE akazama ndaniπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Guess what happened 🀣🀣🀣

β€’ β€’ β€’

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
γ€€

Keep Current with Uncle G

Uncle G Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(