Uncle G Profile picture
A Jack Of All Trades : Join 1XBET here👉https://t.co/t1avoRZTWF :Promo code : WEKEZA . PLAY & PRAY🙏
Jul 22, 2022 4 tweets 1 min read
MASTORY YA CHUO

#UZI 👇😊

Kuna majamaa pindi tupo chuo wakawekewa incomplete na Dr mmoja kwenye HS 300 pale UDOM COED wakati test walifanya.

Kesho DR alipokuja pindi wakamfuata akawaambia ,njooni asbhi ofsini Kwangu niwawekee marks

Asbhi hao wakaenda ,wamefika wakakuta Mlango umefungwa....wamekaa kama nusu saa hawamuoni mzee,acha waanze kum discuss huku wakimtukana.

Huyu mzee ni Msenge Sana, yani ofsi anafungua Saa ngapi sasa heee ? Babu msenge huyu,wote wakakubaliana hivyo😁

Baada kama ya dkk 15 mlango ukafunguliwa kwa ndani