Forex Traders wengi sana wanafanya makosa kwenye Trading bila kujua kuwa wanafanya makosa.

Sikiliza.

Kama hautengenezi pesa kwenye Fx Trading huenda unafanya moja kati ya haya makosa 8 au yote kwa pamoja.

Retweet huu Uzi, ndani ya sekunde 1 utanielewa vizuri.

Go👇

-Thread-
1. Over leverage.

Leverage ni namna broker wako anakuwezesha ili upeleke orders zako sokoni.

Is just like kukukopesha kiasi fulani Cha pesa ili uweze ku execute big deal.

Nilishaa fafanua hii term kwenye Uzi wangu.

So hii leverage Trader wengi hawajui kuitumia vizuri, Image
But ina faida na hasara zake.

Leverage ikiwa kubwa Sana itakusababishia matatizo makubwa zaidi.

Hii nikama vile kujitiwsha uzito ambao huwezi kuubeba, hautofika nao mbali.

Nikikumbukua nilikua na trade na leverage ya 1:2000, huwa na Cheka mwenyewe.🤣🤣
2. Kukosa mtaji wakutosha.

Ili ni kosa kubwa, kuingia kwenye hii biashara bila mtaji wakutosha.

Kwa mtaji mdogo huwezi kushindana na sharks sokoni, watakumeza tu.

Kwenye Fx trading, samaki wakubwa ndio humeza samaki wadogo.

Uta trade kwa hofu kubwa, then utachoma jasho lako. Image
3.Kufanya trading bila kuwa na mpango.

Kwenye biashara yeyote ile mpango biashara ni lazima.

"If you don't have trading plan your out of business"

Chora game plan yako, trader wengi wanaendeshwa na soko, endeshwa na plan yako.

La sivyo soko litakuendeaha kama gari bovu.
4. Kurukia kila strategy.

Miaka mitatu mfululizo nimefanya hili kosa, nilikua narukukia kila strategy ninayoiona kwenye social media, hasa Instagram 😭

Mara ICHIMOKU, MMC, MMM, ICT, PRICE ACTION.

nilimeza indicators zote.

Guess what? Nilikichoma account kama Sina akili nzuri. Image
Strategy zote zinafanyakazi vizuri kabisa ila ukianza kuchanganya mafaili broh, basii kuishinei habari yako.

Hili ni tatizo kubwa Sana, nimeandika Uzi wa namna ya kusolve hili tatizo.

Hakikisha umeni follow @sundey_fx

Retweet huu Uzi leo nitakuleta Uzi hara iwezekanavyo.
5. Kuchukua risk kubwa sana.

Niliwahi kuandika tweet nikasema hivi,

"trader's wengi hawana passion na trading wanahitaji pesa tu"

Hichi ndichonilikua namaanisha,

Kwa kutaka pesa za haraka ndio kunafanya trader's kujilipua na mi lot size mikubwa. Image
Ili ni kosa kubwa na wengi hawajui mpaka pale wanapochoma account ndio anakuja kustuka kuwa risk alizokua anachukua haziendani na capital yake.

Hapa nazungumzia risk kama👇

-big Position size
- No Risk rewards
- No/wide Stop Loss
-N.k
6. Kuto kuliangalia soko katika picha kubwa.

Kwa sababu wewe ni scalper, una trade mwenye minutes TF 1M, 5M, 15M haimanishi upuzee Time Frame kubwa kama H4, D1, W1.

So trader wengi Wana focus kutafuta setup tu, Hawa zoom soko kwa angle kubwa.

TF zote Zina tegemeana Sana.
7. Kuingia sokoni bila kufuata muelekeo wasoko.

Trading against the trend.

Believe it or not!

Trader's wengi wamekariri huu msemo👇

"Trend is your friend"

Lakini kwa ground ni tofauti kabisa, wengi hawafuati huu msemo.

Kutokufanya hiv ni kugombana nasoko, soko litakuliza. Image
8. Traders kuwa na mambo mengi.

My friend! Fx trading yenyewe tu ni complicated.

Imagine! na wewe tena unaifanya kuwa multcomplicated.

Nimefanya training+mentorship trader 100+ nawaambiga kabisa

Mimi nitakusaidia kufanya trading iwe simple kwa kuwa yenyewe kwanza ni ngumu. Image
Jitahidi kurahisisha mambo.

Successful trader's wote, Wana vitu common kabisa,👇

"trading simplicity"

-Chart safi
-Pairs2-5
-Risk rule's
-Trading plan
-Strategy moja
-Indicator moja

Tuombeane uzima next #thread itakua ni

"Kwa nini trader's wanaona trading kama mwiba"
Huu ni Uzi No.1 nimeeleza makoso 8 Trader's wanafanya bila kujua kua nimakosa.

Pia Kuna Uzi No.2 nimeeleza solutions ya haya makosa viruzi kabisa.

Here's is the DEAL!

Huu Uzi ukipa retweet 50 tu naachia Uzi No2 kesho.

Kama huja retweet, basi Rudi juu then retweet,

#WAGMI 💪

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with 𝐒𝐔𝐍𝐃𝐄𝐘 𝐕𝐈𝐂𝐓𝐎𝐑🇹🇿

𝐒𝐔𝐍𝐃𝐄𝐘 𝐕𝐈𝐂𝐓𝐎𝐑🇹🇿 Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @sundey_fx

Jun 19
"Learn to play a Defense game.

A good forex traders is one who play a Defense"

Hii ni master mind statement niliambiwa na mentor wangu 2020 kipindi hicho na struggle na consistency.

Baada ya hii statement akaanza kunipika kwa madini, ambayo Leo na share hapa.

>>>🧵<<<
Hii statement huwa naifanisha na football team.

team nzuri ni ile inayo jua ku defense na kushambulia at the same time.

Fikiria team Kama Liverpool au Manchester City, hizi team ni Bora Sana kwenye ku defense na kushambulia.

Kabla team haijafikiria kushambulia kwanza lazima👇
Defense iwe ime kamilika.

The same kwenye Trading, kabla ya kufikiria unapataje profits lazima ujue unalindaje mtaji wako.

"A good trader is One who play a Defense game"

Yes! ili uweze kufanikiwa kwenye trading industry, hakuna shaka lazima ucheze defensive game.
Read 14 tweets
Mar 14
Candlestick patterns 13 unazopaswa Kuzijua nje ndani.

Candlestick ndio msingi kamili unautumiwa na Price Action trader,

Kama unataka kuijua price Action trading strategy huna budi kusoma huu Uzi Sasa hivi

Plz RT this, iende kwenye TL yako For yr future reference.

>>>UZI🧵<<<
99% ya Fx trader duniani wanatumia candlestick kusoma price movement,

that why kwenye training zangu na mentorship na sisitizia Sana somo la candlestick + candlestick patterns, chart patterns.

As a trader I hope yuo understand everything about candlestick. Now let to deep down
Kama unataka kuwa Pro Fx trader you better Master candlestick patterns.

Price action is king but candlestick patterns are the Queen.

Leo nataka nikujuze namna ya kuzitumia candlestick patterns.

Ndani ya dakika 3 tu, you will be able to read and apply candlestick patterns.
Read 25 tweets
Dec 9, 2021
JENGA TABIA HIZI 10 KABLA 2021 HAIJAISHA.

Jonathan Harnisch, aliwahi kusema

"The strongest people are not those who show strength in front of us, but those who win battle we know nothing about"

Watu wengi unaona wamefanikiwa jua kuna vita wanapigana hatuijua kabisa

=Uzi=🧵
Hizi hapa tabia 10, shuka nazo👇👇 please Retweet tujifunze wote

1/10 ✨Soma sana/ Reading

Miaka 10 ijayo itakuwa mizuri sana kwako ukiwa utalisha ubongo wako vyema

Kama unataka kufanikiwa jifunze kutoka kwa watu waliofanikiwa

Kusoma vitabu ndio njia sahii kujenga maarifa
Hivi hapa vitabu unavyotakiwa kusoma:

1. Rework.
2. Deep Work.
3. Eat That Frog.
4. Atomic Habits.
5. Tools Of Titans.
6. 4 Hour Work Week.
7. The Power of Habit.
8. Thinking Fast and Slow.
9. The Subtle Art Of Not Giving A Fuck.
10. How To Win Friends And Influence People.
Read 15 tweets
Dec 6, 2021
Moja ya swali naulizwa sana DM,

JE NAWEZA KUANZA KUJIFUNZA FOREX TRADING PASI NA MTAJI?
SINA MTAJI WAKUTOSHA?

Sasa nadhani ni wakati wakujibu hili swali Public sasa.

soma uzi mpka mwhisho👇

Come on brother and Sister, mimi wengi huwa nawajibu kwa mifano tu

=Thread= 🧵 ImageImage
Embu tuwaulize hawa👇 wakati wanaanza kujifunza skills walizo nazo walikuwa na mtaji kiasi gani?

1. Trading @Sirjeff_D
@Kapteiny_eric @lissaFx_V75 @sundey_fx
2. Copywriting @NyandaAmosi @GetrudeMligo
3. Digital Marketing @GillsaInt @LeyAllyie
4. Creativity @CarolNdosi
5. Freelencing @mafolebaraka
6. Web & Graphic design @falex3232
7. Bloging @ally_eh
8. Tech @Afruturist @GIVENALITY
9. @
10. Affiliate marketing @Raphahustler
Read 22 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(