🦅KINACHOTOKEA WAKATI WA KU BOFYA NA KUSAMBAZA LINK ILI KUPATA ZAWADI📚
Kuna links nyingi sana ambazo hua watu wanaambiwa ku share na watu labda 10 au kwenye baadhi ya ma group ya WhatsApp ili kujishindia zawadi au kupata udhamini wa kusoma nje ya nchi
Links hua zipo nyingi sana kuna zingine ni kujishindia simu flani mpya iliyotoka wakati huo,gari ya thamani,kwenda kutizama mechi ulaya live,au kampeni zingine ni kuataka kutabiri namna mtoto wako atakavyokua ama zingine kutabiri utakua tajiri kiasi gani moja kati ya kitu ambacho
Hua kinafanyika nyuma ya pazia ni kutekwa nyala(enslavement )kwa kifaa chako cha ki electronic kinachotumika kusambaza link hio inaweza kua ni pc,smartphone,ipads ama tablet na aina hii ya utekaji nyala wa mtandaoni tunaita Distributed denial of service attack(DDOS)
Lengo la hawa ma intruder kufanya attacks kama hizi hua ni kwaajili ya kupata enslaved electronic devices nyingi sana ili ziweze kutumika kama bots 🤖 ku run kampeni tofauti tofauti mtandaoni na hua wanalipwa pia kwaajili ya kutimiza lengo flani mtandaoni
Mfano #Elimikawikiendi
🤔kutengeneza traffics kwenye website flani na kuwafanya watumiaji wa hio website wasiweze kuitumia kwa muda huo
🤔ku view videos youtube ili kuongeza namba za viewers
🤔ku follow mtu kwenye social networks ili kumwongezea followers
🤔kutengeneza maandamano mtandaoni
Kwa ku post kitu kile kile kila wakati au bots kua programmed ku reply pale unapo type keywords flani mfano @pikaso_me screenshot this 😀😀😀
Jamaa ambao wameteka nyala simu yako wanaingiza pesa nyingi sana kupitia MB zako 😀😀 namna ya kujua kama simu yako imetekwa
Hiki ndo kinachofanyika mpaka simu yako inatekwa nyala,kunakua kuna Main attacker ambaye ndio ana fanya coding kwa lengo la ku enslave simu nyingi za watu na anafikiria tu ni kitu gani ambacho kitaenda viral mfano kuna kipindi hua tunatumiana heri ya Christmas 🎄 na New year
Kupitia link 🤔 kwenye hio link anakua ame embed na kitu kinaitwa DDOS tool kwa kila mtu atakaye click hio link au ata tembelea hio site hii ddos tool itakua installed kwenye simu yako pasipo uhitaji wa wewe kui ruhusu,na baada ya ku install inakua ina run
Commands zote kutoka kwa Admin mfano admin aki run commands za kwenda ku view videos za military stories kutoka kwa @view_lets basi ni kila simu ambayo ipo enslaved ni itaenda ku timiza hio command ,sasa imagine kwenyi cycle yako ni watu wangapi wame click na ku share hio
Link ya happy new year 🎆 na Christmas 🎅?nchi ngapi ?duniani ? Kwaio you can see how hawa wahuni wanakua na billions of 🤖 bots around the globe na ndio maana kwa watu ambao hua wananunua viewers akijaribu kuangalia viewers mara nyingi wanakua ni wa nchi tofauti tofauti
🦅VITU VYA KUFANYA ILI KUOKOA MATUMIZI YA BANDO KWENYE SIMU!
📚📚📚
Kuisha haraka kwa internet Bundles imekuwa ni malalamiko ya wengi, lakini pia unaweza kufanya settings kadhaa kwenye simu yako kuokoa bundle kuisha haraka
Twende pamoja hapa chini 👇
na kila muda kama ziko on zinakua zinatumia data na
battery pia kufanya updates kati ya simu yako na server,namna ya kuzima nenda settings >accounts then Zima syncing ya apps ambazo muda mwingi hua huzitumii kama inavyoonekana hapo juu
🦅UMEWAHI KUJIULIZA NAMNA AMBAVYO FAST CHARGERS HUFANYA KAZI ?
📚📚📚
Hivi umewahi kujiuliza kwanini ukiwa unatumi fast charger ina charge simu kutoka 0%-80% kwa speed sana 🥺 then baada ya hapo inakua tu na speed ya kinyonga ?
Sio kila charger ni fast charger ,na sio kila smartphone ina support fast charging pia kuna simu zingine inaweza ikawa ina support fast charging lakini kufanya kazi ni mpaka option ya fast charging ui turn on
Kikawaida Fast chargers hua na uwezo mkubwa wa kuchaji simu yako kwa haraka zaidi kuliko charger za kawaida ambazo nyingi uwezo wake ni 4W,5W wakati huo pia fast chargers nyingi hua na watt 12,18,20,25,160
🦅ZIJUE SECRET CODES ZINAZO SAIDIA KUTAMBUA KAMA SIMU NI FAKE AU LAA!
USSD codes-uninstructured supplementary service data(ussd) ni code za siri ambazo unaweza kuzitumia kugundua baadhi ya features ambazo zimefichwa kwenye simu,na mara nyingi simu ambazo sio genuine hua
zinakataa baadhi ya codes,codes hizi ni kwaajili ya watumiaji wa vifaa vyenye operating system ya android tu
1.*#*#7780#*#*
Hii ni kwaajili ya kufanya factory reset ,kufuta apps zote na accounts zote kwenye simu na kuirudisha simu kama mpya ulipokua unaitoa kwenye box
2.*#06#
Hii hua ni kwaajili ya kucheki IMEI namba ya device yako na hakikisha imei namba itakayotokea ipo sawa na imei namba ya kwenye box
🦅VITU 6 VYA KUZINGATIA KABLA HUJANUNUA SIMU USED
⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️
Simu used huwavutia watu wengi sana,kutokana na bei zake kua cheap na kuwa na uwezo ule ule kama simu tu mpya!
Kabla hujafanya maamuzi ya kununua simu yeyote used zingatia haya 👇👇
1.Epuka simu za wizi
Polisi kuna kesi nyingi sana za wizi wa simu,na asilimia kubwa ya watu wanaokamatwa sio walio iba ila wameuziwa simu za wizi, kuepuka hili hakikisha anaye kuuzia anakupatia risiti aliyonunulia au boksi la simu lenye IMEI namba za hio simu
Kama hana vyote nendeni mkaandikishane serikalini kuuziana simu
🦅UMEIBIWA SIMU NA HUKUMBUKI IMEI NUMBER UFANYE NINI:
⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡
inaweza kutokea ukapoteza simu yako na ukawa hukumbuki IMEI number yako ,either risiti au boksi navyo umepoteza,ukiwa na IMEI number itawasaidia polisi kuweza kujua ni laini ipi imewekwa kwenye simu yako uliyo
Ibiwa ,namna ya kufanya ili uipate imei namba yako
1.hakikisha unakumbuka gmail yako na password yake ,download apllication inaitwa find device kutoka play store,baada ya ku install kwenye simu nyingine inatakiwa u sign in kama guest kwenye hio simu nyingine
Baada ya ku sign in itakuletea jina la simu yako na location ilipo na mara ya mwisho kuonekana online ,pia itakupa list ya vifaa ambavyo vimewahi au vinatumia gmail account yako
🦅DALILI ZA CAMERA AMBAYO NI NON GENUINE(sio original)
⚡️⚡️
Kabla hujafanya maamuzi yeyote yanayohusiana na simu ,fanya kupitia page yetu hapa itakusanua na mambo mengi sana ambayo ulikua hujui
Namna ya kucheki camera ya iphone yako kama ni original au laa
Au mfano ulikua umevunja camera yako kwa bahati mbaya na ukaenda kwa fundi kubadilisha camera 📷
Dalili muhimu za camera ambayo sio original
-camera hai focus vizuri picha haziko sharp
-unapokua unatumia portrait mode subject inakua haipo in focus au inakua focused nusunusu
-app yeyote inayotumia camera kwenye simu yako unapoifungua ina quit unexpectedly
-baada ya kupiga picha ukizifungua zinaonekana black au blank
Hakikisha simu yako unaipandisha moaka ios ya 15.2 na kuendelea hii inatusaidia kutambia vifaa vingi sana kama vimebadilishwa