The ChandO Profile picture
Sep 22 20 tweets 5 min read
Uzi : MASWALI KUMI( 10 ) INABIDI UYAJUE KABLA HUJAINGIA KWENYE CHUMBA CHA INTERVIEW...😐

Kwa wale wanaotegemea kufanya usaili wa kazi Leo katika Taasisi na Makampuni mbalimbali, Hakikisha haya maswali una uelewa nayo, haya ndiyo yanakupa asilimia nyingi za kupata kazi; Twende👇 ImageImage
1. ●Tell me about yourself...!?

Hapa sisi hatutaki kujua kuhusu umezaliwa wapi na lini, umesomea nini na kuhusu maisha yako, Hapa waajiri wanataka kujua sifa ulizonazo ukihusianisha na nafasi unayoomba, yaani hapa stick kwenye Skills, Experience, Achievements, Performance na
ueleze kwanini unafikiri utaleta mabadiliko.

2. ●Why do you want to work for us...!?

Hapa hawataki kujua kuhusu ubora wa kampuni/taasisi yao kwani wao wanaujua, hapa wanataka uoneshe ni jinsi gani unafikiri taaluma, na sifa ulizoeleza kwenye moja hapo juu zitaisaidia...👇
kampuni yao, ila pia uoneshe kwa nini unafikiri hayo utayoleta yatakunufaisha wewe pia

3. ●What are your strengths and weakness..!?

Hili ni swali la kinyume, kweye strengths zungumzia mengi uliyofanya na yakaleta mabadliko huko unakotoka, na weakness ueleze labda kwa nini..👇
ulifanya maamuzi magumu ya binafsi ambayo wengi hawakuelewa mpaka matokeo chanya na wakajifunza. Usielezee udhaifu ambao ni negative.

4. ●Give an example of where you were able to use leadership skills...!?

Hapa wanataka kusikia kwa nini na wapi unaweza kuchukua maamuzi...👇
magumu katika mazingira yasio rafiki

kuongoza watu ambao hata kama hukuwa kiongozi ulikuwa unashika wengine mkono.

Talk of not being a boss and not a leader, ukielezea matukio kadhaa ya viongozi

mfano: nilisaidia kubadilisha mfumo wa malipo unaiopa hasara kampuni na...👇
tukaokoa....

Au niliongoza wenzangu kufanya kazi kwa wakati, kuokoa muda na kuzuia overtimes zisizo lazima kwa kampuni, nilishiriki kuandaa mpango kazi uliopongezwa sana na kiongozi wangu kuhusu...

5. ●Where do you see yourself in five years..!?

Kwenye ajira miaka mitano ni👇
mid term plan,

hapa lazima uwaoneshe namna unavyoweza kushawishi viongozi wa taasisi hiyo hiyo ili uwe kwenye key decision makers ndani ya muda huo,

hapa elezea utafanya nini in terms of strategies ukiunga na skills zako za kazi husika ili kuonesha management ikuamini kwa...👇
majukumu makubwa zaidi, hapa usioneshe kuwa unataka ukuze experience na kuwakimbia.

Ukiwa smart Kuna muda unaweza kubadilishiwa role hapo hapo kwenye interview kwa kupewa nafasi kubwa zaidi.

6. ●What is your greatest achievement...!?

Hapa wanataka kusikia zile tu...👇
zinazoshabihiana na kazi unayoomba, uwe makini sana waeleze uliwahi kufanya nini na usiishie tu hapo waeleze kuwa kwa haya nimeangalia structure/kazi ninayoomba itakuwa zinaleta impact ya moja kwa moja bila kupoteza muda.

7. ●Why should we hire you...!?

Hapa elezea mambo...👇
yanayohusiana na kazi unayoenda kufanya,

onyesha unafikiri wapi kutakuwa na gap la kiutendaji na jinsi wewe unaweza kuziba hiyo gap?

Usijifie kuwa wewe ni bora or so hapa wanataka kuona kama unajua taasisi yao angalau kdg, hivyo katika hili soma sana kuihusu hiyo taasisi kabla
hujaenda kwenye usaili.

8. ●Are you a good team player...!?

Hapa wanajua jibu ni Yes, ila wanataka kusikia how it is Yes,

waeleze zile skills zako na kama kuna ushahidi wa huko nyuma tumia We badala ya I, yaana elezea mlifanya nini na kwa nini unafikiri hata ukiikuta team👇
iliyokatika itasaidia kuiunganisha kupitia skills zako za mawasiliano, coaching, listening more, bealiver of open door policy, collective efforts etc.

9. ●What are your salary expectations...!?

Swali la mtego, hapa lazima uoneshe kwanza unajua mshahara wao, ila pia ujue...👇
mshahara wa soko kwa kazi unayoomba na kisha usiende mbali sana au chini ya mshahara wao, yote yana madhara, ila ukiwa na sifa nzuri wao wanakuwa flexible kwa negotiation.

Katika hili jitahidi sana kusema kwa nini unafikiri mshahara sio kigezo kikubwa cha wewe kufanya nao...👇
kazi ila pia onesha majukumu yako kwanini yanafaa kulipwa vizuri, wakisema figure basi weka figure ambayo itawalazimisha kukuajiri na sio kukuacha, yaani iwe kwenye ile ambayo utakaa ukijilaumu keshokutwa.

Ila pia itegemee na kazi kuna kazi hazina negotiations @ChandoMaterials
10. ●Do you have any question...!?

Usiende bila swali, na maswali yawe ya msingi hapa ujiandae kuijua kampuni na kisha uwe unauliza maswali yanayoihusu taasisi mfano:

Nimeona performance yenu mwaka jana mlipata.... Hii ni chini ya soko ambalo lilikuwa na wastani wa....
Je kuna mipango yoyote ya kulinda au kufanya bora zaidi?

Je, what are long term plans za taasisi na mnafikiri wapi naweza kusaidia kama sehemu yangu ya kujiandaa kua nanyi?

Na maswali ya hivi yana yale yanaonesha kuwa wewe unaelewa unachofanya na sio unaenda pale kupoteza..👇
muda na kulipwa.

HITIMISHO:
The list above and response are not exhaustive unaweza kuongeza au kupunguza chochote, ila ukifuatilia hata haya machahe yatakusaidia siku yoyote huko mbeleni. Sisi wengine tunaendelea na @ChandoMaterials

ALL THE BEST, SEE YOU AT THE TOP.

#copied
Zingatia:😶

Nimecopy huu Uzi kwenye magroup ya whatsapp simfahamu aliyeandika maana wamekata Jina lake.

Ningemfahamu ningemtag maana ni Ujumbe mzuri ambao utanisadia na naamini utawasadia watu wengine.

MUNGU AKUBARIKI WEWE ULIYEANDAA...🙏

Siku Njema pia nakuomba tembelea...👇
Pia Kwa madini unaweza tembelea Status za #The_ChandO Kupitia link hii 👉wa.me/+255762305991

Tufollow @SadickTusia 🇹🇿

~Kwa contents za kingereza tembelea @lissaMasinde 👇
~Kwa Ununuaji wa Vitu Used tembelea @ChandoMaterials

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with The ChandO

The ChandO Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @SadickTusia

Aug 22
Uzi : Je! WAJUA...🙄

Kitendo cha nyoka Kujivua Magamba kitaalam kinaitwa Sloughing.

Zipo sababu kuu mbili ambazo zinapelekea Kufanya hivyo.

Sababu ya kwanza ni kuruhusu Ukuaji wa mwili wake lazima atoe ngozi yake ya zamani ili kuruhusu ukuaji Wake.

Endelea...👇 ImageImage
Sababu ya pili,

hii hufanywa na nyoka majike tu wanapokua kwenye estrus yaani Wanapokua tayari kuzaliana,

ili jike ampe taarifa dume kuwa yupo tayari kwa kukutana basi hujivua magamba ili kuruhusu kuachiwa kwa harufu fulani ya wali.

Ndiyo maana kuna...👇
sehem ukipita hasa maeneo yenye vichaka unaweza Kuipata hii harufu ya wali,

hapo utamsikia mbongo akisema "majini Wanapika Wali sehemu hii tuondoke haraka sana 😄😄" kumbe nyoka nyupo kwenye harakati za kumvuitia baby wake 🥰

Basi tambua kuwa hiyo harufu...👇
Read 5 tweets
Jul 30
Uzi : SMS "3" KALI ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI WAKO ULIYEMUACHA AU MLIYEGOMBANA...☠

1.💕Ni kweli nakiri ndani ya nafsi yangu kwamba nilikukosea mpenzi wangu, naomba unisamehe na unipe nafasi nyingine katika moyo wako mpenzi wangu. Nakupenda sana,

Endelea Sasa fundi...😁👇 ImageImage
2.💞Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako, Röhö håinå furaha sababü ya ükimyä wåkö, näfsi håinå raha kükösä såuti yako,möyöni näsonönekä kükösä penzi läkö,håkikå naumia sana,

Najua nimekukosea baby, lakini fahamu kwamba

haikuwa nia...👇
Yangu kukupotezea furaha yako, nipe
nafasi nyingine moyoni mwako!

Nipe nafasi nyingine maishani mwako!
Nisamehe mpenzi wangu!

3.💕Kila ninapokukumbuka machozi yanidondoka,

naomba unisamehe, nakupenda sana dear na ni kweli kuna wakati nilikukosea, lakini amini nakupenda.
Read 6 tweets
Jul 22
Uzi : AINA saba( 7 ) ZA WANAWAKE WENYE UPUNGUFU WA AKILI.🦍

1️⃣. MWANAMKE Anaevaa nguo fupi(mini- skirt) halafu akikaa mahali anahangaika kujiziba magoti yake kwa mikono au kitambaa chake cha mkononi.😶

Re-tweet kwanza na endelea tuelimike wote ndugu yangu...👇
2️⃣. MWANAMKE Anaetoa mimba kisha analala na midoli kwenye kitanda chake, Ana upungufu wa AKILI.😶
3️⃣. MWANAMKE Anaetembea na mume wa mwanamke mwenzie miaka nenda rudi, na kuwakataa wanaume wanaomchumbia wenye nia ya kumuoa. Huyu nae ana upungufu wa AKILI.😶
Read 9 tweets
Apr 29
Uzi : JUMBE MAKINI ISHIRINI NA MOJA( 21 ) ZA MKUMBUSHE MWANAO NINAZO ZIKUBALI, PIA MWISHO Unipe YAKO UNAYOIKUBALI TWENDE...😷

1. ~Mkumbushe mwanao kuwa WIVU utamfanya amchukie Mtu ambaye alipaswa ajifunze kutoka kwake...🦍

Re - Tweet na endelea ili upate kuniambia yako...👇
2. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Msaada sio Haki yake asipopewa Asinung'unike atafute Chake...🦍
3. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Tumeona mazuri kwa watu waliokuwa wakiitwa wabaya na Tumeona mabaya kwa watu waliokuwa wakiitwa wazuri kwahiyo Aishi na kila mtu kwa akili...🦍
Read 25 tweets
Apr 12
Uzi : NAMNA YA KUWAFUNDISHA NIDHAMU WATOTO au KIJANA WAKO🙄

Mzazi au mlezi zingatia haya yatakusaidia katika kuwalea wanao...👇

1️⃣ Unapoingia nyumbani wasalimie watoto wako au hata kuwakumbatia. Hii inapaswa kusaidia kukuza hisia zao za upendo na kujithamini.

Shuka Nayo...👇
2️⃣Kuwa mwema kwa majirani zako na usiwahi kuwasengenya. Kamwe usiseme vibaya juu ya madereva wengine ukiwa barabarani. Watoto wako wanaweza kusikiliza, kuhifadhi ndani yao na kuiga.
3️⃣Unapowapigia simu wazazi wako, watie moyo, wapatie simu watoto wako wazungumze nao. Unapowatembelea wazazi wako chukua watoto wako pamoja nawe. Kadiri wanavyokuona unawajali wazazi wako ndivyo wanavyojifunza kukutunza.
Read 18 tweets
Apr 10
Uzi : JINSI YA KUFANIKIWA KWENYE NYAKATI NGUMU😔

" FIKIRIA KUSHINDA 💪 "

Miaka kazaa iliyopita kuna kijana maarufu alikuwa akifuga kundi kubwa la Farasi karibu na ziwa,

Kundi lake la Farasi huwa kila baada ya kupata chakula wanatabia wa kwenda kunywa maji kwenye hilo...👇 ImageImage
ziwa lililopo karibu na makazi yao,

Siku moja baada ya kundi kubwa la Farasi kupata chakula na kwenda kunywa maji ziwani,

Miongoni mwa Farasi baada ya kumaliza kunywa maji alipo jaribu kutoka akashindwa kabisa kwasababu alinasa kwenye tope,

Farasi wengine waiobaki walipo..👇
rejea nyumbani mwenyewe kundi la Farasi akagundua Farasi mmoja hayupo,

Kulipo kucha asubuhi akaanza kumtafuta kwanzia sehemu wanapo pata chakula mpaka akafika ziwani sehemu wanapo kunywa maji baada ya kupata chakula,

Huko akamkuta huyo Farasi yuko kwenye tope akiwa...👇
Read 13 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(