The ChandO Profile picture
Sep 26 23 tweets 6 min read
Uzi : KWANINI WANAUME HAWAPENDI KUOA WANAWAKE WASOMI...!? HIZI NDIO SABABU...😶

Na #The_ChandO mwalimu wa jamii...👋

Takwimu zinaonesha Wakala wa usajili, ufilisi na udhamini, kwa mwaka anapokea maombi ya talaka yasiyopungua 500+ Tanzania nzima.

Kilichonishangaza ni kwamba..👇
asilimia 78% ya Ndoa zinazovunjika ni wanawake ndio wanaoomba talaka na kupeleka maombi hayo.

Kilichonishangaza na Kunimaliza zaidi ni kwamba asilimia 89% ya wanawake wanaoomba talaka ni WANAWAKE WASOMI (Intellectual Women)

Swali; Wanawake wasomi wana SHIDA GANI, kwanini...👇
kwao talaka ziwe nyingi, kwanini wengi wanasumbuka na mahusiano na kwanini wengi ni single mothers?

Honestly kuna kitu hakiko sawa kwa hawa Intellectual women, kwa takwimu hizi tunaweza kusema elimu zimewaharibu badala ya kuwatengeneza wawe wake bora.

Ndio, haiwezekani...👇
asilimia 89% ya maombi ya talaka yakaliwe na wao pekeao, ina maana elimu zao zinawaambia kwamba solution pekee ni talaka, nawaza sana yani🤔

Ngoja niropoke; wanawake wengi wasomi wana kakiburi ka maarifa kanaitwa "INTELLECTUAL ARROGANCE"

Haka kakiburi kanawaambia hivi...👇
"wewe ni msomi, una akili, unajiweza na mwanaume hatakiwi kukusumbua kwa lolote lile"

Haka kakiburi kamewafanya wengi washindwe kuwa wanyenyekevu kwa sababu wanajiona ni classy and high, inafika hatua wanaanza kuvimba.

Wengi walifanikiwa sana kielimu kiasi cha kupata fedha,
vyeo na status katika jamii vichwa vikaelemewa sifa na kujiona wanajua na kuweza kila kitu.

Pengine ofisini kwao yeye ndo Managing Director na ana watu wengi wakiume wako chini yake kikazi, anataka na mumewe awe chini yake pia.

Elimu yake, cheo na fedha vinamwambia...👇
"Unastahili kunyenyekewa na sio kunyenyekea na unaweza kila kitu" wengi hapa ndipo wanapofeli sasa na kuleta mabalaa.

Pengine walipokuwa wanasoma waliambiwa maneno kama "Soma sana, tafuta fedha zako ili mwanaume asikusumbue kwa lolote lile" (hii ndo shida kubwa)

Kwahiyo...👇
wengi kuanzia hapo wakawa wanatembea na competetive mentality (fikra za kishindani) na muda wote wapo kinyume na jinsia ya kiume.

Kinachotokea, wakiolewa wanafanya mambo kama washindani (competetors) kwa wanaume wao na sio wapambanaji wenza (teammates)

Kitu kingine...👇
kinachowaharibu ni hizi FEMINISTS MOVEMENTS (harakazi zinazodaiwa kumpa nguvu mwanamke na kumkomboa kifikra)

Ukizifuatilia vizuri hizi harakati zinawafanya wanawake wahisi kwamba hata wao wanaweza kuwa kama wanaume since they can pay bills na ada za watoto.

Sikatai, ni kweli👇
kabisa kuna majukumu mwanamke anaweza kuyaperform kama mwanaume lakini haitatokea hata siku moja akawa kichwa cha familia.

Elimu walizopata wengi wao zimewasababishia kakitu kanaitwa "Control Freak Disorder" (unajua ni kanini haka, soma hapa chini👇)

Ni kale ka akili ka...👇
kumtaka mwanamke amcontrol mwanaume na kumfanya mwanaume aenende vile mwanamke anataka (amuweke chini)

Na hii inatokana na ukweli kwamba wengi wameweza kuongoza kakundi ka watu, wengi wameweza kufanya vitu vikubwa katika academic fields zao.

Kitendo cha kufanikiwa kuongoza...👇
kakundi ka watu kinawafanya hata kwenye ndoa nafasi ya kuongoza ambayo ni ya mwanaume aitake mwanamke, yaani yeye ndo awe kichwa.

Msuguano unaanzia hapo, mwanaume yeyote yule anataka yeye ndo awe top, ikitokea mwanamke akataka kumshusha mwanaume ili mwanamke awe top balaa...👇
linaanza.

Fuatilia, wanawake ninaowazungumzia hapa wengi wana kakiburi, wanajiona, na wanaamini kwamba hakuna kitu wanahitaji kutoka kwa wanaume na wanaweza kila kitu pekeao.

Wanaume wengi wanatafuta fedha ili wahudumie familia zao na kuwatimizia mahitaji, ila kwa wanawake...👇
mambo yako kinyume kabisa!

Wengi wanasoma na wanatafuta fedha ili waweze kuthibitisha kwamba wanaweza kufanya kama wanaume, wanaweza kuishi bila wanaume na hawawezi kusumbuliwa kwa lolote.

Ndio maana, kukiibuka kaugomvi kadogo wengi solution inakuwa ni kuachana ili...👇
kuthibitisha kwamba "NINAWEZA KUISHI MWENYEWE NA KAMA NI MTOTO/WATOTO NITALEA COZ NINA FEDHA"

Dear ladies, black brother wenu nawakubali kinoma na nafurahi kuwaona vile mnastrugle kupambania ndoto zenu (hongereni kwa hilo)

Lakini, jitahidi kadri uwezavyo fedha zako, elimu...👇
yako na cheo ulichonacho/utakachopata visikutie Kiburi mbele ya mumeo uliyenae/utakaekuwa nae.

Ni kweli umefanikiwa kielimu, pengine una mshahara mkubwa, au biashara zako zinaenda safi, una cheo/position fulani somewhere lakini WEWE BADO NI MWANAMKE.

Wakati wowote uwapo mke,
mpe nafasi mwanaume awe mume, awe baba, awe kuongozi, awe dereva wa familia huku wewe ukiwa kwake msaidizi.

Hata kama ofisini kwenu una wanaume wengi unaowaongoza na wananyenyekea mbele yako usitake na mumeo akunyenyekee..

Mpe yeye nafasi ya kuwa king, mtii, msikilize na
panapohitajika ushauri mpe ushauri kwa upole huku ukionesha kwamba unamuheshimu na kuamini..

Kwanini wanawake wa sahivi wamesoma lakini hawadumu kwenye ndoa kama mama na bibi zetu walioishia darasa la nne/la saba.

Kadri mwanamke anavyoanda juu kielimu, kuna namna anapoteza
WIFE TRAITS umakini unahitajika sana ndo mana wengi wanabaki single/single mothers.

Fuatilia wanawake woote unaowajua Tanzania ambao wana vyeo vikubwa, wamefanikiwa kibiashara au wapo top kwenye eneo lolote lile.

Wengi utagundua kwamba hawajawahi kuolewa, waliolewa wakaachika,
walizalishwa na wakabaki hapo.

Elimu sio mbaya, fedha sio mbaya..lakini inakuwa mbaya pale inapoanza kumfanya Quuen atake kuwa king, haiwezekani!

@ChandoMaterials Endelea...👇
HITIMISHO:
The list above and response are not exhaustive unaweza kuongeza au kupunguza chochote, ila ukifuatilia hata haya machahe yatakusaidia siku yoyote huko mbeleni. Sisi wengine tunaendelea na @ChandoMaterials

ALL THE BEST, SEE YOU AT THE TOP.

#copied
Zingatia:😶

Nimecopy huu Uzi kwenye magroup ya whatsapp simfahamu aliyeandika maana wamekata Jina lake.

Ningemfahamu ningemtag maana ni Ujumbe mzuri ambao utanisadia na naamini utawasadia watu wengine.

MUNGU AKUBARIKI WEWE ULIYEANDAA...🙏
Pia Kwa madini unaweza tembelea Status za #The_ChandO Kupitia link hii 👉wa.me/+255762305991

Tufollow @SadickTusia 🇹🇿

~Kwa contents za kingereza tembelea @lissaMasinde 👇
~Kwa Ununuaji wa Vitu Used tembelea @ChandoMaterials

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with The ChandO

The ChandO Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @SadickTusia

Sep 22
Uzi : MASWALI KUMI( 10 ) INABIDI UYAJUE KABLA HUJAINGIA KWENYE CHUMBA CHA INTERVIEW...😐

Kwa wale wanaotegemea kufanya usaili wa kazi Leo katika Taasisi na Makampuni mbalimbali, Hakikisha haya maswali una uelewa nayo, haya ndiyo yanakupa asilimia nyingi za kupata kazi; Twende👇 ImageImage
1. ●Tell me about yourself...!?

Hapa sisi hatutaki kujua kuhusu umezaliwa wapi na lini, umesomea nini na kuhusu maisha yako, Hapa waajiri wanataka kujua sifa ulizonazo ukihusianisha na nafasi unayoomba, yaani hapa stick kwenye Skills, Experience, Achievements, Performance na
ueleze kwanini unafikiri utaleta mabadiliko.

2. ●Why do you want to work for us...!?

Hapa hawataki kujua kuhusu ubora wa kampuni/taasisi yao kwani wao wanaujua, hapa wanataka uoneshe ni jinsi gani unafikiri taaluma, na sifa ulizoeleza kwenye moja hapo juu zitaisaidia...👇
Read 20 tweets
Aug 22
Uzi : Je! WAJUA...🙄

Kitendo cha nyoka Kujivua Magamba kitaalam kinaitwa Sloughing.

Zipo sababu kuu mbili ambazo zinapelekea Kufanya hivyo.

Sababu ya kwanza ni kuruhusu Ukuaji wa mwili wake lazima atoe ngozi yake ya zamani ili kuruhusu ukuaji Wake.

Endelea...👇 ImageImage
Sababu ya pili,

hii hufanywa na nyoka majike tu wanapokua kwenye estrus yaani Wanapokua tayari kuzaliana,

ili jike ampe taarifa dume kuwa yupo tayari kwa kukutana basi hujivua magamba ili kuruhusu kuachiwa kwa harufu fulani ya wali.

Ndiyo maana kuna...👇
sehem ukipita hasa maeneo yenye vichaka unaweza Kuipata hii harufu ya wali,

hapo utamsikia mbongo akisema "majini Wanapika Wali sehemu hii tuondoke haraka sana 😄😄" kumbe nyoka nyupo kwenye harakati za kumvuitia baby wake 🥰

Basi tambua kuwa hiyo harufu...👇
Read 5 tweets
Jul 30
Uzi : SMS "3" KALI ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI WAKO ULIYEMUACHA AU MLIYEGOMBANA...☠

1.💕Ni kweli nakiri ndani ya nafsi yangu kwamba nilikukosea mpenzi wangu, naomba unisamehe na unipe nafasi nyingine katika moyo wako mpenzi wangu. Nakupenda sana,

Endelea Sasa fundi...😁👇 ImageImage
2.💞Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako, Röhö håinå furaha sababü ya ükimyä wåkö, näfsi håinå raha kükösä såuti yako,möyöni näsonönekä kükösä penzi läkö,håkikå naumia sana,

Najua nimekukosea baby, lakini fahamu kwamba

haikuwa nia...👇
Yangu kukupotezea furaha yako, nipe
nafasi nyingine moyoni mwako!

Nipe nafasi nyingine maishani mwako!
Nisamehe mpenzi wangu!

3.💕Kila ninapokukumbuka machozi yanidondoka,

naomba unisamehe, nakupenda sana dear na ni kweli kuna wakati nilikukosea, lakini amini nakupenda.
Read 6 tweets
Jul 22
Uzi : AINA saba( 7 ) ZA WANAWAKE WENYE UPUNGUFU WA AKILI.🦍

1️⃣. MWANAMKE Anaevaa nguo fupi(mini- skirt) halafu akikaa mahali anahangaika kujiziba magoti yake kwa mikono au kitambaa chake cha mkononi.😶

Re-tweet kwanza na endelea tuelimike wote ndugu yangu...👇
2️⃣. MWANAMKE Anaetoa mimba kisha analala na midoli kwenye kitanda chake, Ana upungufu wa AKILI.😶
3️⃣. MWANAMKE Anaetembea na mume wa mwanamke mwenzie miaka nenda rudi, na kuwakataa wanaume wanaomchumbia wenye nia ya kumuoa. Huyu nae ana upungufu wa AKILI.😶
Read 9 tweets
Apr 29
Uzi : JUMBE MAKINI ISHIRINI NA MOJA( 21 ) ZA MKUMBUSHE MWANAO NINAZO ZIKUBALI, PIA MWISHO Unipe YAKO UNAYOIKUBALI TWENDE...😷

1. ~Mkumbushe mwanao kuwa WIVU utamfanya amchukie Mtu ambaye alipaswa ajifunze kutoka kwake...🦍

Re - Tweet na endelea ili upate kuniambia yako...👇
2. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Msaada sio Haki yake asipopewa Asinung'unike atafute Chake...🦍
3. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Tumeona mazuri kwa watu waliokuwa wakiitwa wabaya na Tumeona mabaya kwa watu waliokuwa wakiitwa wazuri kwahiyo Aishi na kila mtu kwa akili...🦍
Read 25 tweets
Apr 12
Uzi : NAMNA YA KUWAFUNDISHA NIDHAMU WATOTO au KIJANA WAKO🙄

Mzazi au mlezi zingatia haya yatakusaidia katika kuwalea wanao...👇

1️⃣ Unapoingia nyumbani wasalimie watoto wako au hata kuwakumbatia. Hii inapaswa kusaidia kukuza hisia zao za upendo na kujithamini.

Shuka Nayo...👇
2️⃣Kuwa mwema kwa majirani zako na usiwahi kuwasengenya. Kamwe usiseme vibaya juu ya madereva wengine ukiwa barabarani. Watoto wako wanaweza kusikiliza, kuhifadhi ndani yao na kuiga.
3️⃣Unapowapigia simu wazazi wako, watie moyo, wapatie simu watoto wako wazungumze nao. Unapowatembelea wazazi wako chukua watoto wako pamoja nawe. Kadiri wanavyokuona unawajali wazazi wako ndivyo wanavyojifunza kukutunza.
Read 18 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(