Leo katika historia,Tarehe 1/10/2021 Kwenye mechi ya Dodoma Vs Simba.Dodoma waliahidiwa 10M na mbunge endapo wataifunga Simba au kutoa sare, kilichotokea kwenye hiyo mechi ilikuwa zaidi ya Ibra Vs Alan Pina🙌, Dakika ya 10 walimuumiza Sakho ankle na kushindwa kuendelea.. #Uzi 👇
... na mchezo na alikaa nje kwa kipindi kirefu ,dakika ya 44' Anuary Jabir anampiga kiwiko Kennedy Juma na kupewa red card ,huku Simba ikiwa na mechi muhimu ya #TotalEnergiesCAFCL Vs Jwaneng Galaxy, ni mwaka tuu umepita ,kesho (2/10/2022) ni Simba vs Dodoma Jiji again,..👇
wameshaahidiwa tena endapo watashinda au kusare na Simba kesho 10M, can you imagine itakavyokuwa ? Ikumbukwe Simba ina kibarua kizito wiki ijayo dhidi ya 1° De Agosto, imagine watuumizie Phiri , Okrah, Kanoute , Au Chama🤔.... 👇
Kiongozi angetumia uzalendo wake kuwasihi wachezaji wake kujali afya za wenzao kwanza kwa maslahi ya taifa 🇹🇿 🙌🙌 . Kila la heri @SimbaSCTanzania 🙏🏻
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
No Mambo 10 😱 !? , No problem ... I got you covered! Mambo 10 niliyoyaona kwenye mchezo wa Simba Sc Vs Dodoma Jiji: 👇 1. Simba imecheza kitimu Sana , mpira umeonekana licha ya Kocha kupumzisha baadhi ya key players (Kanoute & Okrah) ...well done Mgunda 👏👏 #Uzi 👇
2. Lisha ya ushindi ,upande wa kulia palivuja sanaa...walipoteza mipira sana, Israh na Kibu hawakuwa na siku nzuri kazini licha ya Wenzao kuziba makosa yao(ndio maana ya teamwork👏) 3. Kuna wachezaji wazawa hawaimbwi Sana Ila uwepo wa Mgunda ni kama wamezaliwa upya (Kennedy na👇
Mzamiru 🙌) 4. Cha ajabu ukipitia picha za mchezo wa Jana kwenye kurasa za timu huwezi ona picha ya Mzamiru, ambae kwangu Mimi ndio Man of the match, sad ! Huwenda @RabbiHume alitingwa 😌 5. Chama anaweza akacheza hata akiwa na 40 yrs, YES! Mchezaji...👇