Zay B_tz Profile picture
Oct 3 β€’ 8 tweets β€’ 4 min read
No Mambo 10 😱 !? , No problem ... I got you covered! Mambo 10 niliyoyaona kwenye mchezo wa Simba Sc Vs Dodoma Jiji: πŸ‘‡
1. Simba imecheza kitimu Sana , mpira umeonekana licha ya Kocha kupumzisha baadhi ya key players (Kanoute & Okrah) ...well done Mgunda πŸ‘πŸ‘ #Uzi πŸ‘‡
2. Lisha ya ushindi ,upande wa kulia palivuja sanaa...walipoteza mipira sana, Israh na Kibu hawakuwa na siku nzuri kazini licha ya Wenzao kuziba makosa yao(ndio maana ya teamworkπŸ‘)
3. Kuna wachezaji wazawa hawaimbwi Sana Ila uwepo wa Mgunda ni kama wamezaliwa upya (Kennedy naπŸ‘‡
Mzamiru πŸ™Œ)
4. Cha ajabu ukipitia picha za mchezo wa Jana kwenye kurasa za timu huwezi ona picha ya Mzamiru, ambae kwangu Mimi ndio Man of the match, sad ! Huwenda @RabbiHume alitingwa 😌
5. Chama anaweza akacheza hata akiwa na 40 yrs, YES! Mchezaji...πŸ‘‡
Mchezaji genius asiye na mbio ila mwenye akili huwa haishi haraka Mana ubongo hauzeeki mapema , tofauti na mchezaji Kama Kisinda age ikisogea mbio zikikata anabaki mweupe (kumradhi wakongoπŸ™Š)
6. Captain Bocco bado ana stress , Jana Dodoma Jiji wangefungwa hata 6 endapo John ..πŸ‘‡
..John angetulia kwenye maamuzi yake ya mwisho ,atarudi imara chini ya Mgunda πŸ’ͺ🏽
7. Moses Phiri,huyu ni complete package ya chezaji la kisasa ,haijalishi ni chance au half chance yeye anafunga , Simba ilicheza Kama Haaland kumsajili huyu πŸ‘πŸ‘πŸ‘
8. Ni ajabu Dodoma Jiji kumpa..πŸ‘‡
namba mchezaji aliyeungana na timu majuzi #Ninja kuanza dhidi ya timu kubwa mbele ya Beki wao aliyekaa na timu Muda mrefu #AmanKyata ,
9. Golikipa wa Dodoma Jiji fundi Sana yule #AlonKalambo ,licha ya kuruhusu magoli ila alijitahidi kuwa bora kupunguza idadi ya magoli. ..πŸ‘‡
10. Simba Sasa beki za kati wanaweza kufanya rotation bila stress , shida Iko pembeni Sub za Zimbwe na Kapombe bado 😌

NB: Siku nyingine Simba ikiwa mwenyeji msivalishe waamuzi na ball boys hizo rangi , tungeshinda nyingi zaidi πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ
Twendeni Angola Sasa #Nguvumoja πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

β€’ β€’ β€’

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
γ€€

Keep Current with Zay B_tz

Zay B_tz Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @Zayb_tz

Oct 1
Leo katika historia,Tarehe 1/10/2021 Kwenye mechi ya Dodoma Vs Simba.Dodoma waliahidiwa 10M na mbunge endapo wataifunga Simba au kutoa sare, kilichotokea kwenye hiyo mechi ilikuwa zaidi ya Ibra Vs Alan PinaπŸ™Œ, Dakika ya 10 walimuumiza Sakho ankle na kushindwa kuendelea.. #Uzi πŸ‘‡ ImageImage
... na mchezo na alikaa nje kwa kipindi kirefu ,dakika ya 44' Anuary Jabir anampiga kiwiko Kennedy Juma na kupewa red card ,huku Simba ikiwa na mechi muhimu ya #TotalEnergiesCAFCL Vs Jwaneng Galaxy, ni mwaka tuu umepita ,kesho (2/10/2022) ni Simba vs Dodoma Jiji again,..πŸ‘‡
wameshaahidiwa tena endapo watashinda au kusare na Simba kesho 10M, can you imagine itakavyokuwa ? Ikumbukwe Simba ina kibarua kizito wiki ijayo dhidi ya 1Β° De Agosto, imagine watuumizie Phiri , Okrah, Kanoute , Au ChamaπŸ€”.... πŸ‘‡
Read 4 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(