#TalkingScholarships
Mtu wangu @depedrodeniss juzi July 2022 alisafiri kuelekea Western Michigan University (USA) kama mshindi wa Scholarship za Fulbright 2022. Ameniruhusu kushare mawasiliano yetu kuanzia 15/2/2021 - 22/4/2022 ili kuwainspire wengine. Tulianzia hapa⬇️
14. Tukaishia hapa⬇️; mission accomplished. Natumaini umegundua kwamba ukipata mtu wa kukuelekeza na wewe ukawa na nia, kila kitu kinawezekana. 💪💪💪 @depedrodeniss
Kwa ndugu yetu yeyote yule unatetafuta #scholarships , nakushauri usome hizi meseji, kuna kuna baadhi ya maswali yatakusaidia.
#ElimikaWikiendi
“MAFANIKIO” ni neno jepesi sana kuandika lakini gumu sana kulielewa. Kwenye mtandao wa Google trend, ni mojawapo kati ya maneno yanayotafutwa zaidi. Watu mbali mbali wameandika makala zaidi ya milioni 11 kwenye Google kuelezea hili neno, wengi wakiliita “Siri ya… https://t.co/CpnRAQaU6ntwitter.com/i/web/status/1…
#ElimikaWikiendi
Kabla sijaanza kueleza nilichoandaa, naomba kutafsiri neno MAFANIKIO kwa muktadha wa leo. Nafahamu wengi wana tafsiri tofauti, na Kila mmoja ana tafsiri yake. Kwa leo, ninaposema MAFANIKIO, ninamaanisha UFANIKISHAJI WA NDOTO NA MALENGO FULANI YENYE TIJA KWENYE… https://t.co/nKJWt9W2hmtwitter.com/i/web/status/1…
#ElimikaWikiendi
MAFANIKIO ni mepesi sana kwa sababu yanafuata sheria na kanuni, lakini magumu sana kwa sababu kufuata kanuni sio jambo jepesi. Kwa bahati mbaya sana, kanuni za MAFANIKIO hazina huruma, ukizifuata, zitakuneemesha, ukizikiuka, zinakuadhibu. Hata hivyo, kabla… https://t.co/Sr6sTqG8totwitter.com/i/web/status/1…
Kwa wale ambao hamjapata ya kuusoma mkataba, usomeni hapa. Hii ni haki yetu sote.👇
UCHAMBUZI WA MKATABA WA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA KIJAMII KWA AJILI YA UENDELEZAJI NA UBORESHAJI WA UTENDAJI KAZI WA BANDARI TANZANIA KATI YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA… twitter.com/i/web/status/1…
SEHEMU YA I- TAFSIRI, UFAFANUZI NA MAWANDA (DEFINITIONS, INTERPRETATION AND SCOPE)
2.1. Ibara ya 1 (Definition and Interpretation)
Ibara ya 1 inatoa tafsiri na ufafanuzi wa misamiati na maneno mbalimbali yaliyotumika katika Mkataba huu.
2.5. Ibara ya 5 (Rights to Develop, Manage or Operate)
Ibara ya 5 inatoa haki za kipekee (exclusive rights) kwa Kampuni ya DPW yenyewe moja kwa moja au kupitia kampuni washirika (Affliates), za kuendeleza, kusimamia na kuendesha miradi kama ilivyoainishwa kwenye Kiambatisho 1… twitter.com/i/web/status/1…
Mwalimu aliponifahamisha kuwa mwanangu ana tatizo la kuconcentrate kwa muda mrefu, nilijiuliza; ni kwa namna gani naweza kumsaidia?
Nilifahamu kuwa maneno matupu hayatomjenga, kwa hiyo nikaamua kumfundisha mchezo wa draft. #Thread
2. Baada ya kumfundisha kusukuma kete, tulianza kuweka sheria ambazo niliamini zitamjengea mazoea ya concentration.
Sheria ya ONE TOUCH ilimsaidia mwanagu kujifunza kwamba ni lazima afikiri kwa umakini kabla kabla hajagusa kete Kwa sababu akishaigusa hana option nyingine.
3. Kwa hiyo ili kuhakikisha kuwa haadhibiwi na sheria ya ONE TOUCH, atakuwa anatumia angalau sekunde 20 kufikiri kabla ya kugusa kete. This was fair enough kwangu, nilifahamu akifanya hivi mara nyingi tabia ya kuconcentrate itaanza kujengeka.
Mwaka 2013 mtumbuizaji kutoka Japan, Kenichi Ebina, alishinda Dola 1,000,000$ katika shindano la American Gots Talent. Kenichi ananikumbusha maelfu ya watoto ambao wana talent lakini talent zao zinazikwa na mitaala isiyozipa nafasi.⬇️ @MabalaMakengeza@wizara_elimuTz@HakiElimu
Kenichi ananikumbusha Leoni Joseph, kijana aliyekuwa smart sana; anachora, anacheza mpira, anapiga sarakasi kuliko kawaida. Namkumbuka Amosi Kivulenge, kijana comedian ambaye anaweweza kukuchekesha hata ukiwa ktk mood ya aina gani. Hawa wote waliambiwa na elimu yetu WAMEFELI⬇️😰.
Kenichi ananikumbusha Joseph Lau, kijana aliyekuwa na uwezo wa kutupigia hadithi Katika series zaidi ya miezi miwili mfululizo bila kupoteza ladha wala kurudia events. Karibu darasa zima tulikuwa tayari kumlipa Lau shilingi 50 ili atupe uhondo. Huyu nae aliambiwa AMEFELI😰⬇️!