@bwaya huu mjadala unaoendelea kwenye majibu ya hii twiti unafanana na ule wa akina @ItsKamala na panzi.Hili somo la jiografia ya dunia hufundishwa duniani kote.Ndiyo maana Wachina na wengineo wanatujua pengine kuliko tunavyojijua.Ila naona watu wanakandia uwanda mpana🗺🌍🌎🌏🌐.
Kama ulimaliza vitabu vyote vya Tujifunze Lugha Yote ina maana utakuwa umejua habari za takribani mikoa yote ya Tanzania—hapo ukiunganisha na somo la Kilimo na Jiografia(ya Dunia) basi mtoto/mwanafunzi unakuwa na uwanda mpana wa kuelewa nini kinaendelea ndani na nje ya nchi yako.
Since the deaths of global figures—especially those whose legacies divide opinions—tend to make us revisit history,in this thread I am posting links to videos from the main Imperial source of the British Empire taken in real time in the 1950s in its then beloved colony in Africa.
If you want them to be able to learn #English well,unmute their tongues first by letting them be taught in a #language they use often,#Swahili—Ukitaka waweze kujifunza #Kiingereza vizuri,fungulia kwanza ndimi zao kwa kuruhusu wafundishwe kwa #lugha wanayoitumia sana,#Kiswahili.🗣
Hoja kuu ya kutumia Kiswahili kama Lugha ya Kufundishia(LYK)siyo kuwepo au kutokuwepo kwa misamiati mizito—hiyo yaweza hata kuwa ya Kiarabu,Kichina,Kiingereza,Kilatini,Kigiriki au hata Kipare—kilicho muhimu,na hii ndiyo hoja kuu,ni #MAWASILIANO,mwalimu na mwanafunzi #wawasiliane.