Christiano Ronaldo hawezi kusahau wema wa Albert Fantrau.
Uziii.. ✍️✍️
Albert Fantrau ni rafiki wa Cristiano Ronaldo, Wana urafiki wa karibu, ambao huchukuliwa kama marafiki bora ambao wamefahamiana tangu umri mdogo.
Walicheza mpira wa miguu pamoja huko Ureno, ambayo pia ndio namna walivyokutana na kuwa marafiki wa karibu mpaka leo.
Ni nyota wachache wa kandanda wanaojulikana wanaweza kutangaza kwa uwazi jinsi watu walivyojitolea kwa ajili yao, jambo ambalo liliwasukuma kupata umaarufu.
Cristiano Ronaldo alifungua wakfu tuzo yake kwa rafiki yake bora Albert Fantrau,
ambaye ndiye chanzo cha kufikia kiwango alicho nacho pamoja na mafanikio yake.
Kulingana na jinsi ilivyokuwa kati yao, ni kwamba Albert alimsaidia Ronaldo wakati wa mchezo ambao ulimruhusu kupata fursa aliyohitaji kujidhihirisha
Ishara ya fadhili kwa Albert kwa Ronaldo ilitokea wakati wa mchezo wa kujaribu kupata fursa ya kupandishwa kwenye akademi ya Sporting Lisbon.
Alimsaidia Cristiano Ronaldo kufunga mabao mawili kwenye mchezo huo na baadaye akashinda nafasi ya kuichezea Sporting Lisbon Academy.
Nilimuuliza mara baada ya mechi; kwa nini alifanya vile. Akajibu, "kwa sababu wewe ni bora kuliko mimi." Alisema Ronaldo
Albert aligundua Ronaldo angeenda mbali bila kuhimizwa na wengine kwani ilikua anapenda mpira kuliko kitu chochote.
Hilo lilimsaidia sana nyota huyo wa Ureno, ambaye aliendelea kujidhihirisha kuwa mmoja wa wachezaji wakubwa wa soka ambao bado wanacheza.
Albert Aliendelea na mpira lakini alipambana na majeraha mengi, ambayo yaliathiri sana safari yake ya soka
Albert na Cristiano Ronaldo bado ni marafiki wakubwa ambao huwa pamoja wakati mwingine.
Albert Fantrau anaishi maisha mazuri ya kifahari licha yakutofanikiwa kwenye soka lakini Ronaldo analipa fadhila za Albert.
Hatuwezi kuthibitisha utajili aliokuwa nao Albert
Lakini anaishi maisha yakifahari na ameonekana katika mtukio muhimu ya Christiano Ronaldo
Uhusiano kati ya Albert na Ronaldo ni mkubwa
Shirika la Kimataifa la Ureno huwa linamsherehekea rafiki yake aliyefungua njia ya mafanikio yake.
Albert Fantrau na Cristiano Ronaldo pia wanaitwa ndugu na watu wengi kutokana na ukaribu wao.
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
Samantha lewthwaite " white widow" mwanamke anayesumbua mamlaka za kijajusi duniani.
most wanted
Uziiiii✍️✍️✍️
Samantha lewthwaite alizawa December 1983 huko Northern Ireland UK, aliishi na wazazi wake Hadi pale walipotarakiana mwa 1994.
Baada ya wazazi wake kutengana, sasa Samantha ikwa anapenda kutumia muda wake mwingi Kwa jirani yake ambapo akaanza kujifunza Dini
ya kislamu kwani majirani hao walikua waisilamu.
2001, alipokuwa na umri wa miaka 17, Lewthwaite alisilimu na akaitwa Sherafiya, na mwaka 2002, alikutana na Germaine Lindsay kwenye maandamano ya "Stop the War" huko London baadae walionana Kwa ndoa ya kislamu
Ota benga, muafrika aliyefungiwa na kuishi kwenye bustani ya wanyama Pori huko marekani.
kindly retweet and follow me
Uziiii....✍️✍️✍️
Ota Benga alikua raia kutokea Kongo
Alikamatwa Machi 1904 na mfanyabiashara wa Marekani Samuel Verner kutoka kule ambako kulikuwa kunafahamika kama Congo ya Ubelgiji.
Umri wake haujulikani, pengine alikuwa na miaka 12 au 13
Alisafirishwa kwa meli hadi New Orleans na baadae mwaka huo aliwekwa kwenye maonesho ya Dunia huko St Loius na vijana wengine wanane
Maonesho hayo yaliendelea hadi miezi ya baridi ambapo kundi hilo halikupewa nguo za kujikinga na wala malazi
Mtoto huyu aliyembeba mdogoake aliyefariki wakati wa vita ya 2 ya dunia, alimliza mwanajeshi wa kijapani.
Hadi Leo picha hii inatumika kama alama ya Umoja Japan.
Uziiii✍️✍️✍️
Wakati Marekani ilipofanya shambulio la nyuklia kwenye miji ya Hiroshima na Nagasaki nchini Japani mwaka wa 1945, sehemu kubwa ya miji hii iliharibiwa.
Ijapokuwa kulikua na baadhi ya vituo vya matibabu vilisalia.
hakukuwa na mtu yeyote aliyesalia kutoa msaada.
Raia wengi wa Japani waliuawa papo hapo, huku wengine wakiteseka vibaya kutokana na kuchomwa na miale.
Mashahidi walieleza walionusurika wakiwa na ngozi iliyochubua Mili yao