Samantha lewthwaite " white widow" mwanamke anayesumbua mamlaka za kijajusi duniani.
most wanted
Uziiiii✍️✍️✍️
Samantha lewthwaite alizawa December 1983 huko Northern Ireland UK, aliishi na wazazi wake Hadi pale walipotarakiana mwa 1994.
Baada ya wazazi wake kutengana, sasa Samantha ikwa anapenda kutumia muda wake mwingi Kwa jirani yake ambapo akaanza kujifunza Dini
ya kislamu kwani majirani hao walikua waisilamu.
2001, alipokuwa na umri wa miaka 17, Lewthwaite alisilimu na akaitwa Sherafiya, na mwaka 2002, alikutana na Germaine Lindsay kwenye maandamano ya "Stop the War" huko London baadae walionana Kwa ndoa ya kislamu
Mnamo Septemba 2004, Lindsay na Lewthwaite walikutana na Mohammad Siddique Khan na kuwa karibu naye mtu huyu alikua mpanga matukio ya kigaidi.
Julai 7, 2005, Lindsay na wanaume wengine watatu Waingereza walijilipua mabomu yakujitoa mganga na kupelekea Vifo vya watu 26 na wengine wengi walijeruhiwa
Tukio hili lilikua kubwa huku uingereza na mania ya watu walilani kitengo hiki, na Samantha lewthwaite alijitokeza na twitter.com/i/web/status/1…
kulani tukio hili
kumbe yeye ndio alikua gaidi na ndiye aliyekua kiungo muhimu wa tukio hili.
Polisi walikuja kujua baadae Samantha alikua na mawasiliano na Mohammad Siddique Khan gaidi wa kupanga matukio ya kujitoa mhanga
lakini Samantha lewthwaite alikua ameshatoroka na watoto wake
Inadaiwa kuwa Lewthwaite alihamia Kenya mwaka 2007 au 2011 alitumia passport feki,
kwa jina Natalie Faye Webb, na muda mfupi baadaye alianza kufanya kazi na makundi yenye itikadi kali
Kulingana na wataalamu, awali Lewthwaite alilindwa na Kitengo cha al-Qaeda "kikosi cha kujitoa mhanga,"
lakini baadaye alichukua nafasi katika kundi la al-Shabab na alikua mpangaji na mtekelezaji mashambulizi
Desemba 2011, polisi wa Kenya walivamia nyumba ambayo iliaminika alikuemo Samantha Lewthwaite huko Mombasa.
Polisi walipata kemikali zinazofanana na zile zilizotumiwa katika milipuko wa July 7 2005 tukio la kule uingereza.
Lakini hawakufanikiwa kumkamata Lewthwaite
Bali polisi wa Kenya walimkamata raia wa Uingereza Jermaine Grant ambaye alidaiwa kua anafanya kazi na Lewthwaite
Mamlaka ya Kenya inadai kwamba wawili hao walikuwa wakipanga shambulio la bomu huko Mombasa.
Januari 4, 2012. Mamlaka ya Kenya ilitoa kibali cha kukamatwa kwa Lewthwaite, lakini hawakuweza kumpata.
Machi 2012, iliripotiwa kwamba Lewthwaite alitorokea Somalia
Juni 24, 2012. Samantha lewthwaite na asikali wa Al-Shabab walilenga baa moja huko mombasa
Watu walikua wakitazama mechi ya soka ya Euro 2012 kati ya Uingereza na Italia.
Shambulizi lilisababisha Vifo vya watu wa Tatu na wengine kujeruhiwa.
Shuhuda anasema alimuona mwanamke aliyevali hijab kabla ya tukio ilikua mida ya usiku. Mwanamke Yule aliaminika kua ni Samantha
Samantha pia alihusishwa na shambulio la kutisha la kituo cha biashara cha Westgate Nairobi lililotokea
Septemba 21, 2013, al-Shabab walivamia kituo hicho wakiwa na guruneti na kuwafyatulia risasi kiholela Kwa wanunuzi.
Shambulizi hilo liliua watu 71 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 200.
Tukio hili lilifanya kumtangaza Samantha lewthwaite kua gaidi mkubwa Dunia
Mnamo Septemba 26, 2013, Interpol ilitoa notisi nyekundu kwa Lewthwaite kwa tuhuma
Mbali mbali za kupanga mashambulizi
yalio pelekea kuua watu wengi.
Samantha lewthwaite alitafutwa lakini mpaka sasa hajulikani Yuko wapi
vyanzo vya kijasusi vya Uingereza vilidai Samantha Lewthwaite alifunga ndoa na Hassan Maalim Ibrahim, a.k.a Sheikh Hassan, kiongozi mkuu wa al-Shabab nchini Somalia
Lewthwaite bado hajulikani aliko, ingawa inashukiwa kuwa analindwa na wapiganaji wa al-Shabab kwenye kambi ya al-shabab huko Somalia.
Follow me asante.
• • •
Missing some Tweet in this thread? You can try to
force a refresh
Christiano Ronaldo hawezi kusahau wema wa Albert Fantrau.
Uziii.. ✍️✍️
Albert Fantrau ni rafiki wa Cristiano Ronaldo, Wana urafiki wa karibu, ambao huchukuliwa kama marafiki bora ambao wamefahamiana tangu umri mdogo.
Walicheza mpira wa miguu pamoja huko Ureno, ambayo pia ndio namna walivyokutana na kuwa marafiki wa karibu mpaka leo.
Ni nyota wachache wa kandanda wanaojulikana wanaweza kutangaza kwa uwazi jinsi watu walivyojitolea kwa ajili yao, jambo ambalo liliwasukuma kupata umaarufu.
Cristiano Ronaldo alifungua wakfu tuzo yake kwa rafiki yake bora Albert Fantrau,
Ota benga, muafrika aliyefungiwa na kuishi kwenye bustani ya wanyama Pori huko marekani.
kindly retweet and follow me
Uziiii....✍️✍️✍️
Ota Benga alikua raia kutokea Kongo
Alikamatwa Machi 1904 na mfanyabiashara wa Marekani Samuel Verner kutoka kule ambako kulikuwa kunafahamika kama Congo ya Ubelgiji.
Umri wake haujulikani, pengine alikuwa na miaka 12 au 13
Alisafirishwa kwa meli hadi New Orleans na baadae mwaka huo aliwekwa kwenye maonesho ya Dunia huko St Loius na vijana wengine wanane
Maonesho hayo yaliendelea hadi miezi ya baridi ambapo kundi hilo halikupewa nguo za kujikinga na wala malazi
Mtoto huyu aliyembeba mdogoake aliyefariki wakati wa vita ya 2 ya dunia, alimliza mwanajeshi wa kijapani.
Hadi Leo picha hii inatumika kama alama ya Umoja Japan.
Uziiii✍️✍️✍️
Wakati Marekani ilipofanya shambulio la nyuklia kwenye miji ya Hiroshima na Nagasaki nchini Japani mwaka wa 1945, sehemu kubwa ya miji hii iliharibiwa.
Ijapokuwa kulikua na baadhi ya vituo vya matibabu vilisalia.
hakukuwa na mtu yeyote aliyesalia kutoa msaada.
Raia wengi wa Japani waliuawa papo hapo, huku wengine wakiteseka vibaya kutokana na kuchomwa na miale.
Mashahidi walieleza walionusurika wakiwa na ngozi iliyochubua Mili yao