Deograsius Andrew🇹🇿 Profile picture
Apr 12 15 tweets 6 min read Twitter logo Read on Twitter
JE NI FURSA TANZANIA KUANDAA HUMAN CAPITAL SUMMIT 2023.?

UZI.

Bila shaka kama unafuatilia ulisikia juu ya mkutano wa IDA20 SUMMIT FOR AFRICA. uliofanyika julai mwaka jana huko Dakar nchini Senegali. Na tuliwakirishwa na Mhe. Raisi @SuluhuSamia . Basi leo kuna habari njema. Image
Julai 25+26 Mwaka huu Tanzania itaandaa kilele cha mkutano kama huo. Uliopewa jina la "AFRICA HUMAN CAPITAL HEAD OF STATES SUMMIT." Na unatarajiwa kufanyika jijini Dar es salaam ukihusisha pia mapitio ya IDA20 mid-term ya December. (Yaliyoanzisha na japani Dec 14-15, 2021) Image
HUMAN CAPITAL SUMMIT 2023 NI NINI HASA.?

Huu ni mkutano maalumu wa viongozi wa mataifa ya Africa, inayojadili umuhimu wa kuwekeza katika watu na wenye malengo ya kutilia mkazo juu ya umuhimu wa mtaji/rasilimali watu kwenye mageuzi na ukuaji kiuchumi kwa mataifa hayo.
Mara ya mwisho mkutano huu Afrika ulifanyika katika ukumbi wa King Fahd Palace. Na ulihusisha mataifa karibu yote ya Afrika. Huku agenda kuu zikiwa kuendana na mpango wa IDA20 ya mwezi december 2021 iliyoainishwa huko Japan.
Tanzania imepata bahati ya kuandaa mkutano huu mkubwa na wenye tija kiuchumi ikiwa siyo nchi ya kwanza kwa mwaka huu kupewa kijiti kama hicho duniani. Nchi kama Indonesia imeandaa kwa mafanikio makubwa mkutano kama huu uliofanyika (March 21) Huko Jakarta. Image
Mkutano huu huwa na malengo yake makuu na huu unaofanyika Tanzania mwezi Julai. Moja ya Mambo yatakayofanyika ni kufanya mapitio ya IDA20 midterm ya December (Japan) .

LAKINI NI NINI HASA HII IDA20 MID-TERM OF DECEMBER.?

Huu pia ulikua ni mkutano uliofanyika Huko Japan.
Ambapo Mashirika na Wadau waliweka rekodi kwa kuchangia kiasi cha dola za kimarekani 93 billion. Kama mpango wa kuzisaidia Nchi za kipato cha chini dhidi ya madhara ya Uviko 19. Na ndio ilipelekea mikutano mingine kama IDA20 HEAD OF STATES SUMMIT ya Dakar. Julai 2022. Image
JE NI FURSA KUANDAA MKUTANO HUU.?

@mofURT leo wameripoti kuwa Raisi wa Benki kuu ya Dunia Bw. @DavidMalpassWBG ameipongeza Tanzania kwa hatua hii. Baada ya kikao na ujumbe wa Tanzania ulioongozwa na Waziri wa fedha Dr. @mwigulunchemba1 . Huko Washington DC. Marekani.
Licha ya Mengi waliyoyajadili huko.

Ujio wa mikutano huu ni fursa zifuatazo kwa taifa.

1. Kulitangaza taifa kiuchumi. Kwani takwimu zinaonesha kuwa Tanzania Imeweza kuhimiri ukuaji wa uchumi wa 5.3% licha ya athari za Uviko. Thanks kwa @MagufuliJP kwa kutofunga mipaka.
Lakini pia @mofURT kwa kuweza kuhimiri ukuaji wa uchumi. Hivyo Tanzania ni taifa pekee ambalo litaonekana kimefanikiwa na mpango wa IDA20 kwani uchumi wake bado umetengamaa kuliko mataifa mengine ya Afrika.
2. Lakini pia mkutano huu utaifanya Tanzania kuwa foundation ya maazimio mapya ya mkutano huo. Unajua kwanini inaitwa IDA20 Midterm december of Japan . ni kwa sababu ilifanyika Japan. Basi Maazimio yote yatakayotokana na Mkutano huo yataenda na Jina la Tananzia.
3. Mkutano huu utafungua ukurasa mpya wa Taifa kwenye diplomasia ya Uchumi, kwani utahusisha mataifa mengi ambao watajadili mawazo yao kwa pamoja na kwa kushirikiana.

4. Malengo makuu ya Mkutano huu ni kuwekeza katika rasilimali watu hivyo huenda tukaona mwanga kwenye Ajira.
LAKINI KWA UPANDE MWINGINE.

Mkutano huu utakua hauna maana kama maazimio yake, Yata akisi dhana ya kuongeza hali ya utegemezi katika misaada na kudumaza juhudi za ndani za kuboresha sekta binafsi na biashara. Misaada kwa nchi zetu hazipingiki lakini isitudumaze.
Pongezi za Raisi wa Benki kuu ya dunia kwa Wizara ya fedha na serikali ya Tanzania zinaakisi kuwa Ziara ya Mhe. @mwigulunchemba1 . na ujumbe wake wote inatija na italeta matunda kweli katika ajira za vijana na ukuaji wa biashara.

MWISHO WA UZI. 🙏🏿 Image
Source of informations
#Worldbank #ministeroffinancetanzania #ministerofreosursesindonesia #Japanplanningcub #socialmedia

NB. Anarudi sasa atupe majibu ya mhe Mpina. 😂😂

TAFADHALI RETWEET.

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with Deograsius Andrew🇹🇿

Deograsius Andrew🇹🇿 Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @Deodravis

Apr 15
"JINSI MAREKANI ANAVYOTUMIA NCHI NYINGINE KUPIGANA VITA VYAKE. NA JINSI SERA HIYO INAVYOMGHARIMU."

UZI.

Wakati ule wa vita baridi, Marekani alitafuta kila namna kumshinda Usovieti (sasa Urusi) lakini baadae alifanikiwa kwa kuwatumia wanajeshi wa nchi jirani na Urusi. Image
Hivyo alitumia bajeti kubwa sana kuwatrain wanajeshi wa Iraq, na Afghanistan. Hivyo hata hawa taliban unaowasikia leo ni chimbuko la wanajeshi ambao Marekani mwenyewe aliwafunza. Basi kupitia njia hii na zile sera zake aliweza kumshinda Urusi na kuzitokomeza kabisa sera zake.
Kabla hatujaendelea nikusihi kama bado hujanifollow basi nifollow sasa.

@Deodravis @Deodravis nami nitakufollow back.

Tuendelee.👇🏿
Read 21 tweets
Apr 14
Leo naomba tujadili.!

"MBONA SERA ZA TANZANIA ZA KIUCHUMI ZINASIFIKA SANA KIMATAIFA KULIKO NDANI YA NCHI. HII INA MAANISHA NINI HASA.?"

Uzi Mfupi.!

Jana wakati napita pita mitandaoni nlikutana na chapisho la @WorldBank iliyoambatanishwa na mahojiano na Dkt @mwigulunchemba1 . Image
Waliandika Tanzania imeweza kukuza uchumi wake licha ya uwepo wa janga la uviko 19. Na kwenye mahojiano waliyoyaambatanisha yalikua kati ya Waziri wetu wa fedha na @denaringold mkurugenzi wa benki kuu ya dunia anaesimamia masuala ya rasilimali watu kanda ya Afrika magharibi. Image
Niliona chapisho jingine. Lililokuwa likionesha mjadala fulani. Huku mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi @AgrAlliance ambae pia ni waziri mkuu mstaafu wa Ethiopia ndugu @HMDessalegn. Aliisifu Tanzania kwa mikakati yake kwenye sekta ya kilimo na alikiri kuwa wanajifunza toka kwetu Image
Read 6 tweets
Apr 13
NDANI YA WIKI MOJA WAWEZA IBADILI TSH 10,000/- KUWA LAKI NANE..!

KIVIPI TWENDE SAWA

UZI MFUPI. 😂😂

Kama ushawahi sikia kuhusu kitu kinaitwa money multiplier. Yaani jinsi fedha inavyoweza jizidisha mpaka kuwa hela ya juu zaidi kwenye mzunguko. Sasa leo kula chuma hii.👇🏿 Image
Kwanza kabla hatujaendelea Tafadhali nifollow

@Deodravis @Deodravis Image
Ukiwa na Tsh 10,000 unachotakiwa kufanya.

1. Hakikisha unakazi yoyote ya kuifanya.
2. Hakikisha una akili timamu.
3. Chukua hiyo tsh 10,000/- nunua chakula ule.
4. Hakikisha umeshiba vya kutosha na umepata nguvu.
5. Nenda kazini kapige kazi kwa kujituma sana. 👇🏿
Read 4 tweets
Apr 13
FAHAMU FEDHA ZENYE NGUVU NA THAMANI ZAIDI DUNIANI.

UZI MFUPI.

Cha kushangaza.! Dola ya kimarekani haipo hata top 5. 😂.!

Iko hivi umoja wa mataifa unazitambua aina 180 za fedha duniani. Kati ya hizo Dola, Euro, Pound na Yuan ni pesa maarufu lakini zipo zenye thamani zaidi. 👇🏿 Image
Tunaposema Fedha zenye nguvu duniani tunamaanisha thamani yake kwenye mabadirishano ya fedha yaani (Foreign Exchange) au nguvu yake kwenye manunuzi ya bidhaa za kigeni. ( Relative purchasing power when it is traded against other currencies)

NA HIZI HAPA NDIO TOP 10.👇🏿
Kabla hatujaendele naomba unifollow @Deodravis Image
Read 15 tweets
Apr 5
JE UNA BET.?
BASI HIZI HAPA NJIA 7 MUHIMU ZA KUKUSAIDIA.

UZI.

Kutokana na Wimbi kubwa la ukosefu wa ajira Nchini. Vijana wengi wamejikuta wanajiingiza katika michezo ya kubahatisha kama sehemu ya kujiingizia kipato. Image
Lakini wengi wao wameishia.
1. Kupata depression
2. Kupoteza fedha nyingi za kazini ama ofisini.
3. Kutotimiza majukumu yao kwani vipato vyao vyote vinaishia kwenye majumba ya kubeti nk.
4. Kupoteza baadhi ya vitu vyao vya thamani kwa kuviuza ili wapate mtaji. Image
Leo nakuletea mambo makuu 7 ambayo ukiyafuata basi hutaathirika na tabia za ubashiri.

1. FIKIRI KUWA UBASHIRI KAMA SEHEMU YA STAREHE NA SIYO SEHEMU YA KUJIINGIZIA KIPATO.

Hapa namaanisha usiifanye betting kuwa kama ni kazi yako. Image
Read 13 tweets
Apr 2
UPOTEVU WA MAPATO NA FEDHA NYINGI NCHINI UNASABABISHWA NA KAULI HASIDI MBILI

1. "POCHI LA MAMA LIMETEMA."
2. "MIKOPO HII INAELEKEZWA KWENYE MAENDELEO NA ELIMU"

UZI.!

Mara kadhaa CAG amekua akiripoti upotevu wa fedha lakini Tanzania sauti ziko chini na hatua hazichukuliwi.
Baada ya kupitia maoni ya wadau kadhaa na taasisi mbali mbali, nimegundua kuwa ubadhirifu na wizi wa fedha za umma umejificha katika mianya miwili mikuu. Ambayo yote inabebwa na kauli tata ambazo huleta matumaini kwa wananchi lakini mwisho wa siku zinaishia kwenye mikono ya watu.
1. POCHI LA MAMA LIMETEMA.

Hii imekua kauli maarufu sana kipindi hiki cha awamu ya sita na wanasiasa wengi. Na ndio rootcause ya ubadhirifu wote. Kauli hii kwanza ina tupilia mbali maana kuwa mapato ya serikali yanatokana na walipa kodi. Na kutuaminisha kuwa fedha hizi 👇🏿
Read 20 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(