π¨"Wandugu! Android 14 inakuja na ni nzuri mpaka naona inawafanya marafiki zangu wanaotumia iPhone waone wivuπ ! Lakini msiwe na wasiwasi bado mimi ni rafki yenu nitawa-text kwa sababu tunakuja wawekea RCS kwenye iPhone"
Amesema #bardAI
Mimi nakuletea feature mpya za Android 14 twitter.com/i/web/status/1β¦
Android 14 ni version mpya ya simu zinazotumia operating system ya google. Ilitangazwa mwanzoni tarehe 20, february 2023 ambapo mpaka sasa hivi inaendelea kuboreshwa.
Android 14, tangu inze kutumika imefanyiwa maboresho kibao!
Zifuatazo ni features zilizo kwenye maboresho hayo!
1. New lock screen:
Mwonekano mpya wa lock screen ya android 14 umeboreshwa kwenye
β Imekuwa rahisi kubadili na kuweka wigget, shortcuts na themes mpya
β Unaweza badili mwonekano wa saa,kuongeza widget na kutengezeza shortcuts ya apps zako pendwa.
Angalia kwenye pichaππΎ
2. New Multitasking Mode:
Kwa multi tasking- mode mpya imeboreshwa zaidi ambapo now unaweza kufungua apps mpaka 4 kwa wakati mmoja na kuhama kati ya hizo apps kwa urahisi.
3. New privacy and Security features:
Kwenye privacy na security sasa utakuwa na access ya location yako na ku-contol kwa namna gani apps zingine zitatumia data zako hizo.
Hii itarahisisha usalama wa simu yako kwani hamna app itakua inatumia location bila wewe kujua
4. Support for lossless audio:
Sasa unaweza kusikiliza mziki unaoupenda bila kupoteza quality yoyote ya sauti. Hii inamaanisha utaweza sikiliza mziki na ala zake zote!.
5. Supports for 10-bit HDR:
Hii inamaanisha sasa unaweza kuangalia picha vizuri zaidi kwa wider range na kwa mng'aro zaidi. Hii ni sababu android inasaport 10- bit HDR
6. Android 14 will offer AI generated wallpaper:
Sasa taweza kutengeneza picha yako peke yako dunia nzima kwa kutumia Google's text to image deffusion model.
Hii itakuwezesha kutengeneza picha uitakayo kwa kuiambia AI kipi utahitaji na ifate design gani.
7. Updates to camera2 na CameraX extensions:
Hii itaboresha na kufanya urahisi wakati wa kupiga au kuchuoua videos sehemu zenye mwanga mdogo.
Angalia softawere hiyo inavyowasiliana na camera kwenye structure hapo chini
8. System share sheet with app actions
Kama unatumia android 14 utaona share sheet imeboreshwa.
Ambapo google sasa wanaifanya iwe official. hii hutumiwa na apps kutuma vitu kama links,Qr code, image na kadhalika
9. Maboresho kwenye Navigation button:
Hapa google wamefanya maboresho kwenye Muonekano wa navigation button. Na sasa unaweza force navigation button ya simu yako kuwa transparent (isiyo onekana)
By the way, imebakia miezi michache ili Android 14 ikamilike!.
Kujua kuhusu mambo yatakayo ongezeka kwenye android version 14 beta follow @NjiwaFLow kisha mfollow mwandishi @Rydx_017 then washa notification ili uwe wa kwanza kupata madini haya Muhimu...
Kujua ni simu gani zinapokea Android 14 beta kwa sasa niliandika uzi huu hapa chini ππΎ
π¨ #ChactGPT AI nzuri kwa kutumia mpaka sasa
Kutokana na uwezo wake
Lakini leo nakuletea mambo 10 yanayofanywa na Bard ambayo ChatGPT haiwezi kuyafanya!
Source: [You need a robort]
1. Uwezo mkubwa wa kuperuzi (Internet access)
Bard inauwezo mkubwa wa kperuzi online kutokana na imeunganishwa na google search severs!
Hii inaipa uwezo wa kupata majibu mapya ya muda huo kwa haraka zaidi.
Mfano: video kiwango cha pesa kilichowekezwa kwenye AI 2023.
2. Vyanzo (Plugins)
Kutokana na Supercharge google wame-connect Bard na makampuni mbalimbali ili kumuwezesha mtumiaji kufanya vitu tofauti tofauti kwa kutumia bard
Mfano;
-unaweza nunua baiskeli kwa bard toka ebay
-panga reservation ya hoteli
- Agiza vitu kwa instacard
Na zaidi
Whatsapp for android kwenye Beta update version 2.23.10.19 wanakutea Whatsapp channels ambapo zitakuwa kama chanells za Telegram ambazo zinawezesha content creators kupost content na kupata subscribers au followers 1mil na zaidi..ππΎ
Features hii ya Whatsapp channels itakuja pamoja features zifuatazo;
βͺοΈ Verification status: Channel za whatsapp zitakuwa na uwezo wa kuwa na verification checkβ οΈ ya kijani ila namna ya kuomba verification bado haijatangazwa
β Number ya Followers itakua inaonyeshwa chini
Jina la channel.
β Mute notification Button: Kutokana na watu kuwa wengi basi message zitakuwa zinaingia nyingi kwa channel kudhibiti hilo basi wameweka mute π notification button juu ya channel
β Handles: Channel itasupport handles ambapo zitakuwa ππΎ
Pale Korea Kusini Samsung walianzisha chuo cha Samsung Advanced Institute of Technology.
Wamekuwa waki-develop teknolojia mpya sokoni. Samsung ni role model wa makampuni mengine.
Wanazi wa Display usiponunua product yao utanunua product yenye display zao π
Twende chap chap
Samsung ilianzishwa miaka 53 (1969) iliyopita huko Suwon, Korea Kusini. TV yao ya kwanza ilikuwa ni toleo la P-3202 miaka ya 1970.
Kipindi icho ndio cha Black & White kufikia miaka ya 1976 walikuwa washauza zaidi ya TV milioni ndani ya Korea Kusini.
Kufikia 1977 wakatengeneza Color TV miaka iliyofuata akawa ndio muuzaji mkubwa wa TV katika bara la Asia.
Miaka ya 90s wakaungana na Sony na kubuni teknolojia ya LCD (Liquid Crystal Display). Miaka ya 2002 akawa wa kwanza kutengeneza TV nyembamba zaidi duniani kwa wakati huo.
Taiwan ni kisiwa kidogo ila ni moja kati ya sehemu hatari zaidi duniani.
Mama wa Taiwan ni jeuri plus kiburi anayopewa na Marekani, China naye anasema ni jimbo lake na lazima atalirudisha kundini.
Hii colabo ya Urusi na China π
Twende chap chap
Miaka hiyo baada ya vita ya pili ya dunia kuna vita vilikuwa vinaendelea huko China vya wenyewe kwa wenyewe kulikuwa kuna People's Republic of China (PRC) iliyokuwa chini ya Chinese Communist Party (CCP) walikuwa wanapigana vita na Republic of China (ROC).
PRC ilikuwa chini ya Mwamba mmoja wa kuitwa Mao Zedong mtu katili zaidi duniani aliuwa watu milioni 78 ndiye anayeongoza duniani akifuatiwa na Jozef Stalin milioni 23
1949 wakafanikiwa kuuteka mji mkuu wa China Beijing na kuitawala China na baadhi ya members wa ROC kawakimbilia
#UZI
π¨ Juzi Marekani na UE zilizungumza kauli za kibabe dhidi ya Urusi sasa Urusi kaamua kulishambulia jeshi la Ukraine kila pande.
Tusubiri kama Marekani atajaribu kuingiza mguu kuizuia Urusi, kuna nchi kama China zinaitamani sana Super Power japo kwasasa wanajifanya π
Wapo kidiplomasia zaidi ila ikianza hii ligi ya wakubwa Xi Jinping lazima aungane na mwanae wa faida Putin kupambana na Marekani.
Hii vita haina tena faida kwa Marekani tuone NATO watachukua maamuzi gani dhidi ya Urusi na mbaya zaidi Urusi kaingia Ukraine akiwa
na Wana Ukraine kibao wanaompa sapoti, anaweza akapambana kuwaua Viongozi wa Ukraine wanaomsumbua na akapachika Viongozi wake na hii kitu Marekani alikwisha isema mwanzo.
Toka mwanzo nilisema Marekani ina uwezo mkubwa sana kijeshi lakini Urusi ni nchi ambayo haitabiriki
Biden ametoa speech ambayo inaonyesha Trump alikuwa anamdekeza sana Putin.
Belarus jirani wa Ukraine na Urusi ndiye rafiki mkubwa Putin na Biden kasema Urusi isipotoa majeshi yake huko atalituma jeshi π
la Marekani ndani ya Belarus π§πΎ
Tunaweza kuona ni namna gani Marekani wanaendelea kuzichanga karata zao vizuri dhidi ya kumdhoofisha Urusi.
Belarus chini ya Raisi ambaye watu wa haki wanamuita Dictator Alexander Lukashenko aliyekaa madarakani toka 1994 alisema
"Ikiwa ina maana kuweka askari wa Kirusi hapa, tutawaweka kwa muda mrefu iwezekanavyo. Ninasisitiza kwa mara nyingine tena: hili ni eneo letu na uamuzi huu ni wetu.β
Umoja wa Mataifa unasema Urusi kuingiza jeshi lake Donbas, Ukraine kuwalinda raia wanaowasapoti Urusi ni kosa