KIDUKU Profile picture
Jun 9 9 tweets 2 min read Twitter logo Read on Twitter
BANDARI IMEUZWA au IMEKODISHWA?
#AskofuBagonza ( PhD )
Suala la Bandari limekuwa gumzoHata Bubu wanaongea na woga unajaa ujasiri. Waliozoea kuongea wamekuwa bubu. Kwa nini? ImageImage
1. Je imeuzwa au imekodishwa?

2. Je imeuzwa au tumekodi mwendeshaji?

3. Je ni kweli tayari imeuzwa, imekodishwa au kuajiri hiyo menejimenti?
4. Kuna wanaosemea chini chini kuwa mchakato bado haujakamilika bali ni mazungumzo; je ni mazungumzo ya nini? Kuuza? Kukodisha? Kukodi mwendeshaji?
5.Nani anafurahia hali ya sasa ya bandari yetu ya DSM na nyinginezo nchini?

6. Asilimia 70 ya pato la Taifa inategemea bandari yetu. Tukikiri kuwa imetushinda na kwa hiyo tuiuze, tuikodishe au tukodi/ kuajiri mwendeshaji - tunawezaje kuendesha nchi?
7. Kwa "bahati njema" bunge letu na serikali yetu ni kitu kimoja. Bunge linaisimamia serikali na serikali inaliendesha bunge! Ili umma upate nafuu, unahitaji kutoa kafara au mtu wa kumlaumu (Bangusilo concept). Nani Bangusilo wetu ktk hili?
8. Hili suala la bandari linaigawa nchi. Mpaka sasa Kuna mgawanyiko huu miongoni wa waombolezaji: Utanganyika na uzanzibari Udini wa Jpili na Ijumaa
Awamu ya tano na sita
Upinzani rasmi na usio rasmi Uchawa na ukiroboto
Uzalendo/Unyerere na umamluki Ufisadi Papa na Ufisadi
uchwara

Wapotoshaji na wapotoshwaji

Mgawanyiko huu hauwezi kwisha wenyewe. Kimya hakiupunguzi kinauongeza. Hata walio kimya watagawanyika! Tunaopayuka tutagawanyika zaidi! Hata wasiojua kinachoendelea watagawanyika.
Nilipokuwa shule ya msingi nilifundishwa bandari ni baraka kwa nchi na kwa hiyo nchi zisizo na bandari (Land Locked), "mungu" hazipendi kama anavyotupenda sisi! Imekuwaje tena?
Apatikane asiye Msigwa, atueleze tuelewe. Na huyo mtu awe na uvumilivu usiohojiwa. Awatetee anbao hawajazaliwa maana sisi tunaouza hatufai tena na hatutakuwepo kulipia maamuzi yetu

• • •

Missing some Tweet in this thread? You can try to force a refresh
 

Keep Current with KIDUKU

KIDUKU Profile picture

Stay in touch and get notified when new unrolls are available from this author!

Read all threads

This Thread may be Removed Anytime!

PDF

Twitter may remove this content at anytime! Save it as PDF for later use!

Try unrolling a thread yourself!

how to unroll video
  1. Follow @ThreadReaderApp to mention us!

  2. From a Twitter thread mention us with a keyword "unroll"
@threadreaderapp unroll

Practice here first or read more on our help page!

More from @TanzaniaOneJezi

Jun 9
Kwani MANGE KIMAMBI Anavutaga BANGI Ya Wapi? 😁😂
#UZI👇👇
Kwenu nyinyi majizi wawili. Nawaweka nyinyi mstari wa mbele maana bila nyingi mtu mbili hili dili la DP World lingeangukia pua. Image
Naamini mmeshaona maoni ya wananchi. Kwa asilimia 90 watanzania wamekataa hili dili lenu la ufisadi na uporaji wa bandari ya watanzania, bandari ambayo ndio chanzo kikuu cha mapato ya nchi
Watanzania wenyewe wamelikataaa hili dili lenu nyie mnaling'ang'ania kwa manufaaa ya nani? Kama sio kwa manufaa yenu binafsi

Mkiwatoa hao wachumia tumbo wenu mliowapanga kina Maulid Kitenge- Mtu ambae hawezi hata kutuliza pum** zake kwenye radio moja zaidi ya mwaka sababu
Read 11 tweets
Mar 9
*Tulipanda Usiku, Tunavuna Mchana.*
#UZI👇👇👇
USHOGA, ULAWITI, USAGAJI.

Tulipoamua sote kuwa wafanyakazi, wajasiriamali na watumishi (wanaume kwa wanawake) hatukutafakari vyema.
Tulipoamua kuingia mtaani na kujipotosha juu ya haki sawa bila kujua undani halisi wa *haki, fursa na wajibu* hatukutafakari ya kesho.

Imeandikwa na *Mnegro* 8, March 2023.12:20PM.

Karibu sana.
Tulipoamua kufanya hayo yote, hatukuwaza vyema juu ya familia. Hatukuwaza juu ya misingi na malezi ya watoto wetu. Hatukuwaza nani atabaki nyumbani kusimamia jukumu kuu la nyumbani.
Read 36 tweets
Mar 8
TUSIMLAUMU RAIS SAMIA; TUKUMBUKE TULIKOTOKA.
Anaandika Askofu BAGONZA ( PhD )
Rais Samia ameweka rekodi. Tutasahau barabara, madaraja, madarasa na teuzi anazofanya. Lakini hili la kukutana na Chadema katika maadhimisho ya BAWACHA hatutalisahau kirahisi.
Wapo walionuna pande zote mbili za CCM na Upinzani. Ni budi wawepo ili watukumbushe tulikotoka. Hata kuku wa pande mbili hizo hawakuruhusiwa kujamiiana. Leo twakumbatiana!
Mwaka jana 2022 nilihutubia Bawacha Kitaifa kule Iringa. Nilisema tunahitaji Tanzania mpya siyo CCM mpya wala Chadema mpya.

Niliporudi DSM nilikutana na kiongozi wa CCM kitaifa nikamwambia; "Awamu ya Tano imeimarisha upinzani kwa namna ambayo ni vigumu kuubomoa bali kuuruhusu
Read 13 tweets
Mar 8
*Unawajua WANAWAKE?* *Kama huwajui, Basi Tumia Hii Siku yao kuwajua*

*Denis Mpagaze*
#UZI👇👇👇👇
Bwana mmoja baada ya kufunga ndoa na binti aliyemsotea kwa muda mrefu alisema, " Bebi, unajua siamini kabisaaaa kama nimekupata! Bebi akajibu, "Amini tu mume, mimi ni wako,
kikubwa omba Mungu usiishiwe hela nikaponyoka!" Hapa mwanaume unaweza kufa ghafla na wakati alikuwa anakutania tu.

Mnaweza kupanga na msichana muonane lakini muda huo ukifika yeye akapiga zake usingizi. Unaamua kumsubiri kwenye kona ya nyumba yao hadi unatamani ukagonge hodi,
lakini utasemaje? Lengo lake akupime akili tu! Wanawake, loh!

Kijana wa watu unarudi geto kulala kumsubiri apointment ya mrembo, masaa yanakimbia, mtu haji, unaamka na kwenda mpaka kwao, unasikiliza kama wanaongea, husikii sauti yake, unasema labda mmepishana njiani. Unakimbia
Read 36 tweets

Did Thread Reader help you today?

Support us! We are indie developers!


This site is made by just two indie developers on a laptop doing marketing, support and development! Read more about the story.

Become a Premium Member ($3/month or $30/year) and get exclusive features!

Become Premium

Don't want to be a Premium member but still want to support us?

Make a small donation by buying us coffee ($5) or help with server cost ($10)

Donate via Paypal

Or Donate anonymously using crypto!

Ethereum

0xfe58350B80634f60Fa6Dc149a72b4DFbc17D341E copy

Bitcoin

3ATGMxNzCUFzxpMCHL5sWSt4DVtS8UqXpi copy

Thank you for your support!

Follow Us on Twitter!

:(