KIDUKU Profile picture
Don't gain the world and lose your soul. Wisdom is better than silver and gold.
Sep 8, 2024 6 tweets 2 min read
#AskofuBagonza(PhD)

KWA SASA UKISEMA, UNACHOCHEA! UKIKAA KIMYA, UNACHOCHEA

Kumbe Mama yangu alikuwa sahihi juzi aliponionya niwe na msindikizaji ninapokwenda toilet.

Nimemaliza ibada nzuri na kuiombea serikali na viongozi wake. Nimetoka nje nakutana na janga la mauaji
Image
Image
ya Mzee Kibao. Poleni nyote. Kwa sasa nina matatu:

1. Katikati ya hasira na taharuki, kiongozi yeyote akijitokeza kusema ataitwa mchochezi na mvurugaji wa amani. Lakini kiongozi akikaa kimya atakuwa anaunga mkono wanaoteka na kuua. Chagua kwa busara, usifundishwe na yeyote.
Mar 19, 2024 14 tweets 3 min read
#AskofuBagonza ( PhD )
CDF MABEYO AMEPASUA MASIKIO YETU

Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, amesema maneno yanayopasua ngoma za masikio yetu. Amefanya mahojiano na "kutoa siri" za kilichotokea miaka 3 iliyopita wakati hayati Rais JPM anaaga dunia.
Image
Image
Nimesita kumpongeza na nimesita kumlaumu.

Nimewahi kujishauri mwenyewe kuwa Tanzania ingekuwa familia yangu ninayoitawala mwenyewe, ningeondoa zuio (declassify) linalozuia kuchapisha habari za kuugua, kufa, kuhamisha madaraka, mazishi na kuunda serikali mpya pale kiongozi
Jun 9, 2023 11 tweets 2 min read
Kwani MANGE KIMAMBI Anavutaga BANGI Ya Wapi? 😁😂
#UZI👇👇
Kwenu nyinyi majizi wawili. Nawaweka nyinyi mstari wa mbele maana bila nyingi mtu mbili hili dili la DP World lingeangukia pua. Image Naamini mmeshaona maoni ya wananchi. Kwa asilimia 90 watanzania wamekataa hili dili lenu la ufisadi na uporaji wa bandari ya watanzania, bandari ambayo ndio chanzo kikuu cha mapato ya nchi
Jun 9, 2023 9 tweets 2 min read
BANDARI IMEUZWA au IMEKODISHWA?
#AskofuBagonza ( PhD )
Suala la Bandari limekuwa gumzoHata Bubu wanaongea na woga unajaa ujasiri. Waliozoea kuongea wamekuwa bubu. Kwa nini? ImageImage 1. Je imeuzwa au imekodishwa?

2. Je imeuzwa au tumekodi mwendeshaji?

3. Je ni kweli tayari imeuzwa, imekodishwa au kuajiri hiyo menejimenti?
Mar 9, 2023 36 tweets 6 min read
*Tulipanda Usiku, Tunavuna Mchana.*
#UZI👇👇👇
USHOGA, ULAWITI, USAGAJI.

Tulipoamua sote kuwa wafanyakazi, wajasiriamali na watumishi (wanaume kwa wanawake) hatukutafakari vyema. Tulipoamua kuingia mtaani na kujipotosha juu ya haki sawa bila kujua undani halisi wa *haki, fursa na wajibu* hatukutafakari ya kesho.

Imeandikwa na *Mnegro* 8, March 2023.12:20PM.

Karibu sana.
Mar 8, 2023 13 tweets 2 min read
TUSIMLAUMU RAIS SAMIA; TUKUMBUKE TULIKOTOKA.
Anaandika Askofu BAGONZA ( PhD )
Rais Samia ameweka rekodi. Tutasahau barabara, madaraja, madarasa na teuzi anazofanya. Lakini hili la kukutana na Chadema katika maadhimisho ya BAWACHA hatutalisahau kirahisi. Wapo walionuna pande zote mbili za CCM na Upinzani. Ni budi wawepo ili watukumbushe tulikotoka. Hata kuku wa pande mbili hizo hawakuruhusiwa kujamiiana. Leo twakumbatiana!
Mar 8, 2023 36 tweets 5 min read
*Unawajua WANAWAKE?* *Kama huwajui, Basi Tumia Hii Siku yao kuwajua*

*Denis Mpagaze*
#UZI👇👇👇👇
Bwana mmoja baada ya kufunga ndoa na binti aliyemsotea kwa muda mrefu alisema, " Bebi, unajua siamini kabisaaaa kama nimekupata! Bebi akajibu, "Amini tu mume, mimi ni wako, kikubwa omba Mungu usiishiwe hela nikaponyoka!" Hapa mwanaume unaweza kufa ghafla na wakati alikuwa anakutania tu.

Mnaweza kupanga na msichana muonane lakini muda huo ukifika yeye akapiga zake usingizi. Unaamua kumsubiri kwenye kona ya nyumba yao hadi unatamani ukagonge hodi,