Je ulikua unasumbuka wapi utaweza kufanya installation ya window kuanzia 10, 11, 8, 7 kupitia flash yako ๐๏ธ relax Leo nakujuza.
Utaweza kufanya installation ya window 10 kupitia USB flash, Je kwanini tunatumia flash kupiga window?
Labda tuchukulie Cd huna , pia mlango wa Cd umekufa๐ค sio lakini ni muhimu kujua kuhusu Laptop yako kama ina support mfumo wa UEFI Mode. Lazima ujue tofauti ya Bios pamoja na UEFI mode.
Computer nyingi za zamani zinatumia mfumo wa bios (basic input | output system) kwa ajili ya ku boot window pamoja na ku manage vitu vilivyopo kwenye OS na device lakini kompyuta nyingi za kisasa zinatumia mfumo wa UEFI Mode.
UEFI Mode (Unified extensible firmware interface) hii Teknolojia imekuja kuwa mbadala wa Bios kwani imekuja na mifumo ya legacy support UEFI inasaidia kompyuta kuweza kutatua changamoto mbalimbali zilizopo kwenye kompyuta bila kutumia software au media Fulani.
Jinsi ya kufanya installation ya window 10
โข hakikisha kwanza umepakua file la window ambalo linaitwa Iso image we ingia Google andika window 10 iso image bonyeza link ya Microsoft download.
hakikisha una flash kuanzia 8Gb, 16Gb , 32Gb nk Kisha pakua software inaitwa Rufus au powerIso kuweza kufanya bootable flash Yetu kwa kuweza kuweka window ndani
fungua Rufus software kwenye device chagua flash Kisha kwenye boot selection chagua sasa window yako ambayo umedownload
Ifungue iyo program Kisha kwenye boot selection chagua ๐
Kisha bonyeza select kuchagua sehemu uliyoweka window yako
kwenye partition scheme chagua Mbr kma unatumia PC zenye mifumo ya kizamani ila kama unatumia laptop za kisasa tumia Gpt ambayo ni UEFI
ukimaliza bonyeza start kuanza kufanya bootable flash yako.
Jinsi ya kupiga window sasa
Kama unahitaji link zote za kudownload Window 10 , program ya Rufus tembelea channel yetu ya telegram ๐
Jinsi ya kupiga window sasa
โข zima na uwashe kompyuta yako Kisha chagua boot options menu unaweza Google boot options ya Kampyuta yako kujua kama unatumia F12 , F9, au Esc nk
utaweza kuchagua flash yako na ku boot baada ya hapo wanaweza kumuuliza bonyeza any key to continue au lah Kisha utabonyeza herufi yoyote mara mbili au moja nk
Utaweza kubonyeza sehemu ya press any to boot from Cd or DVD or flash nkutabonyeza key yoyote ile kama F , B , G mara mbili mbili
utaweza kuchagu lugha yako na kupiga next kwenye time zone chagua East Africa ambayo utaikuta Nairobi ukimaliza bonyeza next au start
Mmiliki wa Twitter anasema Whatsapp sio sehemu salama ya kuaminika, baada ya Engineer wa Twitter akipost kuwa Whatsapp inatumia microphone kusikilizia vitu vyake bila yeye kujua wakati amelala.
Ebu retweet, like alafu tu follow kisha tuendelee
Swali la kujiuliza ni kweli Whatsapp ya mark Zuckerberg anaweza kusikilizia maongezi yako wakati unazungumza na mama ,baba, rafiki, mpenzi wako ? Kiuwalisia hapana haiwezekani,
Ebu tuchukue hii post iliyotumwa kwenye Twitter ya engineer wa Twitter kisha tumcheki Elon musk ambaye aliongeza kwa kusema Whatsapp sio ya kuaminika kabisa. Watumiaji wengi wa Twitter waliweza ku like na kutoa maoni yako kwenye Twitter ya Engineer pamoja na kwa Elon musk.
Juzi nilipost makala kuhusu Watumiaji wa Whatsapp wajihadhari wanaweza kuibiwa akaunti zao au kutapeliwa pesa
Kesho yake Kuna mtu amekutwq na maafa mazito shusha uzi chini ๐
Whatsapp najua ni mtandao pendwa ulimwenguni lakini kumekua na visaa kadhaa vya watu kuibiwa akaunti, pesa kupitia Whatsapp
Watumiaji wengi wa Whatsapp wamekua sio waangalifu sana haswa ikitokea mtu amemtumia link kuhusu jambo Fulani wanajikuta Wana gusa tu wala sio waangalifu
Kuna mdada ameibiwa pesa Zaidi ya milion 5 kwenye akaunti yake watu wamehamisha pesa zote hawajaachia ata kitu kimoja ๐
Unajua waalifu wengi wa mitandao ya kijamii wanatoka India, Kenya, Nigeria, somalia, Marekani, Russia nk
Mmiliki wa Twitter ana mpango wa kufuta akaunti za watu waliojiunga na Twitter ambao awako active kwa muda wa mwaka mmoja.
Elon musk mbona kama Yuko seriously ebu shusha Uzi chini ๐ inawezekana likakukuta jambo kwenye hii ?๐
Mr Elon musk ambaye mmiliki mpya wa Twitter aliyenunua October mwaka Jana amesema " ni muhimu Sasa kuondoa watu ambao vilaza kwenye akaunti ya Twitter watu ambao sio active kwa muda mrefu ili kuipa heshima mtandao huu"
Watu wengi wamekua wakitoa malalamiko juu ya hatua hii kwa kusema kuwa watu wanaohifia kupoteza akaunti za watu wao wa karibu waliopoteza maisha.
Wengine wakihofia kupoteza kabisa followers wao kwani inawezekana ikawapunguzia idadi ya followers kwenye akaunti zao.
Je umekua kuangaika jinsi ya kufanya activation ya window kwenye kompyuta lakini umeshindwa? Najua watu wengi wanatumia njia ya kmpisco ambayo sio salama kabisa !!
Leo nakupa maujanja ya kuondoa neno window is not activateduzi๐ni wako follow & share
Hivi unajua unaweza tumia Cmd kufanya activation ya window 10 kwenye kompyuta yako.
Achana na kmpisco utaingiza virus kwenye kompyuta yako kwanza sio salama uwezi kutumia mpaka uzime antivirus ๐ achana nayo.
Ebu relax alafu like , follow kisha retweet tuendelee na maujanja.
Ikitokea kwenye kompyuta yako umetokea ujumbe wa " windows is not activated " Leo nakuambia jinsi ya kuactivate simple sana
1๏ธโฃ fungua Cmd kwenye kompyuta yako Cmd kirefu chake ni command prompt Sasa we ingia sehemu ya ku search andika Cmd kisha run as administrator
Ndani ya Box ๐
Nilichowapendea Tecno wamebadilika sana kwenye matoleo yao ya simu Toka series ya Camon16 wanazidi Kuwa Bora sana. camera wametoa Poa sana ukipiga picha inatoka clear pia ukizoom unaweza sema ni google pixel 6 pro.
Window 11 Sasa inakua window pendwa toka Microsoft baada ya kuachiwa kwake maana imefanya maisha kuwa rahisi kutokana na jinsi ilivyo rahisisha mambo mengi na feature za kibabe !!
Leo nakuambia feature za kibabe zilizopo fanya ku follow, like & retweet
1๏ธโฃ change voice to text
Kupitia window 11 unaweza Kubadili sauti yako kuwa ujumbe in real time. Utakua na uwezo wa kuzungumza kwa sauti alafu window yako ikabadilisha iyo sauti yako kuwa text kupitia kompyuta.
Pia labda uko kwenye Microsoft word unaweza sema tu new paragraph au
delete previous sentence basi itakua na uwezo wa kuongeza page mpya au kuondoa ujumbe kwenye sentence uliyosema bila kugusa mouse.