Babuu | Hisa Profile picture
Empower young investors to unleash the potential of stocks, units, and bonds. Together, lets build wealth! πŸ“ˆπŸ’° Slide into our DMs for more info πŸš€ #Babuuhisa
Jan 16, 2023 β€’ 15 tweets β€’ 5 min read
UTT-Amis ni nini? kampuni binafsi au ya Umma? Naanzaje kuwekeza kupitia kwa UTT? kuna usalama kiasi gani ndani ya UTT? Haya ni baadhi ya maswali unayoenda kupata majibu ndani ya #UZI huu. Soma uzi huu hadi na mwisho uwe miongoni mwa 6% ya watanzania wanaoijua UTT

SHUKA NAOπŸ§΅πŸ‘‡ Image UTT-Amis ni kampuni inayohusika na uanzishaji na uendeshaji wa mifuko ya uwekezaji wa pamoja (CIS) yaan Collective Investment Schem. UTT AMIS kwa lugha ya malkia Unit Trust of Tanzania (UTT)- Asset Management and Investors Service (AMIS). Taasisi hii ipo chini ya wizara ya fedha